World cup 2026 timu kubwa zote mbovu?

World cup 2026 timu kubwa zote mbovu?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,642
Reaction score
58,383
Nilianza kuangalia world cup toka game ya kwanza

Timu Kama Brazil, German Spain zote mbovu

Brazil hii na Ile ya 2014 hakuna tofauti

German pamoja na kushinda 7 Jana lakini mpira mbovu.

Muda huu nipo nawaangalia spain utadhani ni Tunisia iliyochangamka.

France nayo baada ya kufunga na Ivory coast kwenye game ya kirafiki niliona kabisa timu hamna.

Imagine Marekani eti anampiga Paraguay chuma 4

Japan anapiga mpira mwingi dhidi ya uholanzi

Moroco anawafanya Brazil watafute mpira kwa torch?

Mwaka huu timu kubwa zote mbovu?

Nimeikumbuka Ile Italy ya 2006!
 
Brazili ni hii ..
images (1).jpeg
 
Mipira ya zaman walikua wanacheza kama wanamishipa hata yanga Simba na azam ya sasa ingekua bingwa wa kombe la dunia Kwa Moira ule wa zaman very slow na kubutua butua
 
Nilianza kuangalia world cup toka game ya kwanza

Timu Kama Brazil, German Spain zote mbovu

Brazil hii na Ile ya 2014 hakuna tofauti

German pamoja na kushinda 7 Jana lakini mpira mbovu.

Muda huu nipo nawaangalia spain utadhani ni Tunisia iliyochangamka.

France nayo baada ya kufunga na Ivory coast kwenye game ya kirafiki niliona kabisa timu hamna.

Imagine Marekani eti anampiga Paraguay chuma 4

Japan anapiga mpira mwingi dhidi ya uholanzi

Moroco anawafanya Brazil watafute mpira kwa torch?

Mwaka huu timu kubwa zote mbovu?

Nimeikumbuka Ile Italy ya 2006!
Ona mtanange huu

View: https://www.youtube.com/watch?v=R9TBlL2Cok0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom