Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,843
12,604
Waslaam wakuu!

Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba.

Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan wa kipesa.

Hapo kwenye kuombwa pesa ndo njia pekee ambayo unaweza kuitumia kupima kiwango cha upendo wake kwako.

Kwa hiyo fanya hivi, akikuomba pesa jifanye huna hata Mia mbovu yaani upo chini kabisa ( wakati mwenyewe unajua kbsa una hizo pesa) ili kutest reaction yake. Ukishamwambia huna pesa za kumpa then kaa kimya kwa muda wa wiki moja. Yaani fanya mambo yako kabisa wala usishughulike naye huku unamsikilizia uone kama ataendelea kukutafuta ama atakausha mazima.

Brother, ukiona huyo mwanamke wako ameanza kupunguza mawasiliano yaani hakutafuti tena mpaka wewe umtafute, message zako anajibu kwa ufupi basi jua hapo huna mtu. Mpaka pale utakapomtimizia alichokuomba ndipo atakapoanza kukuchangamkia.

Sasa mwanaume unayejielewa umeona hizo dalili hapo juu kwa mwanamke wako afu bado unakaza fuvu unataka kuendelea kuwa wakati mwenyewe kaonyesha yeye ni gold digger kbsa🤔

Oyaa bro, ukiona mwanamke wako amekubadilikia ghafla eti kisa hujampa pesa aliyokuomba piga china haraka tafuta pisi nyingine.

Tuendelee kuishi na hawa viumbe kwa akili ndugu zangu.
 
Huu uzi utapata mashambulizi makubwa sana toka kwa kina dada maana wanahisi ni haki yao kupewa pesa kwenye mahusiano.

Asilimia kubwa ya wanawake wa kitanzania (sio wote) wanaamini kuwa mahusiano ni sehemu ya kutatuliwa dhiki zao zote. Kipimo cha upendo wa mwanamke wa kibongo ni kupewa pesa.
Screenshot_20231018_192548_Gallery.jpg
 
Hapo kwenye kuombwa pesa ndo njia pekee ambayo unaweza kuitumia kupima kiwango Cha upendo wake kwako.
Kwa hiyo fanya hivi👉 Akikuomba pesa jifanye huna hata Mia mbovu Yaani upo chini kbsa( wakati mwenyewe unajua kbsa una hizo pesa) ili kutest reaction Yake.Ukishamwambia huna pesa za kumpa then kaa kimya kwa muda wa wiki moja.Yaani fanya mambo yako kbsa Wala usishughulike naye huku unamsikilizia uone Kama ataendelea kukutafuta ama atakausha mazima.

Brother, ukiona huyo mwanamke wako ameanza kupunguza mawasiliano Yaani hakutafuti Tena mpaka wewe umtafute, message zako anajibu kwa ufupi Basi jua hapo huna mtu.Mpaka pale utakapomtimizia alichokuomba ndipo atakapoanza kukuchangamkia.
  1. Ukiona anaanza na maneno kama dear, baba, my sweet, baby and the like ujue waenda kamuliwa upepo
  2. Ukimwambia huna akakaa kimya then ukimuuliza akakujibu sina hela ya kujiunga nikujibu msg jua hilo tego
 
Upo sahihi kbsa mkuu,kumbe unawaelewa Hawa viumbe
  1. Ukiona anaanza na maneno kama dear, baba, my sweet, baby an ad the like ujue waenda kamuliwa upepo
  2. Ukimwambia huna akakaa kimya then ukimuuliza akakujibu sina hela ya kujiunga nikujibu msg jua hilo tego
 
Huu uzi utapata mashambulizi makubwa sana toka kwa kina dada maana wanahisi ni haki yao kupewa pesa kwenye mahusiano.

Asilimia kubwa ya wanawake wa kitanzania (sio wote) wanaamini kuwa mahusiano ni sehemu ya kutatuliwa dhiki zao zote. Kipimo cha upendo wa mwanamke wa kibongo ni kupewa pesa.
Upo sahihi kbsa mkuu.Watakuja kunipa makavu Yaani sio poa kbsa😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom