kiwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAMISEMI tufahamisheni, lazima Mtumishi alipie fedha ili apate uhamisho?

    Naandika andiko hili nikiwa ni mmoja wa watumishi wa Serikalini, na nimelazimika kuleta andiko hapa kwa kuwa nguvu kubwa inayotumiwa na wanaofanya mambo kwa mlango wa nyuma wana nguvu kuliko Watumishi wengi ambao ndio wanaokamuliwa hela bila kupenda. Inajulikana wazi kuwa Mtumishi anapokuwa na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye. Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kiwango gani sahihi cha fedha kumpatia mzazi mwenzako kwa ajiri ya malezi ya mtoto?

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini, Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya iweke kiwango cha elimu ya mbunge anayetaka kugombea

    Ninashauri Katibu mpya iweke kiwango cha elimu ya Mbunge anayetaka kugombea. Tumechoka kusikia sifa ya mgombea ni kuwa awe anajua kusoma na kuandika. Karne hii?. Hii ndiyo maana wanapitisha mambo mengi wasiyoyaelewa. Mgombea Ubunge wa uchaguzi ujao sharti awe na shahada ya kwanza na...
  5. JamiiForums Tanzania Kiwango cha ujinga kimeongezeka sana Afrika, chanzo ni mitandao ya kijamii

    Ujio wa social media vijana wa Africa wanautumia in negative way tofaut na vijana wa mataifa mengine ili kupiga hatua za kimaendeleo. Yanayoendelea kwenye media hayana uhai kwa kesho ya Africa. Watu mengi ni uharibifu na uchafu tu wa akili kujaza saver ya akili uchafu tu ambao haujengi fikra...
  6. JamiiForums Tanzania Kiwango cha Kusajiliwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) chaongezeka

  7. JamiiForums Tanzania Kiwango cha ujinga cha viongozi wa CCM, mashabiki wao, na raia kwa ujumla, kinatisha!

    Kichwa cha mada kinajielezea. Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity]. Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa. Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku. Rais Samia kamlipa Tundu Lissu stahiki zake za kibunge. Rais Samia katoa mabilioni huku na kule. Watu ambao mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

    Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji. Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kiwango cha Usajili wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

  10. JamiiForums Tanzania Kwenu TanRoads Mkoa wa Singida : Nitawashangaa sana Kama Mtashindwa Kujenga kwa kiwango cha Lami barabara ya Manyoni - Itigi - Rungwa

    Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi. Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi. Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi - Rungwa kupitia chunya kwenda Mbeya ni kipindi cha Kms 233 tu. Nitawashangaa Tanroads mkoss as...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini, Simiyu, Kigoma, Mara, Geita na Pemba hawatumii Uzazi wa Mpango Kama Mbeya na Iringa?

    Katika ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 ya Wizara ya Afya Dodoma kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, iliyotoka Januari 2023, INaonesha Kuna Mikoa kabisa haina...
  12. JamiiForums Tanzania Kama ni ujinga, huu imeizidi kiwango

    Ni tukio la kusikitisha sana. Limetokea katika Kitongoji cha Bombani, kijiji cha Dumila Mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa watoa taarifa, mwili wa mtu aliyedaiwa kufa kifo cha ghafla, ulionekana ukitoka jasho na mapigo ya moyo kupiga kwa mbali. Waliotaka daktari aitwe aje athibitishe kama kweli...
  13. JamiiForums Tanzania TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 48.788. Akizungumza kwenye hafla fupi ya utiaji saini mkataba...
  14. JamiiForums Tanzania Ujenzi Barabara ya Segerea-Bonyokwa-Kimara waanza baada ya kulalamikiwa kwa muda mrefu

    Habari wakuu, Hii barabara kuanzia Segerea-Bonyokwa mpaka Kimara kwa sisi wakazi wa maeneo hayo ilikuwa kero kubwa sana sababu kutokana na ubovu wake hasa kipindi cha mvua. Hii barabara imekuwa ikilalamikiwa miaka na miaka lakini serikali ilikuwa imeziba masikio lakini sasa kilio kimewafikia...
  15. JamiiForums Tanzania Kiwango gani unatakiwa uwe na current na sio saving account?

    Wajuvi hasa wa bank, ni kwango gani cha pesa ni limit ya mtu toka kwenye savings account na kwenda current account? kuna mtu kaniuliza swali na mimi sio banker.
  16. JamiiForums Tanzania Hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara za Mtili - Ifwagi (KM 14) na Wenda - Mgama (KK 19) Mkoani Iringa kwa Kiwango cha Lami

    MKABATA UJENZI WA BARABARA MTILI - IFWAGI (KM 14) WASAINIWA - JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe tarehe 20 Juni, 2023 ameshuhudia utiaji saini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara...
  17. JamiiForums Tanzania Barabara Saba Zitakazojengwa kwa kiwango cha Lami Jimbo la Kiteto

    KITETO KUNUFAIKA NA MRADI WA UJENZI WA BARABARA SABA ZA LAMI Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita, akitoa neno kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Kiteto kwenye Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba ya Ujenzi wa Barabara Saba. Barabara Saba zitakazojengwa Kiteto ni pamoja na Kongwa -...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali za Majimbo zitaongeza Kiwango cha Uwajibikaji na Utawala Bora Nchini

    Kawaida, kwa Tanzania ukizungumza juu ya majimbo, watu wengi hudhani ni yale yanayowakilishwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majimbo ninayozungumzia hapa, ni mikoa inayoongozwa na Wakuu wa Mikoa kwa sasa! Swala la serikali za majimbo limezungumzwa siku nyingi na mara...
  19. JamiiForums Tanzania Barabara ya Nanenane - Tungi Morogoro Kujengwa kwa Kiwango cha Lami

    BARABARA YA NANENANE - TUNGI MOROGORO KUFANYIWA UKARABATI MWAKA MPYA WA FEDHA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi juu ya mpango wa Serikali kukarabati barabara mkoani Morogoro...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

    Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya. Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…