Katiba Mpya iweke kiwango cha elimu ya mbunge anayetaka kugombea

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
386
765
Ninashauri Katibu mpya iweke kiwango cha elimu ya Mbunge anayetaka kugombea. Tumechoka kusikia sifa ya mgombea ni kuwa awe anajua kusoma na kuandika. Karne hii?.

Hii ndiyo maana wanapitisha mambo mengi wasiyoyaelewa. Mgombea Ubunge wa uchaguzi ujao sharti awe na shahada ya kwanza na kuendelea.

Hatutaki darasa la saba wanaopiga kelele Bungeni bila kujenga hoja.
 
Ninashauri Katibu Mpya iweke kiwango cha elimu ya Mbunge anayetaka kugombea. Tumechoka kusikia sifa ya mgombea ni kuwa awe anajua kusoma na kuandika. Karne hii?. Hii ndiyo maana wanapitisha mambo mengi wasiyoyaelewa. Mgombea Ubunge wa uchaguzi ujao sharti awe na shahada ya kwanza na kuendelea. Hatutaki darasa la saba wanaopiga kelele Bungeni bila kujenga hoja.
Tanzania wana siasa wasomi na wasio wasomi wote wanafanana tena afadhari wasio wasomi kuliko hao maprofessor wenu.
 
Back
Top Bottom