Kigamboni Ilipaswa Kuwa Mji wa Hotels, Malls na Skyline Kubwa ya Dar

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,594
Reaction score
59,919
Kigamboni ilikuwa na potential kubwa kuwa mji wa kisasa zaidi Tanzania kutokana na beach nzuri, usalama, nafasi kubwa ya ardhi na ukaribu na city centre. Watu walitegemea baada ya daraja kujengwa ingejaa hotels kubwa, malls, arenas na majengo marefu kama Dubai au Miami.

Lakini imebaki local sana kwa sababu miradi mingi iliishia kwenye mipango kuliko utekelezaji. Infrastructure kama barabara, drainage, maji na usafiri haikukua kwa speed ya kuvutia wawekezaji wakubwa. Pia wawekezaji wengi walibaki upande wa Masaki na Oysterbay ambapo biashara tayari zilikuwepo.

planning ya Dar kuwa ni ya hovyo na ukuaji wa kiholela badala ya kujenga modern skyline yenye apartments na commercial towers. Kigamboni iliahidiwa sana kama future city lakini haikutendewa haki kwenye utekelezaji wa maendeleo.ilikuwa inatakiwa wageni wengi wanaofikia tanzania wakakae kigamboni ingekuwa vizuri sana..ilikuwa inatakiwa ukisimama huku ferry kigamboni unaiona kama posta..sasa nashangaa mpaka sasa hivi hakuna hata mall moja ndo kwanza wametengenezewa kfc hivi karibuni..
 
Miundombinu ya kigamboni bado ni duni sana. Daraja liko mbali kutoka CBD....Uendelezaji hauendani na masterplan. Kwa mfano, maeneo ambayo yalipangwa kujengwa hotels hivi sasa kumejengwa inland container depots (ICDs)...Mfano pale mbele ya Mikadi...Sehemu za makazi sasa kunajengwa viwanda......Kwa mazingira haya ni ngumu kufikia lengo la kwenye masterplan....
 
Kigamboni ilikuwa na potential kubwa kuwa mji wa kisasa zaidi Tanzania kutokana na beach nzuri, usalama, nafasi kubwa ya ardhi na ukaribu na city centre. Watu walitegemea baada ya daraja kujengwa ingejaa hotels kubwa, malls, arenas na majengo marefu kama Dubai au Miami.

Lakini imebaki local sana kwa sababu miradi mingi iliishia kwenye mipango kuliko utekelezaji. Infrastructure kama barabara, drainage, maji na usafiri haikukua kwa speed ya kuvutia wawekezaji wakubwa. Pia wawekezaji wengi walibaki upande wa Masaki na Oysterbay ambapo biashara tayari zilikuwepo.

planning ya Dar kuwa ni ya hovyo na ukuaji wa kiholela badala ya kujenga modern skyline yenye apartments na commercial towers. Kigamboni iliahidiwa sana kama future city lakini haikutendewa haki kwenye utekelezaji wa maendeleo.ilikuwa inatakiwa wageni wengi wanaofikia tanzania wakakae kigamboni ingekuwa vizuri sana..ilikuwa inatakiwa ukisimama huku ferry kigamboni unaiona kama posta..sasa nashangaa mpaka sasa hivi hakuna hata mall moja ndo kwanza wametengenezewa kfc hivi karibuni..
KFC ya Kigamboni iko wapi?
Au umesikia tu story kwa watu mdau
 
Nani na pesa yake ataenda kukaa hotel kule??Ukiweka ma hotels kule zitakua white elephants tu . Utalii wa kuwekeza hivyo bado sana kwa bongo. Ni hasara.
Lakini hotel zipo pia! Usidharau moja kwa moja

Kuna Overhang na Aya Sophia kule
 
Back
Top Bottom