Siku si nyingi namuoa binti mwenye asili ya Kiarabu kutoka Tanga, amekubali kubadilisha dini

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,284
Huyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo.

Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki) lakini mama yake ni chotara wa kiarabu na hivyo binti amekuwa na hizo elements za kiarabu katika muonekano wake.

Mama yake aliweka matamko kwamba hataki mkristo hivyo binti akakubali 'tuwazunguke' kwa kuwaletea mjukuu ili maneno yaishe. Kweli sasa hivi wameufyata maana tayari hali ya binti imeleta majibu.
 
Hongera mkuu
 
mmh
giphy.gif
 
Kuna ndugu zangu,wa dini ile,hapo lazima watajisikia vibaya,maana umepunguza muumin wao kwa mnyaaaaaz Mungu!
 
Back
Top Bottom