Ukifuatilia Siasa za ndani za Nchi nyingi ambazo ni kubwa Kwa eneo na watu wachache zimekuwa na shida sana ya watu wake kukosa Ajira (High Unemployment) licha ya kwamba baadhi Yao au zote Zina Utajiri mkubwa wa Madini na Rasilimali zingine.
Bila shaka hii inaonesha kwamba Rasilimali kuu ni watu...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 tu.
Bei ya Khanga: sh 17,000/=.
Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565.
@radhiyastore @prathrealestate
Benki ya dunia na IMF mwaka 2019 viliitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati baada ya maboresho makubwa ya kiuchumi yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikiongozwa na hayati Magufuli na Makamu wake Samia.
Serikali ya awamu ya tano ilifikia hayo mafanikio ya kuingiza nchi uchumi...
Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia?
Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana.
Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati.
Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu.
Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
Kuna vitu vinashangaza.
Ukipata wasaa wa kuingia migodini, hasa hasa open pit, utakutana na dumpers (dumping trucks) zenyewe zinafanya kazi sana sana ya kubeba udongo kutoka walikoblast kwenda kwenye crushers.
Bwana aya madude ni makubwa. Sana. Kwanza kupanda unapanda na kushuka kwa ngazi...
Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss wake inabidi umfundishe kazi na ujuzi tofauti uku ukimlipa hali hii sio siri inafanya waajiri weng hasa...
Kwenu mnaoenda kugraduate mimi mzee wenu nimezunguka nchi mbalimbali nimeona mambo mengi mno nawaletea mambo niliyoyaona, kwako kijana unaeenda kumaliza chuo na nyie ambao bado mko chuoni, africa imejaa bado chance nyingi sana, changamoto ya vijana wengi ni wajanja wajanja nimefanikiwa kwenda...
Hawa ni wasomi/wanasayansi walio hai ambao wamekiri wazi imani yao katika Kristo:
Francis S. Collins — PhD in Physical Chemistry; MD in Medicine
Huyu aliongoza Human Genome Project. Human Genome Project (HGP) ulikuwa mradi mkubwa wa kimataifa wa kisayansi wa kuchora na kubaini mpangilio wa DNA...
Tushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link
Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi).
Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi...
Hili alifichiki Gen Z rate yao ya kuzeeka ipo kasi sana tofauti na Millennials.
Wengi wana miili mikubwa, nywele zikuwa brown au nyeupe mapema na sura zao zinakomaa mapema sana. Hii ni tofauti na kipindi Millennials walipokuwa na umri kama huo, na ndio maana wale Millennials wa mwisho mwisho...
Watu wengi wanaota kuwa na biashara yao wenyewe, lakini mara nyingi wanaahirisha kwa sababu wanaamini wanahitaji mtaji mkubwa sana ili kuanza.
Mama Catherine naye alianza akiwa mama wa nyumbani, bila kujua kwamba wazo dogo alilokuwa nalo lingeweza kubadilisha maisha yake.
Alianza kuuza ice...
Sasa hivi ni saa 18: 59 foleni ni kubwa sana gari za kutoka Morocco kuelekea kawe na kutoka kawe kuelekea Morocco hazitembei kabisa, Kama unaweza kutokupita barabara ya Mwai Kibaki usipite, tumia njia mbadala au subiri.
Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na...
Wahouthi wameuteka mlango bahari wa Bab al Mandab unaotenganisha Afrika na Asia na kupitisha asilimia 7 ya mafuta duniani. Bei imepanda kufikia dola 105 kwa pipa? Wahouthi wanasema meli za SA hakuna kupita.
Wahouthi hao hao wameipiga mabomu Saudi Arabia. Saudi Arabia kaomba msaada US, Trump...
Ikiwa Makamu Mwenyekiti (au kiongozi mkuu) wa Chadema, Tundu Lissu, atafungwa kwa kosa la uhaini, hali ya hewa ya kisiasa nchini Tanzania inatarajiwa kukumbwa na taharuki kubwa, migawanyiko ya kiitikadi, na shinikizo kubwa la kimataifa. Kesi hii inayomkabili, ambayo kwa sasa inaendelea katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.