Weka picha ya mjengo tujiongeze mkuu.Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Anapenda kuishi mbeyaTangazo lime someka, MENEMENE TEKERI NA PERESI kachukue nyumba hiyo
Pole mkuu,hata Mbeya.Dodoma hiyo ungekuwa tajiri sana,Mimi nimejenga nyumba hapa Dodoma Kuna mtu anataka kunipa m150!Wife anakataa wakati najenga hata m10 haifiki pamoja na kiwanja,umeme,maji,mafundi,mwaka 2003.Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Zimeshika Hela unamaanisha nini mkuu?Iwambi ipi hiyo unayozungumzia mzee? Au kule jirani na seminarini? Katika sehemu mbeya viwanja na nyumba zimeshika hela basi ni Veta, Iwambi, new forest na isyesye
Gentleman,Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Tlaahtlaah katika mbili na moko!Gentleman,
jenga nyumba nyingi kadiri uwezavyo popote Tanzania na huna haja ya kuja kunishukuru baada ya kupata mafanikio ya kushangaza sana kiuchumi, muda mfupi tu ujao.
hizo ni assets za kuondoa umaskini kwa ukoo mzima, pakiwa na mkakati mzuri na malengo mahususi kiuchumi 🐒
Weka picha ya hiyo nyumba hapa.Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Itoe isyesyeIwambi ipi hiyo unayozungumzia mzee? Au kule jirani na seminarini? Katika sehemu mbeya viwanja na nyumba zimeshika hela basi ni Veta, Iwambi, new forest na isyesye