Nawaalika nyote kuzaliwa upya kisiasa, kijamii na kiuchumi Krismasi hii

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,154
11,561
Wapendwa sana, wanafamilia wa JF.

Salamu.

Mara baada ya salamu, Nashukuru Mungu kwa niaba yako na yangu, kwa kibali cha maisha, zawadi ya uhai na afya anazotujaalia.

Karibuni sana nyumbani kwangu mkiwiwa kwa biriani la Christmas.

Wapendwa, Christmas hii tukazaliwe upya kiroho na kimwili na hatimae michango yetu ktkt mijadala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi humu ndani ilete mapinduzi ya chanya ya kifikra, Ufahamu na Uelewa ambayo matokeo yake ni umoja, upendo na maelewano na mshikamano licha ya kutokukubaliana kwa wadau miongoni mwa baadhi ya hoja.

Nawatakia Christmas ya Amani sana.
 
Wapendwa sana, wanafamilia wa JF.
Salamu....

Mara baada ya salamu, Nashukuru Mungu kwa niaba yako na yangu, kwa kibali cha maisha, zawadi ya uhai na na anazotujaalia.

Karibuni sana nyumbani kwangu mkiwiwa kwa biriani la Christmas.

Wapendwa, Christmas hii tukazaliwe upya kiroho na kimwili na hatimae michango yetu ktkt mijadala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi humu ndani ilete mapinduzi ya chanya ya kifikra, Ufahamu na Uelewa ambayo matokeo yake ni umoja, upendo na maelewano na mshikamano licha ya kutokukubaliana kwa wadau miongoni mwa baadhi ya hoja.

Nawatakia Christmas ya Amani sana....
...Amina ! ...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom