kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Kushindwa Kuwa Na Vitega Uchumi Kwa Miaka 34 Na Kuishia Kuombaomba Tu Michango Inayoishia Kutafunwa hovyo

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni Lichama La Hovyo sana kuwahi kutokea katika Taifa letu. Ni lichama lisilo na mbele wala nyuma. Ni lichama ambalo halinaga Dira wala Muelekeo. Limejaa na kusheheni Viongozi wasio na Maono wala Dira wala Muelekeo wala mipango wala mikakati ya mbele. Ni Lichama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baa ipo Manzese inapiga mziki kwa sauti kubwa hadi nyumba zinatikisika, tukiripoti hakuna hatua zinachukuliwa

    Kero yangu kubwa ni hapa Manzese Bar ya Kwa Mkwere wanafungua sana mziki kwa sauti ya juu mpaka nyumba zinatetemeka. Wanapiga kuanzia jioni mpaka asubuhi, ni miaka zaidi ya mitano sasa tunakosa usingizi, tukiripoti hakuna hatua zinazochukuliwa.
  3. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 7. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Haran Sanga: Nauli ya Kivuko ya Tsh. 200 ni kubwa sana kwa mwananchi

    Haran Sanga, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni akihojiwa kupitia Clouds TV Aprili 13, 2026 amesema; "Changamoto kubwa Kigamboni ni tozo pale darajani kama hauna Tsh. mia Mbili huwezi kufika Kigamboni. Aidha upande boti au Tsh. 1,500 upite na gari darajani. Maisha ya wananchi wa Kigamboni ni kama...
  5. Red black

    JamiiForums Tanzania Iani Dialo from kenya Radio presenter wangu Bora wa muda wote huyu jamaa ana IQ kubwa sana.

    Aliwahi kufanya kazi EA redio katika kipindi cha EAST AFRICA DRIVE ndinga mpya town akiwa na David rwenyagira. Jamaa ana madini sana.
  6. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania The New York Times: Vita inaligeuza taifa la Iran kuwa kubwa duniani

    Professor Robert Pape msomi nguli kabisa wa sayansi ya siasa, hasa siasa za kimataifa kutoka chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani anaandika. Huyu msomi amefanya tafiti kuhusu mahusiano ya Iran na Marekani kwa miaka zaidi ya 25 na aliwahi kutabiri huko nyuma kwamba endapo Marekani atavamia Iran...
  7. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Artemis ii Capsule, inatarajiwa kutua leo ambapo itashuka kwa kasi kubwa mara 10 zaidi ya kasi ya risasi katika re-entry

    Leo siku ya 10 ya safari ya Artemis II inatarajiwa kuwa moja ya siku hatari zaidi kwa wanaanga waliomo ndani ya kapsuli ya Orion. Baada ya siku kadhaa wakisafiri mbali na Dunia na kuizunguka njia ya Mwezi, sasa watakuwa katika hatua ya mwisho ya kurudi nyumbani. Lakini kurudi kutoka anga za...
  8. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Suala la michango shule za serikali ni changamoto kubwa sana serikali litazameni kwa ukubwa sana

    Nimeona leo waziri mkuu akitoa maelekezo mepesi kwenye jambo zito hilo jambo ni zito tena zito kweli mnasema kweli elimu bila malipo na serikali kila mwezi inapeleka pesa mashuleni pesa ambazo matumizi yake na mambo mengine yanaitaji uwazi sasa niwape changamoto tu hizo shule za serikali si zipo...
  9. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Taifa la Iran humu tujuane pliz!

    Wale wafuasi wa wa Iran a.k.a wazee wa threesome, naomba tujuane ili tufurahie ushindi mkubwa ambao tumeupata Katika mtifuano wa mashariki ya kati. Ayatollah secretarybird, nawakaribisha kwa raha tele 😎. adriz.
  10. haszu

    JamiiForums Tanzania Aah! nimepenyezewa hapa, wanaume wenye sura personal wanatumia gharama kubwa kuwapata wapenzi kuliko sisi ma-Handsome

    Kama Handsome boy atatumia $1, bas mwenye sura ngumu/personal atatumia $600 hadi -800 katika huduma ili kumshawishi msupa, pia wanaume hao hutumia hadi Tani moja ya perfume na lotion ili wanukie vizuri na kuwavutia wanawake. Kwa wale ma handsome, napenda niseme, tuko vizuri sana na mambo kwtu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Tunashindwa nini kujenga Maghala ya Mafuta ili tuwe na akiba kubwa tuuze hata nje ya nchi?

  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania 🚀 Geuza Biashara Yako Kuwa Brand Kubwa Leo!

    Karibu sana wewe unayetaka kuipeleka biashara yako kwenye kiwango cha juu zaidi! 🚀 Kama una ndoto ya kuwa na website ya kisasa, yenye mvuto na inayouza kwa niaba yako masaa 24, basi huu ndio wakati wako. Tunakusaidia kuunda website za biashara na za utalii zenye ubora wa hali ya juu...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Sipendi ugaidi wa Iran, ila hiki Trump anataka kufanya leo ni kosa kubwa

    Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hii ishu ya nyeti kupotea na Niki kuachana na Mke wake-Ni michezo tu ya kuficha jambo kubwa na zito la Kitaifa kwa sasa

    Hizi Mbanga za eti mtu kaombwa 500 halafu kashikwa bega halafu nyeti zimepotea pamoja na Niki Mkuu wa Wilaya kuachana na Mke kisa DNA, hii ni michezo tu katika namna ya kuficha jambo kubwa la Kitaifa lisijadiliwe. Watanzania tujiulize jambo gani kubwa linalohitaji mjadala wa Kitaifa lijadiliwe...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ila jamani hisia ni dubwana kubwa na lina nguvu sana

    IMAGINE Mwaka 2022 nilikuwa huko kigoma vijiji vya karibia na mpaka wa tz na burundi panaitwa kalinzi, huko ni mwendo wa baridi tu, kuna nanasi za kutosha. Sasa bhana kwasababu ya ugeni wangu sikuwa bado na mpenzi nilikuwa kuku mgeni. Kule bhana kuna watusi wa kumwaga wamepanda hewani weusi wa...
  16. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeingia Sirari Kenya, tofauti ni kubwa sana, Watanzania bado tupo fofofo

    Wakuu, Narudia tena watz bado tupo fo fo fo Hivi karibuni niliamua nikazuru boda nikacheki maana sijawai toka nje ya nchi. Nikaamua kwene Border ya kenya na Tz. Nililala Sirari aisee pale ni kijiji, hamna chochote cha kusema kuna maendeleo, ni barabara moja na vumbi pande zote. NILIVYOVIONA...
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Tulia ni KIA !

    Heshima sana wanajamvi. Tulia wa leo si wa jana wala juzi. Tulia wa leo amefubaa,amenyong'onyea,amepauka, amekuwa kichekesho na mnyonge katika viambaza vya wenye mamlaka. Wengi mtakumbuka sakata la Kilimanjaro International Airport kumilikiwa na KADCO. Wabunge walipiga kelele kubwa ni kwanini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tunapoteza nguvu kushughulika na upinzani kuliko Ripoti ya CAG

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa kauli nzito kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akidai kuwa ripoti hiyo imeendelea kuwa "kumbukumbu ya kila mwaka" isiyo na matokeo ya kisheria kwa wabadhirifu wa mali za umma...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA ni kubwa sana, Lissu na Heche Mungu awabariki sana

    Kwema wakuu, amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa. Wakuu, Lissu na makamu wake Heche Mungu awabariki sana. Kwa sasa kama CCM hawajui ,asilimia 85 ya watanzania ni CHADEMA. Kwa nini nasema hivi Ichi chama misingi yake imejikita kwenye haki na watanzania wote...
  20. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Mafuta yanaenda kupanda Hadi 3,500/= Kwa Lita. Kwa magari yenye CC kubwa, kazi itakuwepo

    Ndugu zangu wale wenye magari yanayobugia wese tutapaki Tu mwaka huu, Kwa vipato hivi vya kuungaunga kazi itakuwepo mwaka huu endapo vita ya Huko mashariki ya Kati kama itachukua mwaka mmoja. Jana nilikuwa na mkurugenzi mmoja wa kituo cha mafuta akaniambia nijipange na bei hii mpya ya Tsh 3,500...
Back
Top Bottom