Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,030
Reaction score
1,677
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.

Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
 
Mambo ya mbeya hayo
 
Kopea Bank Mill 30. Na usirudishe ili iuzwe.

Mkopo wa biashara. Kama huna biashara. Kopea Hata biashara ya rafik ako.

Tafuta mtu wa bank hiz kubwa akupe ABC.
Hiyo nyumba unaweza kui- value hata 50 mill.
 
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.

Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.

Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Sina uwakika na ukisemacho, Mbona ukiwekeza iwamba ni saafi sana nna jamaa yangu ana hotel na ina miaka sasa na anafurahia mapato ya kutosha tu japo wakati flan kun kampuni ilitaka imepe karibu milion 100 kuchukua eneo lake. Wewe uko sehem gani?
 
Mtelemko wa mbalizi hapo
 
Attachments

  • IMG_9826.jpeg
    IMG_9826.jpeg
    269.7 KB · Views: 2
  • IMG_9827.jpeg
    IMG_9827.jpeg
    150.3 KB · Views: 5
  • IMG_9825.jpeg
    IMG_9825.jpeg
    143.4 KB · Views: 3
Sina uwakika na ukisemacho, Mbona ukiwekeza iwamba ni saafi sana nna jamaa yangu ana hotel na ina miaka sasa na anafurahia mapato ya kutosha tu japo wakati flan kun kampuni ilitaka imepe karibu milion 100 kuchukua eneo lake. Wewe uko sehem gani?
Inategemea ila najua unaongelea iwambi mpya ile ya mipango miji waliyojenga nyumba na makazi standard
 
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.

Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200

Tafuta Benki ikopee halafu waachie msala usirudishe hata senti Tano...itakuwa imeshajiuza yenyewe hiyo
 
Back
Top Bottom