kiwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mbinu shirikishi kuinua kiwango cha uwajibikaji nchini Tanzania

    Ukilinganisha na watu kutoka mataifa mengine ya Afrika Mashariki na Kati, watanzania sio wavivu kama inavyodhaniwa. Kinachokosekana tu ni mpango madhubuti na endelevu wa kuhimiza uwajibikaji miongoni mwao. Baada ya kufanya utafiti wangu kimyakimya, nimegundua kuna jambo dogo tu linaloksekana...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mlowo - Kamsamba (Momba) sasa kuwekwa katika mikakati ya kujengwa kwa kiwango cha Lami

    JIMBO LA MOMBA KUNUFAIKA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepanga kujenga miundombinu ya barabara kwa kiwango cha lami katika Jimbo la Momba...
  3. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vituo vya mwendokasi ya Mbagala vinajengwa chini ya kiwango

    Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema. Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi. Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Barabara za Jimbo la Kiteto kujengwa kwa kiwango cha lami

    JIMBO LA KITETO - EDWARD OLE LEKAITA TAARIFA MAALUM KUHUSU UJENZI BARABARA ZA LAMI BARABARA KONGWA - KITETO- SIMANJIRO- ARUSHA KM 453 BARABARA HANDENI - KITETO- NCHEMBA - SINGIDA KM 460 Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto najua wengi wenu mmekuwa mnanipigia simu kuhusu Ujenzi wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kukamilisha Barabara kwa Kiwango cha Lami Mpanda, Uvinza na Inyonga katika Mwaka wa Fedha 2023-2024

    SERIKALI KUKAMILISHA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI MPANDA, UVINZA NA INYONGA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amejibu maswali Bungeni jijini Dodoma aliyoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki juu ya ujenzi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Chama na wachezaji wenzako waandamizi wa Simba SC, hamjachukua hongo kweli ili mcheze chini ya kiwango?

    Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za Simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam. Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao...
  7. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Soka Tanzania Kimepanda au cha Afrika Kimeshuka?

    Wakati natafakari hayo najiuliza zaidi. Je, Ulaya na Hususan UK Premier League inadumaza viwango vya Mpira Sehemu Nyingine? Kulikuwa na wakati nchi tofauti zina vionjo tofauti, Afrika Nguvu na Showboating, Brazil Ginga Football n.k.; Nilisoma article moja ya Academy huko Brazil kwamba sasa hivi...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Ujenzi wa mradi wa barabara ya Ntendo-Muze-Kilyamatundu (Km 179) kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Tanzania kupitia TANROADS inajenga mradi wa barabara ya Ntendo- Muze-Kilyamatundu (Km 179) mkoani Rukwa kwa kiwango cha lami. Akizungumza mara ya baada ya kutembelea mradi huo, unaojengwa na kampuni ya China Geo – Engineering Corporation Ltd (CGC) leo Aprili 30-2023 Waziri Ujenzi...
  9. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mzize toka abadili dini kiwango kimeisha

    Ni kama laana sijui Hajafunga toka muda ule Anaruka ruka uwanjani Anabaki na kipa anakosa
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

    Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni 1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ? 2. Atabaki Simba ? 3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hili la Law School ni la kupongezwa; una haja ya kuli-apply upande wa Vyuo vya Afya, tuna products za kiwango cha chini sana siku hizi

    Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo. Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani, Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe. Sheria ina Uamuzi mkubwa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 na Kivuko cha Buyagu-Mbalika. Aprili 23, 2023

    Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 kwa kiwango cha lami, Aprili 23, 2023. Godfrey Kasekenya, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Anasema: “Utashi na maoni ya Rais Dkt. Samia ni kuwa ili Tanzania iendelee moja ya kitu muhimu ni kujenga na kuboresha...
  13. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato umefikia kiwango cha asilimia 18.5

    Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato upo Kilometa 10 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma, ulianza Aprili 20, 2022 baada ya mkataba kusainiwa Septemba 2021. Mhandisi wa Miradi wa TANROADS Dodoma, Colman Gaston anasema mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: TANROADS yasema ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami Rudewa-Kilosa (Kilometa 24) umefikia 90%

    Mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami Dumila-Kilosa-Mikumi sehemu ya Ludewa-Kilosa yenye urefu wa kilometa 24 umefikia asilimia 90 ambapo mradi huo unatarajiwa kukamilika Julai, 2023. Kazi iliyobakia ni ujenzi wa madaraja matatu huku ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ikiwa...
  15. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo kundi lako la kiwango cha Utashi

    Nadhani umeshawahi kusikia mtu akisema "...tatizo una IQ ndogo sana.." na wewe bila kuchanganua hoja yake ukakasirika. Inawezekana ni kweli au sio lakini je IQ ndiyo kigezo pekee Cha kupima utashi wa mtu? Hebu tiririka nami kwenye hii makala fupi sana. "Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina...
  16. J

    JamiiForums Tanzania WanaSimba wenzangu kuringia sana kiwango cha Jean Baleke, ni kama mtu kuringia gari la mkopo

    Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali ilikopa zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge

    ACTWazalendo imesema Deni la Taifa liliongezeka kwa 11% kutoka Tsh. Trilioni 64.5 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Trilioni 71 Juni 30, 2022 ambapo Serikali ilichukua Mikopo kwa 30% zaidi ya idhini ya Bunge. Vile vile Mikopo ya Nje yenye masharti nafuu iliyochukuliwa na Serikali ilikuwa 33%...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Sakata la Fei toto likiisha itachukua muda Fei kurudi kwenye kiwango chake

    Salamu humu. Michuano ya kimataifa inayoendelea sasa hivi kwa Simba na Yanga ambayo inaangaliwa na afrika nzima ilikuwa ni sehemu muhimu Sana kwa dogo Fei kuonyesha dunia kiwango chake na kujipima yeye mwenyewe je anaweza kwenda kucheza kimataifa au abaki humu matopeni. Sijajua alikuwa na...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Gobless Lema ana elimu kiwango gani?

    Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha elimu ya Mr Gobless Lema. Maana anavyoongea anajijua mwenyewe, au hajapata mgao?
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wanapata hasara kwa kutokujua kiwango cha kubadilishia pesa cha dola kwenda Yuan au shilingi kwenda Yuan

    Mfanyabiashara unaweza kupata taarifa ya viwango vya kubadili fedha kupitia simu yako, una-google, kutembelea mabenki n.k lakini cha muhimu zingatia utofauti wa kiwango cha kubadilishia fedha hiyo, Wafanyabiashara wengi mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka anakuwa haelewi kwa sababu hajui...
Back
Top Bottom