kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Tutafakari hili kwa akili kubwa kidogo!

    Ivi kungekua na tume huru ya uchaguzi, Uhuru wa habari na uwajibikaji wa viongozi yangetokea ya October 29
  2. Kelela

    JamiiForums Tanzania Toyota Vitz Vs Toyota Starlet-Ipi ina Nafasi Kubwa

    1. Ipi ina nafasi kubwa? 2. Ipi imara kwa masafa marefu yaani kupiga ruti hata za mkoani mara moja moja
  3. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Wanawake wa Kipare wanajiona wao ndio wana Soko kubwa sana kwenye Mahusiano tofauti na Wanawake wa Kichagga?

    Hilo ni swali mezani wakuu. Nawauliza kutokana na kile ninachokiona kwa macho yangu mawili, why mabinti wa kipare wanajiona kwamba wao ndio wana soko kubwa sana linapokuja suala zima la mahusiano ni kama kwamba wao ndio namba #1 kisha wengine wanafuata, nini sababu? Hii nazungumzia kwa...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

    The top 5 largest banks world largest banks by assets: 1. Industrial and Commercial Bank of China (ICBC) | China Assets: $7.30 trillion 2. Agricultural Bank of China | China Assets: $6.80 trillion 3. China Construction Bank | China Assets: $6.20trillion 4. Bank of China | China...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  6. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika namba 9 kwa kuwa na bei kubwa ya mafuta Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya tisa barani Afrika na ya 67 duniani kwa bei kubwa ya mafuta mwezi huu wa Mei 2026, ikisajili wastani wa $1.587 kwa lita. Kulingana na takwimu za GlobalPetrolPrices, hali hii inatokana na kupanda kwa gharama za nishati duniani, jambo linaloongeza gharama za maisha...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu ni kubwa kuliko mwekezaji yeyote yule

    Nchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga Halafu pia tumfanyie figisu kwenye kiwanda chake cha Mtwara , haiwezakini akadharau maamuzi ya...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Pigo Kubwa Kwa Iran: Rais Xin Ping wa China Amesema China na Marekani Zinatakiwa Kuwa Washirika na Siyo Washindani

    Siku zote tunasema kuwa China haiwezi kukubali kuingia uhasama na USA, jambo ambalo linaweza kuathiri uchumi wa China kwa kiasi kikubwa sana. Kwa nchi ya China, kipaumbele chake kikubwa ni uchumi wa China. Nchi ikiwekewa vikwazo, China inawahi haraka ili kujipatia bidhaa kwa bei nafuu isiyo na...
  9. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana

    Asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu ni wanyenyekevu sana kuliko hawa wenzetu wana upendo sio waku fake ,wanastara kubwa sana. Ukija wanawake wakikristo wanaongoza kwenye mauaji ya wivu wa mapenzi Fatilia matukio ya usaliti kuuana kuchinjana wanawake wakikristo wanaongoza wao headlines zote...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za MCT: Ada Kubwa, Huduma Mbovu, majibu ya mitihani na leseni hawatoi kwa wakati

    Kuna kero sana kwenye hii Medical council of Tanganyika(MCT), chama kinachosimamia madaktari wa nchi hii kila mwaka tunalipia leseni laki moja na elfu hamsini, lakini hakuna cha maana tunachopata Sasa hivi mtu unalipia lakini wanashindwa kuhuisha leseni ukiwapigia simu hawapokei muda mwingine...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania IRGC yaionya Marekani dhidi ya mashambulizi dhidi ya meli zake uvumilivu umefika mwisho. Italipiza kisasi kwa nguvu kubwa.

    Wanaukumbi. TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa linaangamia kwa kukosa Waandishi critical na investigetive Kama Pascal Mayalla. Ufisadi unatamalaki na taifa lina ombwe kubwa la uongozi.

    Amebaki Pascal Mayalla anajitutumua kua very critical. Ufisadi unaoendelea sasa hivi bila kuwa tasinia ya habari yenye waandishi wa habari kama Pascal Mayalla taifa letu linakwenda pabaya sana. Bajeti zinapitishwa na bunge huwezi kuona Mwandishi amechambua au kumhoji waziri husika...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tuombe kazi kupata inawezekana ata kama competition ni kubwa hasa kupitia ajira portal

    Kwa Msaada wa ajira portal na mifumo mingine.* Kama umesahau password, umesahau email,nk natoa msaada binafsi tuwasiliane kwa 0792715343
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Kongamano kubwa la PPP na Wizara ya Maji | Fuatilia ujue kwanini soon shida ya maji nchini itabaki historia

    Fuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watoto wako. https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
  16. Fene

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akizaliwa pisi kali, amezaliwa na potential kubwa ya kuuaga umasikini

    Mwanamke akizaliwa pisi kali, (sura anayo, shepu ya kwenda) hakika kashapiga hatua kubwa ya kuuaga umasikini hata kama kwao hali ni tia maji tia maji, the only thing matters about them is mindset (tabia) Licha ya kuwa tuna kampeni kubwa ya kataa ndoa lakini bado wanaume mara nyingi tuanjitafuta...
  17. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa

    Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
  18. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= tu. Delivery...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandisha ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?'

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia...
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Unapojenga kazi kubwa nunua mchanga kwa gari kubwa sio canter kuepuka hasara

    Nitaeleza leo umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA 1. Unaokoa pesa nyingi FAW/Mende trip 1 = TZS 350,000 inaleta 18 cubic metre Canter kuleta 18 cubic metre = trip 6 × 60,000 = TZS 360,000...
Back
Top Bottom