Wanangwa,
Jana nilikuwa kanisani, mimi ni m- KKKT, na kama mnavyojua KKKT ni moja kati ya Taasisi kubwa sana hapa Tanzania ya kidini. Sasa wakati Mzee wa kanisa anasoma matangazo kikaja kipengele cha mapato, akasoma yote kisha akasema "Baki usharikani ni Tshs kadhaa", pia akataja asilimia...
Magufuli hakuna mtu hata mmoja anaweza kukaa naye na kumueleza ukweli bila kuna na mahitaji binafsi.
Mzee Mwinyi: Anachojali ni mtoto wake kuwa rais zanzibar
Kikwete: Anajali mtoto na mke wake familia inatamaa haiwezi kupumzika😂. Mama Salma hawezi hata kutoa hoja masikini
Mkapa pekee ndiye...
Wadau wanao hitaji kujua jinsi ya kupika maharage
----
Jinsi ya kupika maharage
Kuna njia mbali mbali za kupika maharage lakini kuna moja haitambuliki sana na watu wengi ingawa inahitajika mpishi awe na subira pale anapotumia mbinu hiyo.
Unachohitaji kuwa nacho ni 'Chupa ya chai au...
Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.
Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.
USIKU YAONEKANA KAMA JIJI LA NEW YORK AU LONDON. WENYEWE WAMWOMBA RAIS KIKWETE, MZEE WA VIJISENTI AKAWASAFISHE
WAKAZI wa Kijiji cha Gamboshi, kilichopo wilayani Bariadi, Mkoa wa Shinyanga, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasaidie kusafisha kijiji chao kutokana na jina baya lililoenezwa duniani...
Watu wengi sina hakika kama wanaliona hili ila Muziki wa Bongo fleva kwa kifupi umeingiliwa, umechakachuliwa na too bad ni kama unakufa.
Nadhani wanaopenda muziki kama mimi wanapata tabu tu na hawana la kufanya.
Na katika hili Clouds media ( Hususani marehemu Ruge ) hawezi kuepuka lawama...
Nilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba, kosa la ujazaji halikuwa na lengo la kunufaisha mgombea au kuufanya Uchaguzi usiwe wa haki n.k...
Kama siyo mbinu ya JPM Kupiga Marufuku mikutano ya kisiasa tangu Alipoingia Madarakani, sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine kabisa, Nina Imani hata kitendo cha kuvunja katiba ya Nchi makusudi ni baada ya Kuona CCM ilivyozidiwa ktk Kampeni za Uraisi, 2015. Binafsi Mimi siyo mfuasi wa Chama...
Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.
Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
Kwa ushauri wangu makampuni ya kinga kama dume,salama condom na kadhalika wangewatumia wadada hawa kutoa elimu juu ya matumizi ya kinga.
Nimefanya utafiti mkubwa na wa mda mrefu,wakaka waliowahi kununua maarufu ku buy wanasema katu hawakubali pekupeku hasa wa Dar es salaam, binafsi nawapongeza...
Tundu Lissu ni moja ya wagombea wanaoendelea kujinadi maeneo mbalimbali kwa Watanzania akitaka achaguliwe kuwa Rais wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Namfuatilia sana Ndugu Lissu kwenye kila mikutano yake anayonadi Sera zake lakini sidhani kama kwa kiwango cha nafasi ya Urais...
Katika hali ya kuendelea na wito wake wa kuliponya Taifa kupitia kusema ukweli mchungu, Ndugu Tundu Lissu amewaeleza wananchi wa Ifakara na Kilombero mshtuko mkubwa alioupata baada ya kufahamu ardhi kubwa sana ya mkoa wa morogoro kumbe inahodhiwa na viongozi wakuu wa nchi wastaafu.
Lissu amesema...
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM Wilaya ya Kyela , Leo tarehe 11/9/2020 ndio siku iliyopangwa kuzindua kampeni za uchaguzi, ambapo Mgombea ubunge wake aitwaye Kinanasi ambaye inasemekana miezi 6 iliyopita alikuwa hajui kusoma wala kuandika angetambulishwa rasmi akiwa pamoja na wagombea udiwani wa...
*Lwakalinda Kalikawe Bagonza kaandika hivi:*
NEC WAHURUMIENI WANANCHI
NEC WAHURUMIENI VIONGOZI.
Kuna jambo haliko sawa. Kama liko sawa, basi kuna jambo haliko sawa ndani yangu.
1. Ni mzigo na adhabu kubwa kwa Wananchi kuongozwa na kiongozi ambaye hawakumchagua. Ni kuwatesa wananchi, ni...
Natafuta luxury packaging kwa ajili ya bidhaa za vyakula kama makopo na mifuko. Pia nahitaji watu wanaoandaa package za maboksi yaliyoprintiwa au kuprint katika mifuko.
Wapiga kura hupatikana chini kwenye matatu mitaaani na vijijini.
CHADEMA walikuwa na resources zote hasa kipindi cha Slaa na Lowasa. MATAJIRI wengi walikuwemo chadema wangeweza kujenga ofisi Nzuri na za makao makuu na za matawi nchi nzima bila hata kutumia ruzuku Bali michango tu ya wanachama...
Hivi hivi tunakwenda, tunawakilisha.
=======
Former Tahidi High actress Shirleen Wangari alias Shish
Kenyan movie concept Wavamizi received international recognition after being listed in the 2020 Durban Film Mart (DFM) for funding.
Wavamizi translates to Invaders in English and tells the...
Pentagon wamepeleka ripoti yao ya mwaka 2020 kwenye bunge la Marekani kuhusu nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina.
Uchambuzi huo umezungumzia ukuaji wa kasi wa nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina tokea mwaka 2000 hadi 2020: Kuna mambo ambayo yameshangaza wataalamu wengi wa Marekani kwasababu...
Lexus Design Awards 2020 winners John Brian Kamau, Joyce Wairimu Gachiri, Ian Githegi Kamau, Esther Wanjiku Kamau and Arvin Booker Kamau
FACEBOOK
As the country continues to shine across the world, a team of Kenyans has been named the winners of the Lexus Design Awards 2020 after emerging the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.