Faida kubwa waliyoipata CRDB na NMB sasa sehemu kubwa iende kwenye gawio la wanahisa

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Nimebahatika kusoma ripoti ya mabenki ya CRDB na NMB kuwa mwaka huu wamepata faida ya zaidi ya 200bn/- kila mmoja.

Itakuwa ni vema sana kama sehemu ya faida hiyo ielekezwe kwenye gawio la wana hisa. Ninaishauri CRDB itoe gawio linaloendana na faida na iige NMB inayotoa gawio inayoridhisha.
 
Hawa kenge wanatudhulumu sana wafanyakazi wa serikali kupitia riba zao za juu. Halafu wanakuja hadharani kujisifia kupata faida iliyojaa dhuluma.

Na kwa bahati mbaya hatutaacha kukopa. Maana hakuna mwanadamu asiyependa kuishi maisha mazuri kama wengine.
 
Hawa kenge wanatudhulumu sana wafanyakazi wa serikali kupitia riba zao za juu. Halafu wanakuja hadaharani kujisifia kupata faida iliyojaa dhuluma.

Na kwa bahati mbaya hatutaacha kukopa. Maana hakuna mwanadamu asiyependa kuishi maisha mazuri kama wengine.
Mikopo inaumiza, achana nayo tu
 
Nimebahatika kusoma ripoti ya mabenki ya CRDB na NMB kuwa mwaka huu wamepata faida ya zaidi ya 200bn/- kila mmoja.

Itakuwa ni vema sana kama sehemu ya faida hiyo ielekezwe kwenye gawio la wana hisa. Ninaishauri CRDB itoe gawio linaloendana na faida na iige NMB inayotoa gawio inayoridhisha.

Hopefully, the two banks have what they call DIVIDEND POLICIES which state the percentage of realized profit that can be allocated to shareholders!
 
Hawa kenge wanatudhulumu sana wafanyakazi wa serikali kupitia riba zao za juu. Halafu wanakuja hadharani kujisifia kupata faida iliyojaa dhuluma.

Na kwa bahati mbaya hatutaacha kukopa. Maana hakuna mwanadamu asiyependa kuishi maisha mazuri kama wengine.
Anayefaidi mikipo ni mfanyabiashara tu kwa kuwa mara nyingi mikopo yao haizidi miaka 3 hivyo riba inashuka,ukishachukua mkopo wa miaka 5.kwenda juu hapo mnagawana nusu kwa nusu na benki,ndio maana wanapata auper normal profit
 
Back
Top Bottom