Ninaomba msaada kwa yeyote anayeelewa anasaidie kuelewa yafuatayo:-
1. Mwajiriwa anastahili kukatwa Kodi yoyote au Michango ya Mfuko wa Jamii wakati was Probation Period?
2. Posho anayolipwa mwajiriwa mfano Extra duty allowance inastahili kukatwa Kodi?
3. Wafanyakazi wanaolipwa kwa Siku na kuondoka, wanatakiwa walipe kodi?
4. Mstaafu aliyepata Mkataba baada ya kulipwa Mafao take, anastahili kuendelea kukatwa mchango wa mifuko ya kijamii mfano NSSF?
Nitashukuru sana kama nitapatiwa majibu ya maswali haya maana yananisumbua sana.