Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya wengi wao huishia my wa machoko na mateja...
Du kama ndo hivyo Bora wasome Kayumba na waishi hapa...
Kuna upinzani ndani ya CCM na nje ya CCM.
Nje ya CCM ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Imeonekana haina habari za siasa za kitapeli za kulaghai wananchi.
Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la wanaCCM ambao hawaiungi mkono hii serikali ambayo hata wao wanasena hakuna uchaguzi uliofanyika Oktoba...
Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa
Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume
Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza
Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena...
Wasalam ndugu zangu.....
Kibaya zaidi Kampuni ya kigeni ikimaliza kuchimba inafunga na kuondoka, Itatuachia mashimo + kemikali + ajira zilizopotea.
Kiuchumi tunaita Resource Curse laana ya Rasilimali. Una mali lakini unabaki maskini zaidi.
TUTAPOTEZA VIZAZI 2
Kizazi cha leo kinapata...
Nikiwa mmoja kati ya Wakazi wa Goba, naomba kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya usafiri wa umma inayotukabili sisi wakazi wa Goba na maeneo yanayotuzunguka.
Kwa sasa hatuna magari ya umma ya kutosha yanayotoa huduma moja kwa moja kama daladala za uhakika. Mara nyingi tunategemea...
Anonymous
Thread
daladala
gharama
gharama kubwa
goba
hizi
kituo
kituo cha daladala
kubwa
kutegemea
Wafanyabiashara wa eneo la Darajani, Vikokotoni wanaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukusanyaji wa taka mbele ya maduka yao.
Licha ya kulipa pesa za taka kwa Manispaa kupitia tozo zinazojumuishwa kwenye leseni za biashara, taka zinaendelea kuachwa mbele ya maduka baada ya wafagiaji...
Anonymous
Thread
ila
kubwa
maduka
manispaa
mbele
pesa
sababu
sana
shida
taka
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Bei ya Khanga: sh 18,000/=.
Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565.
@radhiyastore @prathrealestate
Nikiwa muumini wa Mungu, naiomba Serikali iangalie upya mfumo wa usajili na usimamizi wa baadhi ya makanisa. Badala ya kuwa sehemu ya kutatua changamoto za jamii, baadhi yamekuwa kero kutokana na kufanya mikesha kwa kutumia sauti kubwa zinazowanyima wananchi usingizi.
Hali hii imekuwa...
Source: Time Magazine Why Gen Z Is Drinking Less
Hata baa huko marekani zinaanza kufanya marekebisho ili wawarudishe gen x maana walikimbia pubs baada ya kuboreshwa kuwakabilisha gen z, ila gen z kumbe hawaji pub kutafuta pombe bali kula jagina😁
Ndio kabisa, hakusa kizazi cha kifuska kama gen...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Bei ya Khanga: sh 18,000/=.
Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565.
@radhiyastore @prathrealestate
VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI
1.🖇️ Uzito kupita kiasi(Overweight)
2.🖇️ Ujauzito
3.🖇️ Unywaji pombe
4.🖇️ Kukaa sana sehemu ngumu
5.🖇️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
6.🖇️Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia...
Super Market huwa sehemu ya vyakula ndio Cash cow yao ya kuendeshea biashara, ndio sehemu wanayo patia pesa za kurun Duka zima. Bidhaa zingine zinazo bakia ni changamoto tu kama ilivyo mtaani.
Ndio Maana Super Market kubwa wanajitahidi sana wawe na fresh food muda wote na kwa wingi sana kwa...
Wanajamvi,vita kubwa mbili tofauti zinazohusisha ma Supapawa wa asili,hivi Sasa zinapiganwa hapa Dunia.
Vita ya kwanza ni Urusi dhidi ya Ukraine.
Vita ya pili ni Iran dhidi ya USA pamoja na Israel.
Vita hizi mbili zimeigawa Dunia mara mbili yaani Urusi inapigana na Ukraine,ambapo Ukraine...
Kumekuwa na bei kubwa/ghali sana ya vyakula kwa wasafiri nchini. Sehemu ambazo magari yanapeleka abiria kula yamekuwa yakitoza gharama sana za vyakula, Wahusika walifuatilie hili, watu wanaumia sana.
Watanzania ni kama hakuna wa kuwasaidia kiuongozi na kiutawala.
Zaburi hizi
1)zaburi ya 23
(wagalatia 3:13,mwanzo 22:14 isaya 54:17)
2)zaburi ya 27
3)zaburi ya 64
4)zaburi ya 91
5)zaburi 112
(wagalatia 3:29,mithali 3:29)
6)zaburi ya kwanza 1
.(yeremia 17:7-8,wafilipi 4:19)
7)zaburi 30
Hii hipo dunia nzima kila jambo.Kuna maeneo mfano dar es salaam pale kigamboni na n.k au mmbwemi ilikuwa ngumu mtu kununua zaidi kuzidi chini ya laki tisa na zaidi kipindi cha zamani.
Leo waliokataa kununua ndio wananunua kwa bei kubwa zaidi.
Meli kubwa ya makontena duniani inayotumia gesi ya LNG, CMA CGM NOTRE DAME, imeandika historia baada ya kufanyiwa kwa mara ya kwanza ujazaji wa mafuta ya Bio-LNG katika Bandari ya Rotterdam, Uholanzi.
Bio-LNG ni aina ya mafuta yanayotengenezwa kutoka kwenye taka za kilimo na mabaki ya viumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.