kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama Iddi Amin angekuwa na full support ya jeshi then vita ya Kagera ingekuwa ndefu sana na ingetugharimu kiuchumi vibaya mno

    Uganda tayari ilikuwa fractured kuanzia serikalini hadi kwenye jamii. Watu wa Uganda waliishi kwa kumuogopa dadaa ila hawaku muheshimu. So vita kutoka Tz ilikuwa ni fursa kwao kwa maana wanajeshi wa Tz walikuwa wanapata support kwa kila kituo walichokuwa wanafikia na naamini jeshi letu...
  2. Gibbethon bible code

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi jiuliza ni kwanini wakristo waliokoka wengi wana hali ngumu za kiuchumi japokua biblia imewahidi baraka nyingi sana

    Kama kinavyosema kichwa cha habari hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza kwanini walokole wengi sio wote hali zao za kipato sio nzuri japokua kwenye biblia wameahidiwa baraka nyingi sana na Mungu na huku watu wanaoishi maisha yasiyompendeza Mungu wanamaisha mazuri na familia zao...
  3. Evody kamgisha

    JamiiForums Tanzania Serikali hamasisha Watanzania kucheza Green Card ili tupate diaspora wengi. Ina faida za kiuchumi

    Moja ya nchi ambayo ina wananchi wake wanaoishi ugaibuni (USA, German, Italy, France, Canada, Australia, Norway, Spain, Denmark n.k) ni Tanzania. Ukiangalia Watanzania wanaoishi nje ya nchi idadi yake tunazidiwa na Somalia. Ukiachana na nchi kama Kenya, Misri, Sudan, South Africa na nyinginezo...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyofanya ili kuinuka baada ya kufilisika na kuanguka kabisa kiuchumi

    Wakuu kwa siku kadhaa nimesoma kwa umakini uzi unaouliza kilichotokea hadi baadhi yetu tukaanguka kimaisha. Mimi pia nilitoa maoni yangu na kuelezea kwa ufupi jinsi ilivyokuwa hadi nikaanguka. Sababu kuu ilikuwa kuendekeza mbususu. Lakini sikuelezea kiundani niliwezaje kusimama tena baada ya...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uchofu wa Israel na anguko la kiuchumi la US ndivyo vitakavyotoa ushindi kwa Hamas

    Kinachotokea Ukraine ndhicho kitakachoipata Israel mbele ya Hamas.Ukraine na Israel wote wanafanana kwa viwango vya kiburi vita vilipoanza. Ukraine alipoona uchumi wake ni mkubwa akaamua kuichokoza Urusi na vita vilipoanza na misaada ikaamiminika aliamini ataishinda Urusi na kujizolea sifa...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Uhaba na Ubaguzi kwenye Pesa itakuwa nguzo kuu ya anguko la CCM miaka michache ijayo

    Nguvu ya kiuchumi inabeba ushawishi mkubwa sana katika nyanja mbalimbali za maisha hapa Duniani. CCM itavugika tu pale tu pesa itakapokuwa ni taabu miongoni mwao hasa ubaguzi wa fursa za kiuchumi Nawaibia siri tu shida za kiuchumi, fursa za kiuchumi na kipesa ndani ya CCM ndio silaha kubwa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Doto Biteko: Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili shughuli za kiuchumi na kijamii zifanyike

    WATANZANIA WANAHITAJI WAPATE MAFUTA KWA URAHISI - DKT. BITEKO #Apongeza utaratibu wa upokeaji na upakiaji mafuta #Ujenzi wa Flow meter Kigamboni wafikia asilimia 93 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Karibu tujadili fursa mbalimbali za kiuchumi, kibiashara, ujasiriamali na uwekezaji ndani ya nchi yetu

    💥SOKO LETU LEO ONLINE💥 🔥🔥MADA YA LEO🔥🔥 Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne. Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo. Wakuu kutokana na changamoto ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Kiuchumi kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefeli?

    Matukio wa wawekezaji wa sekta ya usafiri na kugavi, malori yao kukwama DR Congo yatamalizwa lini? Au diplomasia yetu ya kiuchumi ni kwa ajili ya nchi za mbali kama China, India, Mashariki ya kati na wala siyo na majirani zetu. 17 October 2023 MALORI ZAIDI YA 200 YAKWAMA NCHINI CONGO DRC KWA...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tuifute Nyerere day ili nchi ipate mabadiliko ya kweli ya kiuchumi na kisiasa

    Nyerere alifanya jambo moja tu zuri ktk taifa hili, nalo ni kuondoa ukabila na ukanda, hivyo kuwafanya watanzania kuwa wamoja. Lakini mengine yote alikosea. Hivyo kuendelea kumuenzi mwalimu Nyerere ni sawa na kusema tuendelee kuyakumbatia mabaya yake yote. Ambayo ni:- 1. Muungano. Lengo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiowekwa wazi: Hayati Nyerere aliacha taifa letu likiwa masikini sana kiuchumi pamoja na kutoa msaada kwa nchi za jirani

    Alisaidia na kukomaa mataifa ya jirani yapate uhuru akasahau kabisa kuendeleza taifa letu. Kauli mbiu ya kuwa sisi kuwa huru huku majirani zetu hawako huru sio vyema ilifanya akasau kuendeleza taifa letu. Aliacha miundo mbinu iko hovyo, shule chache, hospitali chache na kila kitu kikiwa hovyo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Korogwe tunakereka kusimamishwa muda mrefu barabarani ili kupisha misafara ya viongozi wa Siasa, hii sio sawa

    Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni). Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi. Mara nyingi tu shughuli...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wanapigana vita lakini bado kiuchumi hatuwafikii

    Palestina na Israel daily wanapigana vita lakini kwenye suala la Uchumi bado nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania 🇹🇿 hatuwafikii kiuchumi. Shida inakuwa wapi kwa Nchi kama Tanzania, na kuitwa Nchi ya Amani na kuwa na rasilimali hizo zote, lakini bado tunashindwa kuzipita Nchi kama Israel na...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Huku ni kukosa dira ya kiuchumi na kuweweseka kimaono. Unanunua dege la bil 200 unaacha kununua magari zimamoto

    Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee. Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida? Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
  15. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Tanesco kwamba umeme kukata ni sababu ya kukua kwa shughuli za kiuchumi imekaa kisiasa

    Sitaki kukubaliana na Tanesco eti kwamba awamu ya sita Kuna ongezeko la shughuli za kiuchumi hadi kupelekea upungufu wa umeme.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kiuchumi za China hazitakuwa na madhara kwa nchi za Afrika

    Katika siku za karibuni vyombo vya habari vya ndani na nje ya China vimekuwa vikiripoti kuhusu changamoto za kiuchumi za China zinazotokana na kupungua wa tija ya uzalishaji, kupungua kwa nguvu kazi, kuyumba kwa soko la nyumba na hata ongezeko la ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana. Changamoto...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Naona dalili za anguko la kiuchumi la Watanzania na sidhani kama Serikali yao imejiandaa kulikabili

    Ni maoni yangu, ni hisia zangu, reference point ni consumption patterns, consumer markets, business markets, expenditure patterns, currency consumption value, income generation sources vs expenditures. Turbulence on economic engines, Government interventions don't exist Sijui itakuwaje naiona...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania KARATU: Mji wenye vumbi kali na fursa nyingi za kiuchumi

    Majuzi nilileta uzi wa miji yenye vumbi jingi ambapo Karatu ilikuwa namba moja na hakuna aliyepinga. Baadhi ya comments zilizonekana kugusiagusia kuhusu huu mji ambao hauna mpinzani kwa kiwango cha vumbi jekundu kusini mwa jangwa la sahara. Lakini pamoja na vumbi bado Karatu ni mji mmoja uliokaa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tunataka Ujasusi wa kiuchumi uimarishwe Tanzania

    Asalam Aleykum, Niliwahi kusema hapa Jukwaani kwamba nchi yetu ni " A sleeping giant". Hii ni kutokana na kwamba licha ya kuwa na raslimali za kila aina lakini bado Watanzania wengi tunaishi chini ya dola moja! Hii kwa kweli inavunja sana moyo. Binafsi nilishasema na leo narudia tena kwamba...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Benki sasa zinaishiwa shilingi, hii tunaitaje kiuchumi?

    Baada ya benki kuishiwa Dola, Sasa benki nyingi zinaishiwa shilingi. Nini maana yake? Je, watu wanahamisha mitaji kwenda kuitafuta Dola? Je, mzunguko wa shilingi umezuiwa na Dola? Je, Wafanyabiashara hawauzi bidhaa na kupata shilingi? Je, Wafanyabiashara Sasa wanapokea dola kutoka kwa...
Back
Top Bottom