kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira Jeshi la Magereza kwa vijana kuanzia kidato cha Nne

  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto atangaza kuanzia Januari 2024 matibabu Kenya ni bure.

    Msikilize mwenyewe hapa. https://twitter.com/ntvkenya/status/1726228842904244275?s=19
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Wazee wetu wa kuanzia Miaka ya 70 hawa Mabinti wa 20's na 30's Mnaowaoa na Kuzaa nao huwa hampigiwi na hambambikiwi Watoto kweli?

    Hivi kweli jamani kwa haya Maisha yetu ya Kiafrika ( hasa Kitanzania ) huku Wazee wetu nao wakiwa na Changamoto mbalimbali za Kiafya kutoka na Umri wao huo kwenda wanaweza kuwa na Uwezo wa Kumbebesha Mimba Mabinti wa miaka kati ya 25 hadi 35 na Kuzaa? Je, hapa siyo kwamba hawa Wazee wetu wa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Je, biashara ya Uwakala inalipa? Nina milioni 2, inatosha kuanzia?

  5. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali binafsi kutopokea kadi za NHIF kuanzia Januari 1 2024

  6. buzitata

    JamiiForums Tanzania Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

    Habari zenu vijana (Mimi pia ni kijana) Kama upo ndani ya huo umri nilioutaja hapo juu nnaomba unisikilize Kwa makini hasa wale ambao wanajiona Bado ni wadogo. Sasa ivi wewe kijana upo katika umri wa kujijenga kiuchumi wewe pamoja na familia iliyopo kiunoni mwako Leo hii wewe tunakuita kijana...
  7. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

    Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi. Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote. Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho. Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli Waefeso...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Taasisi zote makini za kijamii huweka misingi imara ya itikadi zao kuanzia kwa watoto. CHADEMA jifunzeni kwa chipukizi CCM

    Kwa siku kadhaa nimeshangazwa na wafuasi wa chama cha Mbowe kushambulia idara ya chipukizi iliyo chini ya UVCCM kana kwamba ni jambo la ajabu sana kuwahi kufanyika. Wanaoshangazwa na uwepo wa chipukizi wanatakiwa kujikumbusha kuwa chipukizi CCM haijaanza leo. Ni idara ambayo ipo kwa miaka mingi...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Liwe kosa la jinai kwa mtanzania yeyote kuanzia leo kusapoti magaidi wa Hamas waliomuua mtanzania mwenzetu, kifungo kiwe miaka 5 bila faini.

    Bila kujali utaifa, kabila, dini, n.k. kilichofanyika kwa mtanzania mwenzetu ni unyama uliopitiliza na ugaidi wa wazi kabisa. Kuna sababu ya kuendelea kuwavumilia watanzania wanaosapoti magaidi wa hamas baada ya kuyaona walichomfanyia kijana wetu wa Kitanzania ? HAPANA !! Ni toe rai kwamba iwe...
  10. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mwenge hakuna umeme kuanzia saa mbili asubuhi

    TANESCO mna agenda gani ya siri dhidi ya watu wa Mwenge? Umeme mlikata saa mbili asubuh, hadi sasa ni saa 00.35 usiku, umeme hakuna giza limetamalaki. Kwa upuuzi huu CCM imeshindwa kuisimamia vyema TANESCO iweze kutoa huduma bora. Kataa CCM uboreshe maisha ya Watanzania
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kuanzia Januari 2024, Raia wa mataifa yote wataingia Kenya bila kuwa na Viza

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini sasa ahadi yake inakuwa kwaajili ya mataifa yote duniani. Ruto amesema “Ni furaha kubwa, kama Rais...
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Foleni ni kali sana Nyerere Road (Pugu Road) kama huna safari ya lazima usitumie njia hiyo leo tarehe 09.12.2023 kuanzia mchana

    Tangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa. Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala. Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu...
  13. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Hili hapa Jedwari la nauli kwa mabasi ya Masafa Marefu Tanzania kuanzia 8th December 2023

    Mambo yanazidi kuwa mazito waTanzania gharama za maisha zinapanda siku hadi siku. Sijui sisi wa hali ya chini kama tutaweza kumudu haya maisha
  14. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya watoto kuanzia miaka 10+ wameharibika kimaadili

    ...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Mvua za kujaza mabwawa ya umeme ndo nitabiriwa kuanza kuanzia Desemba 1?

    Tahadhari mvua kubwa mikoa saba nchini Dar es Salaam. Baadhi ya maeneo katika mikoa ya Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Morogoro na Mtwara yanatarajia kupata mvua juu ya kiwango kwa siku mbili kuanzia leo Desemba 1, 2023, hivyo wakazi wa maeneo hayo wameombwa kuchukua tahadhari. Hiyo ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanakata umeme kila siku Masaki kuanzia saa 12 jioni

    Jamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao. Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Pitso Masomane kocha mteule SIMBA FC kuanzia leo saa moja kamili

    Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na atapaisha sana hadhi ya Simba SC
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania TMA yasema mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam kwa siku 4 kuanzia Jumatano Nov. 15, 2023

    Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar...
  19. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo Simba Mjifunze Mpira sio Hamasa kubwaa bali ni uwekezaji Mzuri.

    Nahisi Leo mmeona mmefungwa mbele ya Mashabaiki wenu Lukuki na hii ni Muendelezo wa kuonyesha wapi mnakwama. Sold Out bila Usajili mzuri mtaendelea kuchezea tu. Mlipigwa na Raja kwenye Full House hamkujifunza na Leo Yanga kawapiga Tena goli Nyingi. Basi Leten mabango yenu ya kua mnahamasa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
Back
Top Bottom