NIDA pambaneni Watanzania wapate vitambilsho vya taifa ili tusikose kodi

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Messages
348
Points
250

bulabo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2015
348 250
Nawapongeza NIDA wanavyopambana kuhakikisha kila Mtanzania anafanikiwa kusajili line yake. Kama mnavyojua mzunguko wa pesa sasa upo kwenye simu kitu kinchopelekea serikali na taifa kwa ujumla kupata kodi kutoka makampuni ya simu.

Wananchi watakaofungiwa line zao itasababisha serikali kukosa kodi kwa kiasi fulani. Watanzania msilale pambana upate National ID, muhimu sana kwa tunakoelekea kila kitu kitakuwa merged na National ID.
 

Forum statistics

Threads 1,391,790
Members 528,461
Posts 34,089,137
Top