NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 11,727
- 11,826
Millard ayo alijitengenezea Radio Station?Millard Ayo alianza kutangazaji akiwa mdogo kuliko huyo dogo. Sasa ana 3.06M subscribers youtube.
Vizuri sana dogo, nchi yetu tunaipokeza kwa vizazi kama hivi vijavyo......
Ni dhahiri Kenya itaongoza ukanda huu kwa muda mrefu sana, labda hata kwa karne nzima.
😭😭😭😂😂😂😂😁😁😁✌️Misifa itakuuwa Mzee!