kiwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia ni uvumilivu na kiwango cha ubinadamu. Tuipende Nchi yetu

    Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine. Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tazama kiwango cha Madeni ya Nchi za Afrika Mashariki kilichokopwa IMF

    Kwa mujibu wa taarifa za Manunuzi na Mikopo ambayo haijalipwa (OPL) kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), hadi kufikia Desemba 2023, Nchi 8 za Afrika Mashariki zilikuwa na Deni la Tsh. 16,805,982,380,014 kutoka kwa Mkopeshaji huyo (IMF). Kenya imetajwa kuwa na Deni kubwa zaidi...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CPI Ripori: Tanzania ni kati ya Nchi zenye kiwango kidogo cha Rushwa Afrika, unakubaliana na hilo?

    Ripoti ya Mtazamo Kuhusu Rushwa ya 2023 (CPI) imeonesha Rushwa na Ufisadi unazidi kushamiri ambapo Theluthi 2 ya Nchi zimepata alama chini ya ya 50 kati ya 100, hali inayodhihirisha kuwa bado zina matatizo makubwa ya Rushwa. Pia, Ripoti hiyo imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 13 katika Nchi...
  4. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Kenya: Madaktari Tanzania Mnaandika Dawa za Kiwango cha Chini

    Kenya kuna makampuni mengi makubwa ya madawa, ambayo mengi yao ni innovators wa dawa mbalimbali (brands), ambazo nchi nyingine hususani India huja kuzalisha baadaye kama generic. Kwa wasiojua brands huuzwa ghali, ila ni bora zaidi, wakati ni generic huuzwa kwa bei ya kutupwa, nyingi zikiwa na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simon Msuva basi hata kama uliamua Kumpigia pande huyo Shemeji yako Mzungu Taifa Stars, mbona ana Kiwango kibovu hivyo?

    Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu Tanzania ni sawa tu na Ndondo Cup ile ya Shaffih Dauda. Kwahiyo Simon Msuva ( Shemeji Mtu ) na TFF...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Barabara ya Ramadhani - Iyayi KM 74 (Wanging'ombe) Kujengwa kwa Kiwango cha Lami

    WAZIRI BASHUNGWA: BARABARA YA RAMADHANI – IYAYI KM 74 (WANGING’OMBE) KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya Ramadhani – Iyayi yenye urefu wa kilometa 74 ambayo imekuwa ni kilio kikubwa cha...
  7. Papaa Mobimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kujiondoa katika makubaliano ya uingizaji wa mafuta na Saudi Arabia

    Nchi ya Kenya inatafuta kujiondoa katika makubaliano ya Serikali kwa Serikali (G2G) na Saudi Arabia ikieleza kuwa inaleta upotoshaji kwenye soko la ubadilishaji wa fedha na kukiri kwamba imekosa kulegeza shinikizo kwenye dola. Makubaliano ya G2G yaliyoanzishwa na Rais William Ruto mwezi wa...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kiwango gani cha umaskini umekishuhudia kikakushangaza na kukusikitisha?

    Aisee kweli tunaishi kwenye umaskini wa kutupwa mikoa ya kusini huku vijijini kumezidi sana ninapopita kazini nakutana na hali za kutisha. 1. Watoto wanakula maembe wanashindia kama chakula sio kama matunda. Wazazi wapo shamba huko wamewaacha watoto nyumbani mpaka na vimwali wazuri unakutana...
  9. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Djigui diarra top top top goalkeeper, maneno machache but kiwango bora kabisa!

    Ni moja ya sajili Bora kabisa ambayo Eng.Hersi said anastahili pongezi za dhati, ni goalkeeper ambae amekomaa vya kutosha na uzoefu wa kutosha! Mechi yake ya kwanza dhidi ya south Africa anaondoka na clean sheet uku akiwabeba Mali mgongoni mwake, save 6 za maana uku 3 akizifanya ndani ya box...
  10. Heci

    JamiiForums Tanzania Ukifikia kiwango hiki cha unywaji, utakuwa ni mlevi uliyekubuhu. Badilika 2024

    HUYU NDIE MLEVI!!!!!: 1,Akipata kazi ANALEWA 2,Akifukuzwa kazi ANALEWA 3,Akioa ANALEWA 4,Akiachika ANALEWA, 5,Akifurahi ANALEWA, 6,Akichukia ANALEWA 7,Akipandishwa cheo ANALEWA, 8,Akishushwa ANALEWA 9,Akijenga nyumba ANALEWA 10,Akinunua gar ANALEWA 11,Akipata ajali ANALEWA, 12,Akimpata mtoto...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mafundi mitambo wa Arise and shine TV ni wa kiwango cha chini

    Nimefuatilia TV yao kwenye matukio makubwa mengi ambayo Mtumishi huyo anayafanya , kiukweli kiwango chao ni duni kuliko TV yoyote ya Kidini iliyopo hewani . Kwa mfano hii VUKA NA CHAKO ya leo dk 10 hewani saa nzima kimya , hii si mara ya kwanza kwa TV yao kuwa na mambo haya , kuna haja ya...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Barabara ya kilomita 13 Matundasi - Chunya -Itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami?

    Kuna mahali nimesoma kwenye bajeti ya maendeleo ya serikali kuu 2023/24 inaonesha barabara ya matundasi kwenda itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami. Mwenye uelewa wa jambo hili ninaomva atujuze. Je, mkandarasi alishapatikana? Je, ujenzi unaanza lini?
  13. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

    Moja kati ya changamoto kubwa ambayo Watanzania tunayo kwenye huduma zenu ni kuhusu kuwahudumia wateja au watu wenye uhitaji. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi, kwa miezi kadhaa nimekuwa nakwaruzana na watu wa TANESCO kuhusu huduma kwa wateja “Customer Service”. Inawezekana...
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Soko jipya la Mbagala Zakhiem halikidhi haja, limejengwa chini ya kiwango pia wafanyabiashara wa mwanzo wamenyimwa fremu.

    Soko jipya lililopo Mbagala Zakhiem limejengwa kwa gharama ya sh. 2Billion, ujenzi uliofanyika umeweka vifremu vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji ya wafanyabiashara. Fremu nyingi wamegawiwa watu ambao hawakuwepo awali japo mkuu wa mkoa aliahidi wafanyabiashara wa mwanzo ndio watakaopewa...
  16. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Hadithi Fupi: Ni kiwango gani cha Ardhi anachohitaji mwanadamu

    Wapenzi wa simulizi, hii ni Simulizi iliyotoka mwaka 1886 huko Urusi iliyotungwa na Nguli wa Fasihi, Leo Tolstoy. Mwanafasihi huyu ameandika Riwaya na Hadithi fupi fupi nyingi sana. Riwaya zake Maarufu ni Anna Karenina na War and Peace. Hadithi hii fupi iliitwa : WHAT AMOUNT OF LAND DOES A...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Viongozi wa Elimu watakiwa kupandisha kiwango cha uandikishaji wa Wanafunzi

    Viongozi na Wadau wa Elimu Mkoa wa Katavi wametakiwa kuhakikisha kila mtoto mwenye sifa za kuanza darasa la kwanza anaandikishwa haraka ili aweze kuanza masomo Januari 2024. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf wakati akimwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Katavi wakati wa kikao...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Chande: Kiwango cha Umasikini wa Chakula Nchini Kimepungua

    Tanzania imekuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa chakula kutokana na kuwepo kwa takwimu sahihi za hali ya Maisha katika kaya, hali iliyopolekea kiwango cha umasikini wa chakula kushuka nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akifungua...
  19. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Baada ya kiwango kizuri alichokionesha Francis Nganou, nashauri apewe Daniel Dynamite Dubois

    Baada ya Francis Nganou kumtandika Lineal Champion ambaye pia ni WBC Super heavyweight champion of the world Tyson Fury (Gypsy king) licha ya kufanyiwa dhuluma ya waziwazi na majaji naona Francis apewe triple D apigane naye kabla ya kurudiana na Tyson Fury. Binafsi nimeona haikuwa rahisi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rungwe: DC Haniu atoa neno Maadhimisho ya Siku ya Lishe, asema lishe imesaidia kiwango cha ufaulu kwa Wanafunzi kupanda

    Maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya yamefanyika leo Oktoba 30, 2023 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katumba II , Mgeni Rasmi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu. Haniu amepongeza kwa hatua nzuri ya lishe iliyofikiwa katika Wilaya ya...
Back
Top Bottom