nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
Yumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro.
Hapo lazima lile moja alilopewa balama na GSM lilikuwepo. So sad kwa kweli, imebidi wahamie mkwajuni kwenye nyumba ya bei nafuu.
GSM wanalipa wachezaji wachache waliowasajili wao na yule kocha. Dah walipeni hawa wachezaji jamani!