Agnes Gathaiya
Agnes Gathaiya has been appointed the new Country Director for East Africa at Google.
Agnes, who boasts a 21-year experience in organizational transformation, focused on developing strategy, will manage the regional operations for East Africa.
She will be responsible for...
Sherehe za ubatizo, Ndoa, kifo, mahari,hitma nk Sasa zinatozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako. Hii ni aibu Kubwa kwa Serikali hii.
https://t.co/pDXnXxa4zD
Habarini.
Kweli kabisa yaani mgombea akijaza nyomi kwenye mkutano wake wa kampeni kwenye chama fulani cha siasa inaashiria ushindi????
Imani gani hizi. Nimekua nafuatilia sana hapa jukwaani kila mtu anaulizia nyomi vipi huko. Tumeni picha. Sijui tunataka aerial view.
Yaani mmeyasahau yale ya...
Wana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara.
Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita Askofu...
Nimetafakari nikaona hawa jamaa tusiwabeze. Wanawakilisha Jamii ya watanzania wavumilivu.
1: Wanaingia katika uchaguzi wakiwa katika kumbukumbu ya suluba Kubwa ya wasioulikana ambao hawajajulikana. Kati ya CCM, Wananchi, na Wapinzani tukiacha wale Ndugu wa kibiti wapinzani wameongoza kwa...
Nilikuwa namsaidia mtu kutafuta ist au raum au run x iliyotumika nchini, bajeti ilikuwa 6.5 to 7m. Nikajisemea kwa bei hii atapata gari ambayo itakuwa imetumika mwaka au miaka miwili nchini na itakuwa nzuri tu.
Matokeo yalinishangaza kidogo. Ukitaka kununua Gari iliyotumika hata 5 years nchini...
Haiwezekani uengue wagombea wa chama kimoja chenye nguvu 16 kati ya 18 katika kisiwa kizima, huu ni uhujumu wa wazi wazi unaominya haki za watu kuchagua. Haiwezi kuondoa wagombea udiwani zaidi ya 600 nchi nzima kama kweli unalitakia taifa hili amani.
CCM kwakua Mwenyekiti wao wa taifa ndiye...
Baada ya miaka 50 ya chama kimoja tumefikia hapa na ikumbukwe 1960 tulikuwa na uchumi sawa na korea ya kusini sasa angalia hiki chama.
Hakuna uhuru wa maoni
Hakuna uhuru wa vyombo vya habari
Hakuna mijadala ya hoja kwenye media
Mihimili ya taifa hutawaliwa na mtu mmoja
Rais amekuwa mfalme
Deni...
Ingawaje kwenye sekta ya habari, kuna kanuni moja Kuu kuwa ni lazima waandishi hao wazisake kwa nguvu zote habari zinazouzika, lakini kwa hapa nchini hali imekuwa tofauti sana, kwa vyombo vyote vya habari nchini, ambapo "vimelazimishwa" kutangaza habari za upande mmoja pekee, za Rais Magufuli...
Kuna baadhi ya vitu vinaweza kukufanya ujifikiria mara mbili kama ulifanya chaguo sahihi kuwa shabiki wa Simba CS. Kuna upuuzi fulani ulifanywa na Utopolo FC kwa kumbeba mhabeshi alipokuwa akiwasili uwanjani Airport akitokea Congo. Ile picha iliwachoresha sana. Kwa mtu mshamba ambaye haijui...
Siku ya Jana CCM ilitangaza majina ya Watu watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo yote, Bara na Visiwani, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Uteuzi huo unaweza kutazamwa kwa sura mbili, yaani sura ya kwanza kuwa ni tishio na ile pili...
The Central Bank of Kenya (CBK) announces the shortlisting of 15 finalists from 7 African countries for the Virtual Africa Hackathon 2020 (the Hackathon) to be held on August 31, 2020.
The finalists were drawn from 74 submissions from 14 countries in Africa, Europe and the Middle East. The...
Wapemba wanasema kaa chonjo saa mbaya. Ewe Mwana CCM upepo unaovuma ni kivumbi cha wananchi walio wengi tena wenye hasira ambao wameamua kupiga kura kwa kishindo kuondoa utawala na kusimika uongozi.
Usikubali kutumika kuingilia au kutumwa kuvuruga mwendo kasi huo, watawala watakuja kukukana na...
Moja ya mambo yatayoigharimu CCM hii ya Magufuli, ni hiki kitendo cha mikutano ya Lissu inayovuta maelfu ya Wananchi kusambaa mitandaoni huku kwenye mainstream Media kama vile tv na redio mikiutano hii hairipotiwi wakati wananchi wanategemea kuiona ikiripotiwa katika vyombo hivi vya habari...
18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya...
The University of Nairobi continues to record honourable milestones after a Kiswahili lecturer from the institution bagged an award in the US.
In a statement from the university released on Tuesday, August 18, Prof. Iribe Mwangi, the Chairman, Department of Kiswahili was awarded by the...
Wandungu, siyo siri naamini nanyi mmeona kuwa chuki dhidi ya watanzania waishio nje ya nchi imeongezeka sana kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli. Kama huamini jaribu kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo humu ndani hasa kuhusu mada zinazohusu siasa na watanzania waishio nje ya nchi, utaona chuki...
Wasalaam,
Nimetafakari na kushangaa kwa ni nini chama dola chama pendwa CCM kinatumia nguvu nyingi ikiwamo vitisho kumnadi magufuli ili hali Mh kaleta maendeleo kama flyover, mabarabara na hospitali?
Tumeshudia CCM ikiandaa tamasha kubwa na kulipa wasanii zaidi ya mia2 ili kuwatumia katika...
Ipo siku tutaeleweka tu, kwa mwendo huu huu, hongera kwa kizazi chetu cha kesho, ni wazi tunapokeza taifa kwa vijana walio tayari kufanya makubwa huko mbele.
=======
Savanna Circuit Tech company founders Percy Lemtukei (right) and Emmastella Gakuo (left).
A Kenyan company, Savanna Circuit...
Mwendo ni Bandika Bandua,
Kifupi hatusajili kwa ajili ya kushindana na Yanga, maana sio level yetu, tumeshaiacha mbali.
Wale wa Vidonge Vya Presha kama kawa msisahau kesho kukaa na vidonge vyenu karibu. Kama vimeisha nunueni kabisa. Na Ikiwezekana itaneni kabisa muulizane kesho ni nani ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.