kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Vita tutakayoianza na Iran itakuwa kubwa kuliko iliyoisha-Maafisa wa IDF

    Vita vya hivi karibuni vitakuwa 'shida moja kubwa' ikiwa uranium iliyosafishwa ya Iran haitaondolewa kwenye mikono ya magaidi hao— afisa wa IDF alisema. Afisa wa jeshi la Israeli anasema kwamba ikiwa akiba ya zaidi ya kilo 400 za uranium iliyosafishwa hadi 60% haitaondolewa kutoka Jamhuri ya...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya China ya Ushuru Sifuri ni fursa kubwa kwa nchi za Afrika

    Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii inakuja katika wakati muhimu kwa uchumi wa Afrika, ambao unakabiliana na mashinikizo ya nje...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya mienendo ya kingono na kimapenzi kwa sasa yanahaririwa na pornograph

    NGONO NZEMBE NI HATARI KWA AFYA Sex imekuwa vita sasa hivi, watu wanarushana, kukunjana na kupeana vitu visivyoeleweka, yoote ni kutokana na influence ya porno
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mdada ana Annabelle kubwa anavutia kwa namna yake

    Umewahi kutana na mwanamke ana Annabelle la kutosha kifuani? (Annabelle ni maziwa makubwa) Sijajua lakini kwa nini wengi huwa hawana shape chini. Ni nadra kumkuta mwanamke ana Annabelle kubwa, hips na makalio. Ila wengi wanakuwa na Annabelle na sura nzuri lakini chini humkuti ana makebo...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Elfu 5 ni hela kubwa sana kwa maisha ya Mtanzania. Kwanini Bank zinaidharau, na kima cha chini kutoa ATM kiwe Elfu 10?

    Kuna kazi viwandani malipo ni Elfu 5 kwa siku. Na hiyo Elfu 5 mtu anaweza fanya shopping kubwa na kula ata siku 2. Sasa mtu unaenda ATM una balance ya 48,000/= unatakiwa utoe Elfu 40 na kuicha Elfu 8 waibutue butue ndani ya week. Sio fair kabisa
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani ukawa unalaani vikali UZAYUNI (zionism) huku unashibikia JIHAD. Point yako kubwa ni ipi haswa, unalenga utu au itikadi?

    Logic ndio kitu hamna. Mnabebeka na mihemuko ya kiitikadi na matango pori mnayorishwa kwenye vijiwe vya gahawa na aljazeera Kama unaweza kusema uzayuni ndio sababu kuu ya mitafaruku duniani huku ukishabikia jihad ya kukata vichwa watu kaskazini mwa naijeria then wewe sio solution ya tatizo...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kuwa China peke yake ina akiba kubwa ya mafuta kuliko Marekani, Japan na Ulaya kwa pamoja?

    Shirika la Marekani la U.S Energy Information Administrative (EIA) linakadiria kwamba: China ina mapipa karibu bilioni 1.4 ya mafuta ghafi. Mkakati kabambe wa China kuhifadhi mafuta ghafi ulianza hasa mwaka 2003 na huku Marekani na nchi za Ulaya tangu miaka ya 1970, mind the gap! Marekani...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria kulazimishwa kushuka kwenye vituo vya chakula vyenye bei kubwa wakati wa safari

    Ndugu wana JF, Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu kupita kiasi. Abiria tunashushwa hapo kana kwamba hatuna chaguo lingine, wakati ukweli ni kwamba...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Janga na Doa Kubwa kwa Taifa!

    Rais Dkt. Samia alisema: "Hili ni janga na doa kubwa kwa Taifa letu." Alisisitiza kuwa kazi ya Tume imeiwezesha nchi kupata uelewa sahihi wa kilichotokea, ikijumuisha uchambuzi wa kina uliotokana na ushahidi wa mashahidi 1,323, maelezo ya viapo 953, pamoja na maoni yaliyokusanywa kupitia njia...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara Zenye Mzunguko Mkubwa Sana Tanzania: Fursa Kubwa Kwa Wafanyabiashara Wadogo

    Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko mkubwa wa fedha (high turnover) — yaani bidhaa au huduma zinauzwa kwa kasi kila siku. Kama unatafuta...
  13. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kubwa kuliko CCM

    Hapa ndio nyumbani, hapa ndio nilikozaliwa na kukulia. Hii ndio ardhi pekee najivunia nayo Samia, CCM na machawa wako wote ni takataka mbele ya Tanzania. Polisi wako wauaji, mafisadi wenu wote na huyo Chande, ni takataka mbele ya Tanzania Kamwe msije mkadhani hii ardhi inamilikiwa na CCM...
  14. K

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kuhusu Barabara ya Pangani - Muheza …kwanini haitengezwi miaka yote na bajeti hutengewa?

    ‎Kero na changamoto yetu kubwa ni kuhusu Barabara ya Muheza - pangani ( Pangani - Muheza ) ..... ‎ ‎Hiii ni Barabara ambayo ni kubwa sana inayotumika , kupita viongozi wa serikali kuanzia Rais , pia inatumika kupitisha Watalii, na mizigo mingi inayotokea Zanzibar to bandari ya Pangani kuja...
  15. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Mtakatifu PAPA LEO anatembelea nchi za Afrika, ila Tanzania hapo kwenye list yake, hio ni signal Kubwa na nzito

    Tumsifu Yesu Kristu, AsalamAleykum Warramatulahi Wabaraktuh NAONA ziara za Mtakatifu Papa Leo akidhuru Barani afrika, hata ameweza kwenda Cameroon ambapo rais wake ana miaka 90 na Bado ni rais(dikteta), Cameroon ambayo wananchi wamegawanyika, ila amekwenda. Swali la kujiuliza, kwanini...
  16. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE NA DONALD TRUMP wanafanana tabia kwa asilimia kubwa sana

    Mzuka wana jamvi ? Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa member ngluli wa Jf GENTAMYCINE na Rais wa Marekani Donald Trump ni watu ambao wanafanana sana tabia . 1. Wote hata uwe rafiki yake vipi na uwe unamsifia siku ukimkosoa na kupishana nae basi lazima akutweze na kukuona hauna akili...
  17. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania TCC Plc Yapendekeza Gawio Kubwa Zaidi – TZS 650 kwa Wanahisa (2026)

    TCC Plc Yapendekeza Gawio Kubwa Zaidi – TZS 650 kwa Hisa Tanzania Cigarette Company Plc (TCC) imependekeza gawio la juu zaidi kwa mwaka wa fedha 2025, ikiendelea kujiimarisha kama moja ya dividend stocks imara ndani ya Dar es Salaam Stock Exchange. DIVIDEND DETAILS (TAARIFA ZA GAWIO) Final...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Kushindwa Kuwa Na Vitega Uchumi Kwa Miaka 34 Na Kuishia Kuombaomba Tu Michango Inayoishia Kutafunwa hovyo

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni Lichama La Hovyo sana kuwahi kutokea katika Taifa letu. Ni lichama lisilo na mbele wala nyuma. Ni lichama ambalo halinaga Dira wala Muelekeo. Limejaa na kusheheni Viongozi wasio na Maono wala Dira wala Muelekeo wala mipango wala mikakati ya mbele. Ni Lichama...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baa ipo Manzese inapiga mziki kwa sauti kubwa hadi nyumba zinatikisika, tukiripoti hakuna hatua zinachukuliwa

    Kero yangu kubwa ni hapa Manzese Bar ya Kwa Mkwere wanafungua sana mziki kwa sauti ya juu mpaka nyumba zinatetemeka. Wanapiga kuanzia jioni mpaka asubuhi, ni miaka zaidi ya mitano sasa tunakosa usingizi, tukiripoti hakuna hatua zinazochukuliwa.
  20. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 7. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu...
Back
Top Bottom