Ipi ni kampuni yenye mabati bora Tanzania?

Tman900

Senior Member
May 30, 2017
175
346
Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu.

Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa, utaibiwa kuuziwa bidhaa mchanganyiko.

Na istoshe bei zao pia ni zawizi sio bei halisi mbazo kiwanda husika wanauza. Hawa ma agent ndio Chanzo cha huu uhuni wa kuchanganya bidhaa za kiwanda A na B.

Kwa anaejua bati nzuri na bora Kitanzania ni Kampuni gani hawana kanjanja.

Wachina wanatuletea nidhaa kanjanja na Ma Agent (Wabongo Wenzetu).

1. Utofauti wa bati za chenga na hizi zisizokua za chenga chenga.

2. Hizi bati za chenga, ubaya wake ni upi na kama zinashida shida zipata baada ya muda gani.
 
Nenda kiwandani pale pugu road mkabala n TCC KINGLION wanamabati mazuri. Mm nimefika pale kuna bati moja inaitwa Cobra sio poa. PC moja elfu 36. Wako vzr kwa mtazamo wangu.
 
Unanunua bati kwajina au kwa standard ya ubora wa ujazo
Bati zinauzwa kwa standard ya UJAZO
Shida inaanzia kwa mafundi ujenzi ambao ELIMU hawana wanafanya kazi kwa kukalili na kufuata trending
Ukija kwa mteja nae haelewi yote ji 7bu ya umasikini wa akili
 
Tajiri wa akili zingatia/ jikite kwenye swali.
Asante
 
Unanunua bati kwajina au kwa standard ya ubora wa ujazo
Bati zinauzwa kwa standard ya UJAZO
Shida inaanzia kwa mafundi ujenzi ambao ELIMU hawana wanafanya kazi kwa kukalili na kufuata trending
Ukija kwa mteja nae haelewi yote ji 7bu ya umasikini wa akili
Tajiri jibu swali lake ili sisi masikini wa akili tufaidike
 
Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu.

Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa, utaibiwa kuuziwa bidhaa mchanganyiko.

Na istoshe bei zao pia ni zawizi sio bei halisi mbazo kiwanda husika wanauza. Hawa ma agent ndio Chanzo cha huu uhuni wa kuchanganya bidhaa za kiwanda A na B.

Kwa anaejua bati nzuri na bora Kitanzania ni Kampuni gani hawana kanjanja.

Wachina wanatuletea nidhaa kanjanja na Ma Agent (Wabongo Wenzetu).

1. Utofauti wa bati za chenga na hizi zisizokua za chenga chenga.

2. Hizi bati za chenga, ubaya wake ni upi na kama zinashida shida zipata baada ya muda gani.
Alaf
 
Leo ndo naenda Buguruni kuchek Bati. Ila bado ufafanuzi mzuri sijaupara maana Wachina + Ma Agent wabongo Wenzetu wanatuingiza kichaka. Wanatu uzia bidha zisizo na Ubora mzuri..... low quality.
 
Size ya pc moja ni Urefu: 134cm
Upana: 42cm

Bei elfu 22..
Bati bomba kabisaView attachment 2787206View attachment 2787207View attachment 2787208
IMG-20231017-WA0000.jpg
 
Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu.

Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa, utaibiwa kuuziwa bidhaa mchanganyiko.

Na istoshe bei zao pia ni zawizi sio bei halisi mbazo kiwanda husika wanauza. Hawa ma agent ndio Chanzo cha huu uhuni wa kuchanganya bidhaa za kiwanda A na B.

Kwa anaejua bati nzuri na bora Kitanzania ni Kampuni gani hawana kanjanja.

Wachina wanatuletea nidhaa kanjanja na Ma Agent (Wabongo Wenzetu).

1. Utofauti wa bati za chenga na hizi zisizokua za chenga chenga.

2. Hizi bati za chenga, ubaya wake ni upi na kama zinashida shida zipata baada ya muda gani.
Mabati imara yapo ALAF, Huko kwingine unanunua fake, ina less than five years, yameshapauka kama ya miaka ya 2000
 
Back
Top Bottom