Hivi Askofu Dr Gwajima anaweza kutengeneza picha kubwa kweli?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,450
2,000
Anadai kuwa anamtumainia Bwana na waamini wake hawavai barakoa na kuchukua taadhari yoyote lakini hakuna aliyekufa. Swali, mbona bungeni kuna ulinzi? Na viongozi wakubwa wana ulinzi pia? Hivi nyumbani kwake na kwenye ofisi za makanisa yake hafungi milango na makufuli au funguo?

 

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,735
2,000
Acha majungu na wivu wa mafanikio ya watu kwenye kazi zao,kila mtu na mambo yake...tafuta vya kwako

Ni kweli ni ngumu kuingilia mawazo ya watu lakini waTanzania mnaongoza kutwa kucha kuandika visivyo saidia kwenye maisha,mmekalia unafiki unafiki tu ilihali we mwenyewe na jamii yako nyingi hamjafa na Corona na mna Malaria miilini mwenu

Jinga kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom