kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa Wachina nyumbani na nje. Ni alama muhimu ya kujumuika kwa familia

    Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa wachina nyumbani na nje ya nchi. Ni alama muhimu kabisa ya kujumuika kwa familia na marafiki. Tamasha hili huleta kumbukumbu nyingi kwa wachina wote, nyumbani na nje ya nchi. Likiwa na maonyesho kama ngonjera, mchoro mfupi...
  2. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Mvua kunyesha kubwa sana na muda mwingine rasharasha, Huko angani kuna koki?

    Huwa najiuliza inakuaje kuna muda mvua inanyesha ndogo tu ambayo huitaji hata muavuli (rasha rasha) Lakini muda mwingine hunyesha kubwa sana..kiasi kwamba mpaka mafuriko au kelele nyingi sana juu ya bati Je, nini kinachopunguza au kuongeza hii presha ya mvua..ikiwa huko angani hakuna koki au...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya kivita ya Marekani yatia nanga Mombasa kuimarisha ulinzi katika Pwani ya Mashariki

    Kama namna ya kuonyesha uhusiano wa karibu baina ya Kenya na Marekani, wamefanya kweli kwa kutunisha misuli na kuonyesha makucha kwenye pwani ya Kenya, meli yao kubwa ya kivita inageuza geuza kwenye bandari ya Mombasa. Hii habari najua haitokua nafuu kwa wale huita Wachina ndugu zao wa damu...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ngurumo za radi kubwa Dar es Salaam

    Ngurumo za radi kubwa Dar es Salaam, Wana Dar es Salaam hizo ni radi au makambora maana sisi wana mapambano tunawasiwasi.
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, wakikaa na simu wanaperuzi tu

    Kutoka Dodoma. "Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, ambao wakikaa na simu wanaperuzi mitandaoni tu". "Nafikiri labda tuongeze kodi labda itapunguza hata sijui, hivi tufanye kitu gani ili tuhakikishe kila mtu anafanya kazi, maafisa maendeleo ya jamii hawafanyi kazi" -Job Ndugai. Nini...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iandae sherehe kubwa kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Nyerere

    Hakuna chembe ya shaka, Mwalimu Nyerere alikuwa zawadi kubwa ambayo Mwenyezi Mungu alitupa sisi Watanzania na Afrika. Tarehe 13 April mwaka 2022 Mwalimu atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake. Bado mwaka mmoja na miezi michache Hii ni fursa nzuri sana ya kumuenzi Mwalimu, na kuitangaza nchi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Faida kubwa waliyoipata CRDB na NMB sasa sehemu kubwa iende kwenye gawio la wanahisa

    Nimebahatika kusoma ripoti ya mabenki ya CRDB na NMB kuwa mwaka huu wamepata faida ya zaidi ya 200bn/- kila mmoja. Itakuwa ni vema sana kama sehemu ya faida hiyo ielekezwe kwenye gawio la wana hisa. Ninaishauri CRDB itoe gawio linaloendana na faida na iige NMB inayotoa gawio inayoridhisha.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Makundi ya Wanaume yanayoongoza kwa nguvu nyingi za kiume na stamina kubwa kitandani

    Nisipoteze muda. Wanaume wanaongoza kwa kuwa na stamina kubwa kitandani na kuridhisha wapenzi wao wapo sita. Unaweza kuongeza wa kwako. Wanaume hao ni 1. Makuli/Wapagazi: Demu wako au mkeo akikutana na kuli, walahi hamwachi, andika maumimivu. Makuli ni Wanaume wabeba mizigo. 2. Wanajeshi...
  9. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi

    Ipo hivi, Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu. Lakini ukweli ni kwamba wanaume sio mbwa ni wanawake wenyewe ndio wameshindwa kufanya uchunguzi. Kwenye kila...
  11. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Nadhani hatuna shida kubwa kwa kiwango cha kutangazwa kuwa Tanzania ina maambukizi makubwa sana ya corona

    Hoja yangu ni hii kweli corona ipo na Rais amesema na amekiri. Lakini kusema sisi ni nchi hatari si kweli maana hakuna anaweza kuficha vifo vya watu wote, tupo hapa tunatembea na tuna ndugu zetu na marafiki zetu lakini tatizo siyo kubwa kiasi hicho. Pili gonjwa hili ni hatari kweli lakini kwa...
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mpaka nimetoka machozi, ujangili bado ni tatizo kubwa Afrika

    Tusipokuwa makini wajukuu zetu hawatapata urithi wowote.
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

    Kwanza kabisa limewashtua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo wa utoaji taarifa ni Rais,Waziri Mkuu au Waziri wa Afya, kwanini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya Covid 19 hapa nchini? Ok fine, kama kiongozi wa Serikali ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar amepata Covid 19,je...
  14. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Inaelekea COVID-19 ni nadra sana kuwa na effect kubwa kwa vijana na watoto

    Nilikuwa napitia matangazo ya chanjo za COVID-19 za Australia, chanjo itaanza kutolewa kwa wale walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi kama watoa huduma za afya, wafanyakazi wanaoishi kwenye makazi ya kuhudumia wa zee na walemavu, walinzi wa mipakani, na watoa chanjo wenyewe. Kisha...
  15. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mvua kubwa ya mawe

    Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza kuanzia saa 12:45 Mchana.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Zanzibar kujiletea maendeleo yaongezeka, sasa inajenga bandari kubwa ya kisasa. Hongera Rais Mwinyi na Maalim Seif!

    Zanzibar imetiliana saini na serikali ya Oman katika ujenzi wa bandari kubwa na ya kisasa zaidi Afrika ya mashariki. Bandari hiyo mpya itakuwa na gati nyingi zikiwemo za container, mafuta, gesi, uvuvi, utalii wa bahari nk. Utiaji sainu mkataba wa ujenzi bandari hiyo ya kipekee Afrika ya...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

    Sitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
  18. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye Corona Tanzania viongozi wengi wa dini kubwa za Kikristo hawamwamini Mungu, wanaamini sayansi

    Ukisikia utapeli kwenye dini njoo Tanzania. Nilichojifunza kwenye Corona Tanzaia viongozi wengi wa dini kubwa za Kikristo hawamwamini Mungu wanaamini sayansi na sio Mungu wanayemsingizia kuwa aliwaita wamtumikie. Kuamini Mungu kuwa aweza Saidia vita dhidi ya Corona kumebaki Kwa waumini wa...
  20. Slow Pork Joe

    JamiiForums Tanzania The Art of the Deal: Trump kuanzisha chama chake ni akili kubwa na pigo kwa Republicans

    Baada ya vuta nikuvute kwa uchaguzi wa Marekani ni dhahiri kwamba tumeona Trump hakupewa ushirikiano na Chama chake cha Republicans, Sio Hivyo tu kwani tangu mwaka 1016 hadi 2018 chama hicho kilipokuwa kimeshukilia senate na house bado walikuwa ni mzigo kwa Trump. Trump kaamua kuunda chama...
Back
Top Bottom