Ni kweli kubadilisha Pull ya mota kunaongeza au kupunguza speed yake

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,650
4,037
Mota ya mashine ya alizeti inasumbua sasa nataka kuibadilisha nichukue ya mashine ambayo motor yake ina speed na mashine ya alizeti haiitaji speed.Nimeambiwa ninaweza kuitumia hiyo mota ya hiyo mashine ngingine ila nibadilisha pull itakuwa na speed ya kawaida.Swali ni je ni kweli kubadilisha ukubwa wa pull au udogo wa pull kunaathiri spidi ya mota
 
upo uwezekano wa kupunguza mizunguko ya pull. Pull ndogo ina maana ya kasi zaidi na pull kubwa ina maana ya kasi ndogo ya wastani. Ila set up ya hizo pull ndo ya kuzingatia
 
Swali ni je ni kweli kubadilisha ukubwa wa pull au udogo wa pull kunaathiri spidi ya mota
jawabu ni ndiyo, pulley inaweza punguza au zidisha speed kulingana na diameters zake
pulley haziko fanisi zinapoteza nishati na torque

lakini kama ni kupunguza speed ya motor, kwanini usitumie zile motor controller zakuitwa Variable Frequency Drive - VFD ? inakua na knob ambayo unaweza kuizungusha ku adjust speed/RPM ya motor , na zinakua na soft starter humo humo ndani, huhitaji external hard starter
 
Kwahiyo hiyo starter inaweza kupunguza walau kutoka mizunguko 2000 na kitu kwa dakika mpaka around mizunguko 1 440 kw dakika
 
Kosa kubwa la kwanza umefanya ni kununua Motor high speed hivyo hata ukitafuta recommended speed ya hiyo machine bado life span ya motor itakuwa ndogo hivyo unapaswa ununue motor low speed ambazo rpm yake ni around 1400-1700 kama sijakosea
 
Kwanini life span ya motor itakuwa ndogo
 
Nataka iwe n around 1440 rpm kutoka 2000 na kitu rpm
Driving pulley 3 inches
Driving speed 2100 rpm
Driven pulley = x ?
From
Velocity ratio= driving speed/driven speed= driven pulley diameter/ driving pulley diameter

2100/1440=x/3
Make x the subject

1.46=x/3

× = 4.4 inches
Therefore tumia pulley inch 4.5 upande wa machine na upande wa motor tumia inch 3
 
Inaweza chukulia baiskeli ya gia jembe la mbele na nyuma gia ngumu (speed Kali) nyumba itakuwa jembe ndogo mbele jembe kubwa gia laini ( nyuma jembe ndogo na mbele jembe dogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom