Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
bendera
chadema
habari
haki
historia
huzuni
itv
kubwa
makongoro
makongoro nyerere
maua
mkapa
musiba
mwanaharakati
nyerere
nyumbani
rais
saa
serikali
shada
sherehe
tanga
tbc
uhuru
upinzani
watoto
KIFO cha Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bejamin William Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo ya Tanzania, Afrika na duniani kote kwa mchango wake uliooendelea kuhitajika ndani na nje ya mipaka yaTanzania.
Rais wa Zanzibar na...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema kuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, alikuwa Kiongozi wa dunia, mshauri wa masuala ya Uchaguzi na kinara katika kulisaidia bara la Afrika kutatua migogoro bila kuchoka
Amesema siku zote Mkapa alikuwa anathamini akili...
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa...
Natumai hamjambo wanabodi.
Miaka ya sasa kumekuwa na ongezeko kubwa sana la singo maza mitaani, je sababu kubwa ya ongezeko hili hasa ni ipi kati ya zifuatazo:
1. Malezi mabovu ya wazazi wa sasa
2. Utandawazi
3. Kizazi cha sasa ndo kilivyo
karibu tujadili
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...
1. Anaweza kusimama muda mrefu bila kuchoka wala kutikisika hata kama Inzi ametua Mdomoni au Jichoni.
2. Hasikii Haja Ndogo mara kwa mara kama tulivyo Sisi wengine ambao kila baada ya dakika 45 tunaenda Kukisalimia Choo.
3. Hata ikitokea akasikia (akapatwa) na Haja Kubwa awapo Kazini kuna...
Maskini hutapeliwa zaidi na hii ni sababu kubwa, weka laki moja baada ya miezi mitatu utarudishiwa laki tatu
Utapeli kimsingi upo tangu enzi na kila mtu anaweza kutapeliwa kwa namna moja au nyingine
James Randi alisema, No matter how smart or educated you are, you can easily be deceived. So no...
Salma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, Mkoani Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Machi 2017, Salma ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa...
Wakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Habari Star TV Tanzania
Unaweza kudhani ni Hatua nzuri ila hapa kwa Jicho la...
Mimi si mtu mzima sana ingawa nami najongea miaka ya kuweza kugombea Urais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa(miaka 40). Hatahivyo, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na mambo ya kinchi tangu nikiwa mdogo. Leo, nitalizungumzia Bunge kama Mhimili mmojawapo wa dola. Mingine, wengi...
Mkandarasi aliyepewa kumalizia kuweka lami eneo korofi baada ya kuvuka daraja la Kigamboni (Mnadani) amegeuka kero kubwa Sana kutokana na staili yake ya ujenzi usiozingatia kanuni za ujenzi!
Kanuni za ujenzi zinamtaka Mkandarasi kutumia Alama na michoro (posters) kutoa maelekezo kwa watumia...
Kwa mtazama wangu, matokeo ya kura za maoni ya watia nia wa CHADEMA, yanadhihirisha jambo moja kubwa: Wabunge waliokataa kuuza utu wao, wameaminika sana kwa wananchi na hivyo wana nafasi kubwa sana ya kushinda katika uchaguzi kama walivyoshinda katika kura za maoni.
Mfano ni matokeo haya ya...
Kwa asilimia kubwa wadada wengi ni wategemezi kwa wanaume au wapenzi wao, hata kama wao wana kazi nzuri inayowalipa vizuri lakini bado watategemea cha mwanaume wake. Kwa hali hiyo wakuu si bora uoe au utafute mpenzi (mdada) ambaye ni jobless tu. Cha kwake ni cha kwake, na cha kwako ni cha kwenu...
Blogging
Forex
Affiliate marketing
Freelancers, n.k
Hata saa iliyoganda inaweza kuwa na msaada kama muda unaendana na pale ilipogandia lakini zaidi ya hapo ni hasara kubwa.
Kumekuwa na wimbi la vijana kujifungia ndani muda wote wakiwa wanatafuta pesa mtandaoni kwa niia nlizozitaja hapo juu...
Tumemsikia mara kwa mara Rais Magufuli wakati akihutubia akisema kuwa maendeleo hayana vyama, akimaanisha kuwa serikali yake haina upendelo linapokuja suala la maendeleo ya nchi, kuwa kila mwananchi anayo haki sawa
Lakini, maneno hayo yana tofauti kubwa katika utendaji wake katika uteuzi wake...
Leo nataka ujue namna ya kujua mwanamke ambae anadanga. Yani ile umemfia ile mbaya unajitahidi kuhudumia lakini sasa hujui kama anadanga.
Sifa yao kuu ni moja tu: UONGO.
Sikiliza sana ulimi wao, sifa kubwa ya mwanamke mdangaji ni uongo na pretence.
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa...
Lazaro Nyalandu yuko live Clouds tv akiweka wazi mipango yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa JMT.
Maendeleo hayana vyama!
=======
Nyalandu: Mbowe ni mtu ambae amestahimili, amepambana na amekuwa muaminifu kwa chama hiki. Amekuwa ni kiongozi ambae ni mfano wa kuigwa na historia itamkumbuka...
Akubali kuongoza mapambano dhidi ya CCM bila ya kudai malipo mbele.
Uhitaji wa Tanzania wa mwelekeo mpya, kuiondoa katika utekwaji chini ya mtu mmoja ni mkubwa zaidi kuliko mahitaji ya cheo kwa mtu anayeweza kuchangia kuiokoa Tanzania kutoka kwenye utekwaji huo.
Membe akubali kuwa mstari wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.