Mie sina ukuni tatizo 😅ushazimika wewe, si useme tu?
Shenziii😅😅 kwahiyo kama sina ukuni nageuka na sura ya baba mdogo🤣🤣kumbe na wewe mchawi? we lazima utakua na sura ya baba mdogo.
mkuu we muache tu anakoelekea sioNaona umeanza kwa kujisifia Pua,
Pole pole tu mpaka utafika kwenye kujisifia makalio.
Mchumba kina ephen wananitesa kumbe Mali Safi upo😍