Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa.
Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na...
Naandika andiko hili nikiwa ni mmoja wa watumishi wa Serikalini, na nimelazimika kuleta andiko hapa kwa kuwa nguvu kubwa inayotumiwa na wanaofanya mambo kwa mlango wa nyuma wana nguvu kuliko Watumishi wengi ambao ndio wanaokamuliwa hela bila kupenda.
Inajulikana wazi kuwa Mtumishi anapokuwa na...
Anonymous
Thread
fedha
kiwango
lazima
mtumishi
official
tamisemi
uhamisho
wazi
Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye.
Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini,
Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
Ninashauri Katibu mpya iweke kiwango cha elimu ya Mbunge anayetaka kugombea. Tumechoka kusikia sifa ya mgombea ni kuwa awe anajua kusoma na kuandika. Karne hii?.
Hii ndiyo maana wanapitisha mambo mengi wasiyoyaelewa. Mgombea Ubunge wa uchaguzi ujao sharti awe na shahada ya kwanza na...
Ujio wa social media vijana wa Africa wanautumia in negative way tofaut na vijana wa mataifa mengine ili kupiga hatua za kimaendeleo.
Yanayoendelea kwenye media hayana uhai kwa kesho ya Africa.
Watu mengi ni uharibifu na uchafu tu wa akili kujaza saver ya akili uchafu tu ambao haujengi fikra...
Kichwa cha mada kinajielezea.
Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity].
Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa.
Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku.
Rais Samia kamlipa Tundu Lissu stahiki zake za kibunge.
Rais Samia katoa mabilioni huku na kule.
Watu ambao mtu...
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa...
Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi.
Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi.
Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi - Rungwa kupitia chunya kwenda Mbeya ni kipindi cha Kms 233 tu.
Nitawashangaa Tanroads mkoss as...
Katika ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 ya Wizara ya Afya Dodoma kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, iliyotoka Januari 2023, INaonesha Kuna Mikoa kabisa haina...
Ni tukio la kusikitisha sana. Limetokea katika Kitongoji cha Bombani, kijiji cha Dumila Mkoani Morogoro.
Kwa mujibu wa watoa taarifa, mwili wa mtu aliyedaiwa kufa kifo cha ghafla, ulionekana ukitoka jasho na mapigo ya moyo kupiga kwa mbali. Waliotaka daktari aitwe aje athibitishe kama kweli...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia TANROADS imesaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja la Simiyu lenye urefu wa mita 150 na barabara za Maingiliano zenye urefu wa km 3 kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 48.788.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya utiaji saini mkataba...
Habari wakuu,
Hii barabara kuanzia Segerea-Bonyokwa mpaka Kimara kwa sisi wakazi wa maeneo hayo ilikuwa kero kubwa sana sababu kutokana na ubovu wake hasa kipindi cha mvua. Hii barabara imekuwa ikilalamikiwa miaka na miaka lakini serikali ilikuwa imeziba masikio lakini sasa kilio kimewafikia...
Wajuvi hasa wa bank, ni kwango gani cha pesa ni limit ya mtu toka kwenye savings account na kwenda current account? kuna mtu kaniuliza swali na mimi sio banker.
MKABATA UJENZI WA BARABARA MTILI - IFWAGI (KM 14) WASAINIWA - JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe tarehe 20 Juni, 2023 ameshuhudia utiaji saini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara...
KITETO KUNUFAIKA NA MRADI WA UJENZI WA BARABARA SABA ZA LAMI
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita, akitoa neno kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Kiteto kwenye Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba ya Ujenzi wa Barabara Saba.
Barabara Saba zitakazojengwa Kiteto ni pamoja na Kongwa -...
Kawaida, kwa Tanzania ukizungumza juu ya majimbo, watu wengi hudhani ni yale yanayowakilishwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Majimbo ninayozungumzia hapa, ni mikoa inayoongozwa na Wakuu wa Mikoa kwa sasa! Swala la serikali za majimbo limezungumzwa siku nyingi na mara...
BARABARA YA NANENANE - TUNGI MOROGORO KUFANYIWA UKARABATI MWAKA MPYA WA FEDHA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi juu ya mpango wa Serikali kukarabati barabara mkoani Morogoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.