Kichere: TRA imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji kodi kwa miaka minne
====
Wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikipitia mabadiliko makubwa ndani ya miaka mitano, Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema imeshindwa kufikia malengo ya ukusanyaji mapato kwa kipindi hicho...
Serikali ingeanzisha utaratibu kodi zote za nyumba au frame za maduka ziwe zinalipiwa kwenye account bank ya mmiliki hii ingesaidia bank wangepata mapato na serikali nayo ingenufaika.
Pia malipo ya mtandaoni yangehamasishwa sana yakitokea magonjwa ya mlipuko kama CORONA inakuwa nafuu watu...
March 22, 2020
Serikali yaombwa ipunguze bei ya nyoka na viumbe wengine wanaopelekwa nje kuuzwa ili wawekezaji hao wachangie fedha za kigeni nchini. Hayo maombi yamesemwa na Paul Madinda mfugaji na muuzaji wa viumbe nje ya nchi wakati akimfahamisha Naibu waziri Costantine Kanyasu juu ya fursa...
Ninaomba msaada kwa yeyote anayeelewa anasaidie kuelewa yafuatayo:-
1. Mwajiriwa anastahili kukatwa Kodi yoyote au Michango ya Mfuko wa Jamii wakati was Probation Period?
2. Posho anayolipwa mwajiriwa mfano Extra duty allowance inastahili kukatwa Kodi?
3. Wafanyakazi wanaolipwa kwa Siku na...
Yes,
Kuna taratibu nyingi kwenye jamii zetu, tumezaliwa tukazokuta na nyingine ni mila na desturi za kawaida na nyingine ni tamaduni za kidini.
Baadhi ya hizi tamaduni zimejenga mazingira ya kuwaweka baadhi ya watu kuwa "Superior" bila hata sababu za msingi hususani wanaume.
Mfano halisi ni...
Inapotokea kuna uhitaji wa kutekeleza miradi miwili mitatu ya maendeleo , mfano ukarabati wa barabara za mitaani au madaraja madogo madogo yasiyohitaji zaidi ya bilioni 1, nadhani pangekuwa panafanyika coordination na mahakama ili kuangalia ni nani na nani (wenye kesi na wenye uwezo wa kulipa...
Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu.
Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni
1...
Habari wanabodi? Ni matumaini yangu makubwa kuwa hamjambo humu ndani na manaendelea na ujenzi wa Taifa letu na harakati za kusaka mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la wananchi kulalamika kuhusu usumbufu pindi wanapoenda kuomba kujisajili na namba ya mlipa...
Sheria ya Microfinance na kanuni zake inasemaje kuhusu vikundi vya watu kuweka fedha na kukopeshana yaani VICOBA(sio SACCOS)?
Je,VICOBA vinatakiwa kusajiliwa?
Na je,vinapaswa kulipa kodi?
Kama vinapaswa kusajiliwa na kulipa kodi, kutosajili na kutolipa kodi adhabu yake ni nini?
Yumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro.
Hapo lazima lile moja alilopewa balama na GSM lilikuwepo. So sad kwa kweli, imebidi wahamie mkwajuni kwenye nyumba ya bei nafuu.
GSM wanalipa...
Naelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka.
Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.
Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi.
Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara.
Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya...
MFANYABIASHARA, James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameandika barua kwenda kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akielezea ni jinsi gani benki ya Standard Charter Hong kong walivyokuwa wakikwepa kodi na ushuru wa forodha.
Rugemalira aliyaeleza hayo...
Nianze kwa kusema kwamba suala hili sasa imefika wakati liwe na mjadala wa kitaifa ili tuweze kufanya sekta ya makazi iweze kuwa rasmi na zaidi ili kuhakikisha kwamba wananchi wanapewa makazi bora na wanaishi katika mzingira rafiki.
Kuna ambao wanaweza wakafikiri kwamba watanzania wengi wana...
Nawapongeza NIDA wanavyopambana kuhakikisha kila Mtanzania anafanikiwa kusajili line yake. Kama mnavyojua mzunguko wa pesa sasa upo kwenye simu kitu kinchopelekea serikali na taifa kwa ujumla kupata kodi kutoka makampuni ya simu.
Wananchi watakaofungiwa line zao itasababisha serikali kukosa...
Mwaka 2020 wapinzani tukishinda serikali tunawaahidi watanzania kuanzisha kodi mbili mahususi
1. Kodi ya Kuboresha Elimu
2. Kodi ya kuboresha Makazi
Kodi ya kuboresha Elimu
Miaka ya 80, 90 ilikuwa kusoma shule za serikali ni ufahali na kusoma shule za private ni fedheha lakini leo hii...
Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa, kwa mfano, nikilipia kitu Google Playstore au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle?
Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
Katika kipindi hiki cha watu na taasisi mbalimbali kutakiwa kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi ukwepaji wa kulipa kodi bado upo na ni muhimu kuangaliwa kwa makini
Mfano shule ya msingi au sekondari kuwa na akaunti mbili tofauti inawezekana kabisa wakati wa auditing akaunti moja ikawa inakaguliwa...
Huu ni muendelezo wa kutumia vibaya na kufuja Mali za umma kwa nini wakutane kwenye kumbi za gharama halafu eti ndo mnasema mtashika dolla labda dollars ya Marekani matumizi ya hovyohovyo ya Mali za umma utakuta wamejiandikia mahela meeengi ukizingatia mkewe ndiye mtunza hazina
Mkurugenzi wa TBK Mr Phillip Redman amesema kampuni yake ya Bia inalipa hadi sh bilioni 509 kwa mwaka kama kodi kwa serikali.
Phillip amesema kiasi hicho ni sawa na 2% ya pato la taifa hivyo wanajivunia mchango wao huo kwa taifa.
Kadhalika TBL wanatoa ajira kwa maelfu ya watanzania pia ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.