Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi.
Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
Mimi ni mmoja wa wateja niliyeagiza gari kutoka nje ya nchi. Gari langu limefika bandarini tangu wiki iliyopita, lakini hadi sasa halijatolewa kutokana na changamoto kubwa ya mifumo, hususan mfumo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Kwa kweli hali hii inakatisha tamaa sana. Tangu mfumo huo...
Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake.
Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru.
Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo.
Naishia hapa....
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo.
Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi.
Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
Kigamboni ilikuwa na potential kubwa kuwa mji wa kisasa zaidi Tanzania kutokana na beach nzuri, usalama, nafasi kubwa ya ardhi na ukaribu na city centre. Watu walitegemea baada ya daraja kujengwa ingejaa hotels kubwa, malls, arenas na majengo marefu kama Dubai au Miami.
Lakini imebaki local...
KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika.
KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa.
Waheshimiwa Viongozi,
Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
Moja ya kipengele muhimu cha kuangalia kabla ya kununua Hisa za kampuni flani,ni Mapato ya kampuni.
Kampuni inaweza ikawa ina thamani kubwa labda kutokana na muhemko wa soko katika hiko kipindi lakini unapokuja kwenye biashara,ni kampuni nyengine ndiyo inayoongoza kwa kuzalisha mapato makubwa...
Nakushauri kwa madini uliyonayo utubu dhambi zako na ufanye uchaguzi sahihi.
Mtu alie makini hawezi kukaa kwenye chama kama Act Wazalendo.
Unajenga hoja za msingi lakini watu wanakudharau sababu ya kuwa upo na kibaraka wa CCM mwenye makunyanzi.
Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa eneo hili gari la taka haliji kwa wakati kubeba taka mpaka imekuwa kero.
Mda mwingine inapita hadi...
Anonymous
Thread
dampo
kero
kubwa
mabasi
mjini
mpwapwa
stendi
stendi ya mabasi
tuna
Miaka hii ya 2026 watu wanatumia smart tv na unlimited wifi bado Kuna watu wanarusha miziki kwenye vibanda na kuja kusumbua wengine wasilale usiku
Hivi hii tabia ya kununua sabufa na kufungulia mziki mkubwa ndani na kusumbua watu waliopo nje au majirani
Wengine unakuta wamepanga vyumba vya...
Ushawahi kujiuliza ipi ni kampuni kubwa hapa nchini...?
Japo msemo "Kampuni kubwa ni tungo tata" lakini mara nyingi huangazia ukubwa wa Thamani ya kampuni katika soko la hisa
Thamani ya Kampuni/Market value hupatikana kwa kuzidisha idadi ya hisazilizopo sokoni za kampuni husika kwa bei ya hisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.