Rais Wallace Karia wa TFF hivi kuanzia aanze kuongoza pale TFF amefanya nini mpaka sasa?

Ladder 49

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
7,416
18,856
Wakuu habari zenu,

Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi?

Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki sana kimataifa wachezaji wamepata uzoefu wa kutosha, hapo pia ni uwekezaji wa simba na yanga, yeye sasa amefanya nini kama yeye?

MFANO Samuel Etoo alivyokuwa tu Rais wa chama cha soka cha Cameroon amekamilisha baadhi ya mambo haya ndani ya miezi michache tu.

1.Viwango vya mishahara ya wachezaji wa Ligi zao

2. Suala la bima kwa wachezaji ni lazima

3. Suala la wachezaji wenye uraia pacha kuiwakilisha Cameroon, ameweka mifumo sahihi

Sasa nataka kujua au anae jua huyu raisi wetu amefanya mambo gani kwenye soka letu au ndio ameongoza
kuwafungia tu wadau wa mpira?

Wenzetu english premier league (EPL) wanazidi kuboresha soka lao na bingwa akipatikana kweli anakuwa anafanania japo wanamapungufu yao ila wanajitahidi kupunguza mapungufu yao kila kukicha .

sasa hivi EPL Habari ya wachezaji kujiangusha kupoteza muda ukipoteza muda na wao refa wanaonngeza hata dakika 20,ni wewe tu ulipoteza muda kiasi gani?na hata hizo walizoongeza ukipoteza muda na wao wanaongeza muda tena huku kwetu mpaka unashangaa hivi watu hawaoni ili Kwamba ni tatizo?

Huku kwetu raisi wa TFF nakumbuka awamu ya pili aliyogombea hakuwa na Mtu wa kugombea nae sasa nilijiuliza hivi alifanya makubwa yapi mpaka akubalike abaki peke Yake? kama amefanya wakubwa angechaguliwa tu Watu si wanaona uliyofanya? au ndio waliopo hawana vigezo?

RAIS WA TFF TANGIA AINGIE MADARAKANI 2017 AMEFANYA NINI?

Ni hayo tu wakuu.
 
Amejitahidi sana kuondoa ari ya washabiki ktk timu ya taifa na kuanzisha vigenge vya hovyo ktk uendeshaji wa tff ,kurudish na kufifiza ubora wa ligi alioucha mtangulizi wake.......
Yeye hapo ndio atakuambia ligi ameiboresha😀.
 
Ligi Ina thamani,wadhamini wengi,mishahara ya wachezaji siyo ile aliyoikuta,timu za wanawake na vijana zimefanya vizuri Sana,kajenga miundombinu ya elimu ya mpira,matunda miaka 10 ijayo
 
Eti kabisa unaizungumzia ligi kuu Tanzania bara huku unaita EPL wenzetu wamefanya hiki,mara wenzetu wamefanya kile hivi hujaona mfano Afrika nzima hii mpaka ukaite EPL wenzetu?
Yaani unachojaribu kuongea hapo ni sawa wewe wanao wakulaumu kwanini huwasomeshi shule nzuri wakati Bakhresa/Mo anawasomesha wanae IST
 
Africa wanafanana na mambo yao mengi ni ya hovyo sivutiwi nayo na sifatilii siweze kutolea mifano,africa pananuka rushwa,natolea epl Ndio inavutia kufatilia wanatumia VAR mambo hazarani.
 
Njaa kwenye ligi yako zimepungua,Tanzania kupata uwenyeji wa kuandaa Africon 2027 huoni kama ni jambo kubwa sana.Timu za vijana kushiriki kwenye michuano mbalimbali ya kimataifa jamaa kajitaidi sana
 
Wakuu habari zenu,

Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi?

Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki sana kimataifa wachezaji wamepata uzoefu wa kutosha, hapo pia ni uwekezaji wa simba na yanga, yeye sasa amefanya nini kama yeye?

MFANO Samuel Etoo alivyokuwa tu Rais wa chama cha soka cha Cameroon amekamilisha baadhi ya mambo haya ndani ya miezi michache tu.

1.Viwango vya mishahara ya wachezaji wa Ligi zao

2. Suala la bima kwa wachezaji ni lazima

3. Suala la wachezaji wenye uraia pacha kuiwakilisha Cameroon, ameweka mifumo sahihi

Sasa nataka kujua au anae jua huyu raisi wetu amefanya mambo gani kwenye soka letu au ndio ameongoza
kuwafungia tu wadau wa mpira?

Wenzetu english premier league (EPL) wanazidi kuboresha soka lao na bingwa akipatikana kweli anakuwa anafanania japo wanamapungufu yao ila wanajitahidi kupunguza mapungufu yao kila kukicha .

sasa hivi EPL Habari ya wachezaji kujiangusha kupoteza muda ukipoteza muda na wao refa wanaonngeza hata dakika 20,ni wewe tu ulipoteza muda kiasi gani?na hata hizo walizoongeza ukipoteza muda na wao wanaongeza muda tena huku kwetu mpaka unashangaa hivi watu hawaoni ili Kwamba ni tatizo?

Huku kwetu raisi wa TFF nakumbuka awamu ya pili aliyogombea hakuwa na Mtu wa kugombea nae sasa nilijiuliza hivi alifanya makubwa yapi mpaka akubalike abaki peke Yake? kama amefanya wakubwa angechaguliwa tu Watu si wanaona uliyofanya? au ndio waliopo hawana vigezo?

RAIS WA TFF TANGIA AINGIE MADARAKANI 2017 AMEFANYA NINI?

Ni hayo tu wakuu.
Taifa stars kushiriki AFCON mara mbili
Yanga kucheza fainali Confederation
Kuongeza idadi wachezaji wa kigeni katika club
Ligi ya wanawake
Mpira wa vijana
 
Huyo msomali hana lolote, yeye aliwekwa hapo na ccm na ndio maana anaalika wanasiasa wa ccm kwenye mambo ya mpira na matokeo yake kuwafanya waue mpira kwa kushiriki kutoa ahadi za kijinga kama vile mchezaji hawezi kuwajibika kutafuta ushindi hadi apewe ahadi ya pesa. Bure kabisa.
 
Wakuu habari zenu,

Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi?

Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki sana kimataifa wachezaji wamepata uzoefu wa kutosha, hapo pia ni uwekezaji wa simba na yanga, yeye sasa amefanya nini kama yeye?

MFANO Samuel Etoo alivyokuwa tu Rais wa chama cha soka cha Cameroon amekamilisha baadhi ya mambo haya ndani ya miezi michache tu.

1.Viwango vya mishahara ya wachezaji wa Ligi zao

2. Suala la bima kwa wachezaji ni lazima

3. Suala la wachezaji wenye uraia pacha kuiwakilisha Cameroon, ameweka mifumo sahihi

Sasa nataka kujua au anae jua huyu raisi wetu amefanya mambo gani kwenye soka letu au ndio ameongoza
kuwafungia tu wadau wa mpira?

Wenzetu english premier league (EPL) wanazidi kuboresha soka lao na bingwa akipatikana kweli anakuwa anafanania japo wanamapungufu yao ila wanajitahidi kupunguza mapungufu yao kila kukicha .

sasa hivi EPL Habari ya wachezaji kujiangusha kupoteza muda ukipoteza muda na wao refa wanaonngeza hata dakika 20,ni wewe tu ulipoteza muda kiasi gani?na hata hizo walizoongeza ukipoteza muda na wao wanaongeza muda tena huku kwetu mpaka unashangaa hivi watu hawaoni ili Kwamba ni tatizo?

Huku kwetu raisi wa TFF nakumbuka awamu ya pili aliyogombea hakuwa na Mtu wa kugombea nae sasa nilijiuliza hivi alifanya makubwa yapi mpaka akubalike abaki peke Yake? kama amefanya wakubwa angechaguliwa tu Watu si wanaona uliyofanya? au ndio waliopo hawana vigezo?

RAIS WA TFF TANGIA AINGIE MADARAKANI 2017 AMEFANYA NINI?

Ni hayo tu wakuu.
kazi kubwa ni kumfungia manara
 
Nadhani kwenye swala la waamuzi kasweka mipamba ama ndiyo uwezo wake umefikia hapo
 
Back
Top Bottom