kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Idadi ya vifo kwa wanaoguziwa nyumbani ni kubwa kuliko walioko hospitali

    Vifo vinavyotokana na CoronaVirus vya wagonjwa wanaouguziwa nyumbani inaongezeka kwa kasi kuliko wale wanaoguziwa hopitalini Ofisi ya Takwimu ya Uingereza yasema Katika wiki iliyoisha Mei 1, vifo vya CoronaVirus viivyotokea katika nyumba binafsi vilikuwa ni 35.7% ya vifo vyote, na idadi hiyo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wasafi media leo watafanya tukio kubwa

    Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi wasafi tv, Wasafi FM na Channel yao ya YouTube Wasafi media haijulikani nikutambulisha mtangazaji...
  3. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Fahamu gunduzi kubwa zilizoanza kuvumbuliwa Afrika (Misri) kabla ya Wazungu

    Salute Nakumbuka kipindi nipo secondary kwenye masomo yangu pendwa hasa Biology karibia kila terminology nililiyokua nasoma kwenye definition yake ilikua inaanza na maneno “it’s a Greek word”, swali kubwa nililokua nabaki nalo na mpaka sasa hua najiuliza ni kwamba..Je wagiriki ndio watu wenye...
  4. R.B

    JamiiForums Tanzania Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

    Chato ni eneo zuri ki ulinzi kwa kiongozi ikibidi zaidi ya Dar es salaam na Dodoma 1. Kiusalama imezungukwa na ziwa Lina visiwa zaidi ya 60; Ni rahisi kuondoshwa kupitia njia ya Maji 2. Ulinzi : Kuna vikosi vikubwa vinne . Biharamulo,Ngara, Rwamishenye,Kaboya na Kwa Mbali Mwanza . Kiulinzi...
  5. fungi6

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo litachimbwa shimo kubwa kutokea upande wa pili wa dunia?

    Tukiachana na layer na sifa zake kwa kuongezeka joto kadri mtu unavyo zidi teremka chini ya ardhi Layer zenyewe zikiwa zinajulikana kama, -mantle(2) -crust(1) -core(3) Je unaisi itakuaje mtu akichimba shimo kutoka pande moja ya dunia shimo litokee upande wapili je akiruka kudumbukia kutoka...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo letu kubwa lipo kwenye mfumo wetu wa Elimu ndiyo maana tunazalisha viongozi dhaifu

    Habari wana jamvi, Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi mambo yanavyo endelea nchini mwetu katika nyanja mbalimbali, nimegundua kuwa tatizo ni kubwa mno hasa kwasababu linaanzia kwenye mfumo wetu wa Elimu. Mwishoni nitajitahidi kufafanua. Kifupi ni kwamba waliotakiwa kuongozwa ndio wanatuongoza...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto aituhumu Serikali kuficha takwimu za wagonjwa na vifo vya COVID-19, adai Zanzibar pekee vifo ni 32 na wagonjwa 235

    Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
  8. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni filamu ya Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?

    Are the Pharmaceutical industries running the show? Hii kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni kama filamu la Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?. Mataifa yote duniani tuna chezeshwa mchezo kama wa kampuni ya kusadikika iitwayo Biocyte Pharmaceuticals wa kutengeneza Chimera Virus na tiba...
  9. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia chache tu ya wanaume wa Ki-Africa ndio huoa Wazungu na kati ya hao asilimia kubwa huoa wazee?

    Hili suala mimi binafsi limekuwa likinitesa sana pamoja na kuwa nje kwa mda mrefu na mahusiano tofauti tofauti lakini linapokuja suala la kuoa napata wakati mgumu sana nikiwa naamini kwamba mwanamke wa ndoto yangu atatoka ukanda wa Africa mashariki. Na hii sio kwangu tu black wengi ambao...
  10. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame amesema , Rwanda itategemea sayansi katika mapambano dhidi ya CORONA

    Rais Kagame amesema Rwanda itategemea science katika mapambano dhidi ya CORONA. Amesema hayo akijibu swali la mwandishi alie muuliza kuhusu dawa ya Madagascar, "tunategemea zaidi Sayansi kuna mengi ya kujifunza kuhusu hiki kirusi na namna ya kukabiliana nacho " alisema Kagame. ======== On May...
  11. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Je, ni msanii gani Tanzania unatumia nguvu kubwa sana kumtetea utafikiri unalipwa?

    Hey Hey! Note: COVID-19 is REAL Chagua kwa uangalifu wa kumskiliza. BACK TO THE TOPIC. Je, ni msanii gani hapa Tanzania umekuwa unaumia sana akitukanwa au kukosolewa na hivyo kupelekea wewe kutumia nguvu kuuubwa sana kumtetea mitandaoni na vijiweni utadhani unalipwa?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameathirika na " Hofu" baada ya kijana wake kupambana na Corona lakini CHADEMA ni kubwa kuliko familia

    Binafsi nakubaliana kabisa na wabunge wa CHADEMA kujiweka katika karantini kwa sababu hiyo ni haki yao ya kikatiba ya kulinda uhai. Kilichonishangaza kidogo ni namna Chadema inavyofanya maamuzi bila vikao rasmi vya kikatiba kuketi. Kwa mfano wabunge wa chama kutoingia bungeni ni muhimu wakapata...
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Taifa lipo kwenye hofu kubwa, mnapopotosha umma ni kama mnachochea moto

    Hakuna kitu kibaya kama hofu na tena hofu ya kufa. Kila Mtanzania sasa hivi ana hofu kubwa sababu hali ya huu ugonjwa unaoingamiza kwa hapa Tanzania hijulikani ipo katika level gani. Nasema hivyo sababu bado sijasikia toka kwa mamlaka husika kuwa maambukizi yanaaendelea kushika kasi? Yamepungua...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mtemi Chenge: Corona ni tatizo kubwa, hii bajeti tunayoipitisha sasa lazima tutakuja kuifumua huko mbele

    Mbunge Andrew Chenge amesema Corona ni janga hatari kijamii na kiuchumi na kwamba hata hii bajeti wanayoipitisha sasa lazima watakuja kuifumua baadae ili kuendana na hali halisi baada ya Corona. Chenge amesema hayo wakati akichangia makadirio ya wizara ya maji. Chanzo: ITV habari! My take...
  15. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Kujifukiza kiholela kutaleta athari kubwa baada ya Covid 19: Wizara ya Afya itupe mwongozo wa mchanganyiko sahihi haraka

    Kwenye kipindi hiki cha covid 19 kumekuweko na shuhuda na maelezo mbalimbali kuhusu aina za michanganyiko ya viungo, majani au mitishamba ya kutumia kwa kunywa au kujifukiza na wakati mwingine maelezo yamekuwa yakipishana. Michanganyiko ambayo imekuwa ikitajwa sana na wengi inajumuisha vitu kama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nijenge nyumba kubwa kwa muda mrefu au nijenge ndogo uani, kiwanja 20:30

    naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika wasema Nzige wa jangwani waweza kuwa janga kubwa Afrika

    Taarifa iliyotolewa kwenye mkutano ya kamati ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu uvamizi wa nzige wa jangwani ulioanzia mwezi Juni mwaka jana na kuendelea kuziathiri nchi za Afrika Mashariki Wameonya kuwa tatizo hilo huenda litakuwa janga la bara nzima kama...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Umoja wa Mataifa waonya juu ya baa la njaa

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP Bw. David Beasley jana jumanne alionya dhidi ya kutokea kwa baa kubwa la njaa kote duniani, sambamba na janga la COVID-19. Bw. Beasley ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa, wakati dunia nzima inakabiliana na...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live on Star TV: Corona Kushika Kasi Ndio Habari Kubwa Tanzania, Jee Media ya Tanzania, Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo?

    Wanabodi, Mimi mwanahabari wako, Paskali Mayalla, leo asubuhi, kama kawaida ya kila Jumamosi asubuhi, huwa nashiriki kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kutokea Mwanza, kikiongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendu na huku Dar huwa niko mimi tukikuchambulia...
  20. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Hali ya Usawa itarudi katika maisha Ila kutakuwa na tofauti kubwa Kati ya alienacho na asienacho

    Hii hali tuliyonayo sasa imekuja kutufundisha usawa wa kila jambo yaani no janja janja kwa maana kama wewe ni mfanyabiashara uwe mfanyabiashara kweli na kama ni shule iwe ni shule kweli kama ni benki basi iwe ni benki lakini sio sehemu ya kusubiri deposit za wateja. Mpaka hili swala liishe...
Back
Top Bottom