kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Pigo Kubwa Kwa Iran: Rais Xin Ping wa China Amesema China na Marekani Zinatakiwa Kuwa Washirika na Siyo Washindani

    Siku zote tunasema kuwa China haiwezi kukubali kuingia uhasama na USA, jambo ambalo linaweza kuathiri uchumi wa China kwa kiasi kikubwa sana. Kwa nchi ya China, kipaumbele chake kikubwa ni uchumi wa China. Nchi ikiwekewa vikwazo, China inawahi haraka ili kujipatia bidhaa kwa bei nafuu isiyo na...
  2. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana

    Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa mapenzi Fatilia matukio ya usaliti kuuana kuchinjana wanawake wakikristo wanaongoza wao headlines zote...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za MCT: Ada Kubwa, Huduma Mbovu, majibu ya mitihani na leseni hawatoi kwa wakati

    Kuna kero sana kwenye hii Medical council of Tanganyika(MCT), chama kinachosimamia madaktari wa nchi hii kila mwaka tunalipia leseni laki moja na elfu hamsini, lakini hakuna cha maana tunachopata Sasa hivi mtu unalipia lakini wanashindwa kuhuisha leseni ukiwapigia simu hawapokei muda mwingine...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania IRGC yaionya Marekani dhidi ya mashambulizi dhidi ya meli zake uvumilivu umefika mwisho. Italipiza kisasi kwa nguvu kubwa.

    Wanaukumbi. TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa linaangamia kwa kukosa Waandishi critical na investigetive Kama Pascal Mayalla. Ufisadi unatamalaki na taifa lina ombwe kubwa la uongozi.

    Amebaki Pascal Mayalla anajitutumua kua very critical. Ufisadi unaoendelea sasa hivi bila kuwa tasinia ya habari yenye waandishi wa habari kama Pascal Mayalla taifa letu linakwenda pabaya sana. Bajeti zinapitishwa na bunge huwezi kuona Mwandishi amechambua au kumhoji waziri husika...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tuombe kazi kupata inawezekana ata kama competition ni kubwa hasa kupitia ajira portal

    Kwa Msaada wa ajira portal na mifumo mingine.* Kama umesahau password, umesahau email,nk natoa msaada binafsi tuwasiliane kwa 0792715343
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Kongamano kubwa la PPP na Wizara ya Maji | Fuatilia ujue kwanini soon shida ya maji nchini itabaki historia

    Fuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watoto wako. https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
  9. Fene

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akizaliwa pisi kali, amezaliwa na potential kubwa ya kuuaga umasikini

    Mwanamke akizaliwa pisi kali, (sura anayo, shepu ya kwenda) hakika kashapiga hatua kubwa ya kuuaga umasikini hata kama kwao hali ni tia maji tia maji, the only thing matters about them is mindset (tabia) Licha ya kuwa tuna kampeni kubwa ya kataa ndoa lakini bado wanaume mara nyingi tuanjitafuta...
  10. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa

    Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
  11. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= tu. Delivery...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandisha ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?'

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia...
  13. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Unapojenga kazi kubwa nunua mchanga kwa gari kubwa sio canter kuepuka hasara

    Nitaeleza leo umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA 1. Unaokoa pesa nyingi FAW/Mende trip 1 = TZS 350,000 inaleta 18 cubic metre Canter kuleta 18 cubic metre = trip 6 × 60,000 = TZS 360,000...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu hudhania kila mzee ni wa kuomba ushauri na guidance, wengi wao wanaweza kuchefuka na hatua kubwa uliyopiga ambayo wao katika umri huo hawakugusa

    Roho mbaya ikizeeka haikauki. Anaweza tu kukuona umewazidi maendeleo watoto wake haina budi kukuelekeza shimoni.
  15. one one chief

    JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Dkt. Akwilina Victor Kayumba?

    Katika mjadala wa maendeleo ya sekta ya afya na usalama kazini nchini Tanzania, jina la Akwilina Victor Kayumba haliwezi kupuuzwa. Ni miongoni mwa wataalamu waliopitia safari ya kitaaluma yenye uzito—kuanzia utafiti wa kisayansi hadi kushika nafasi ya juu ya uongozi serikalini. Dkt. Kayumba ana...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wageni Milioni 27 Wamerundikana South Africa, Idadi Hii ni kubwa sana, Naunga mkono Watimuliwe

    My Take Haiwezekani watu wameharibu Nchi zao harafu wanakimbilia Nchi zingine nako wakaharibu. Watu mil.27 ni wengi sana iwe takwimu za kweli au za kupika ila Watimuliwe. Nendeni Nchi za watu kidogo sio kurundikana kama ni kwenu
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Vita tutakayoianza na Iran itakuwa kubwa kuliko iliyoisha-Maafisa wa IDF

    Vita vya hivi karibuni vitakuwa 'shida moja kubwa' ikiwa uranium iliyosafishwa ya Iran haitaondolewa kwenye mikono ya magaidi hao— afisa wa IDF alisema. Afisa wa jeshi la Israeli anasema kwamba ikiwa akiba ya zaidi ya kilo 400 za uranium iliyosafishwa hadi 60% haitaondolewa kutoka Jamhuri ya...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya China ya Ushuru Sifuri ni fursa kubwa kwa nchi za Afrika

    Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii inakuja katika wakati muhimu kwa uchumi wa Afrika, ambao unakabiliana na mashinikizo ya nje...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya mienendo ya kingono na kimapenzi kwa sasa yanahaririwa na pornograph

    NGONO NZEMBE NI HATARI KWA AFYA Sex imekuwa vita sasa hivi, watu wanarushana, kukunjana na kupeana vitu visivyoeleweka, yoote ni kutokana na influence ya porno
Back
Top Bottom