Karibu tujadili fursa mbalimbali za kiuchumi, kibiashara, ujasiriamali na uwekezaji ndani ya nchi yetu

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Dec 13, 2019
1,006
1,171
💥SOKO LETU LEO ONLINE💥

🔥🔥MADA YA LEO🔥🔥
Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali

Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne. Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo.

Wakuu kutokana na changamoto ya ukosefu wa ajira na salary au kipato kutokukidhi kwa wale wenye ajira, naona Ni vema tukashirikishana Kila Aina ya Fursa inayoonekana au kupatikana 🤝🤝. Kwa leo tuangalie biashara unazoweza kuanzisha kwa mtaji mdogo. 🤏👌

Kwanza kabisa hakuna biashara ndogo Ila kila biashara unaweza kuanza kidogo kidogo mpaka kufikia maono yako💪.

Naamini hata kwa wale wenye Ajira bado Kuna maono yako unayo ya kukuongezea kipato Chako au kuweza kupata Uhuru wa kiuchumi 💪.

Kwa wenye Ajira hapa lazima upate kijana mwaminifu ufanye naye kwa muda ukisubiri ukuaji wa biashara yako iweze kukuajiri mwenyewe na wengine.

1. BIASHARA YA BITES/VITAFUNWA

Hivi Ni vitafunwa unaweza kutengeneza Kama crips, sambusa, chapati, maandazi, mihogo ya kukaanga, vitumbua, karanga za mayai, ubuyu, korosho, visheti etc unaweza sambaza vitafunwa maofisini as package kwamba pack moja ina andazi, sambusa, chapati na kachori au ukauzia nyumbani, moja ya vitafunwa hivyo. Bites pia unaweza peleka kwenye maduka na supermarket, faida yake huwa nusu kwa nusu ya mtaji unaoutoa.

2. BIASHARA YA VINYWAJI BARIDI STENDI ZA DALADALA
Hapa utahitaji Deli au Ndoo uweke VITU vya kutunza baridi Cha kufanya, nunua mabarafu, nunua vinywaji, tafuta kijana au wewe mwenyewe uza stend za daladala, mwanzo mgumu Ila ukikaza inalipa.

3. BIASHARA YA UJI WA ULEZI, UJI WA MCHELE NA MAKANDE
Kodi toroli, jaza chupa zako za uji aina zote, tembeza kwenye magereji na sehemu za bodaboda, unaweza tembeza mwenyewe au ukampa kijana faida ni mara mbili ya mtaji ukitumia elfu kumi, jua utapata elfu 30. Kuna baadhi ya watu wanaidharau sana hii biashara lakini ina faida sana, jaribu ujionee maajabu.

4. KUNUNUA KUPACK DAGAA NA KUSAMBAZA MADUKANI NA MAJUMBANI

Hawa dagaa wanapatikana masokoni, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, unanunua vifuko unapack unauza mtaani au madukani kwa Bei ya jumla. Kuna dagaa wa Kigoma, Zanzibar au Mwanza waliokaangwa.

5. BIASHARA YA MATUNDA

watu wengi wanapenda kula matunda wakati mchana andaa kwa usafi matunda yako hapa, unaweza tumia elfu kumi tu.

Unaweza kununua matunda mchanganyiko katika soko lolote linalouza matunda then nunua vifungashio vile vya kuwekea matunda, pack matunda yako ambapo yakiuzika vyema unapata faida nzuri.

Hayo ni mawazo yangu Karibu kushare mawazo zaidi.
 
💥SOKO LETU LEO ONLINE💥

🔥🔥MADA YA LEO🔥🔥
Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali

Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne

Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo

Wakuu kutokana na changamoto ya ukosefu wa ajira na salary au kipato kutokukidhi kwa wale wenye ajira, naona Ni vema tukashirikishana Kila Aina ya Fursa inayoonekana au kupatikana 🤝🤝

Kwa leo tuangalie biashara unazoweza kuanzisha kwa mtaji mdogo ,🤏👌👌

Kwanza kabisa hakuna biashara ndogo Ila kila biashara unaweza kuanza kidogo kidogo mpaka kufikia maono yako💪💪

Naamini hata kwa wale wenye Ajira bado Kuna maono yako unayo ya kukuongezea kipato Chako au kuweza kupata Uhuru wa kiuchumi
💪💪💪
Kwa wenye Ajira hapa lazima upate kijana mwaminifu ufanye naye kwa muda ukisubiri ukuaji wa biashara yako iweze kukuajiri mwenyewe na wengine

1.BIASHARA YA BITES/VITAFUNWA

Hivi Ni vitafunwa unaweza kutengeneza Kama crips, sambusa, chapati, maandazi, mihogo ya kukaanga, vitumbua, karanga za mayai, ubuyu, korosho, visheti etc unaweza sambaza vitafunwa maofisini as package kwamba pack moja ina andazi, sambusa, chapati na kachori au ukauzia nyumbani, moja ya vitafunwa hivyo. Bites pia unaweza peleka kwenye maduka na supermarket, faida yake huwa nusu kwa nusu ya mtaji unaoutoa.

2.BIASHARA YA VINYWAJI BARIDI STENDI ZA DALADALA
Hapa utahitaji Deli au Ndoo uweke VITU vya kutunza baridi Cha kufanya, nunua mabarafu, nunua vinywaji, tafuta kijana au wewe mwenyewe uza stend za daladala, mwanzo mgumu Ila ukikaza inalipa

3.BIASHARA YA UJI WA ULEZI, UJI WA MCHELE NA MAKANDE
Kodi toroli, jaza chupa zako za uji aina zote, tembeza kwenye magereji na sehemu za bodaboda, unaweza tembeza mwenyewe au ukampa kijana faida ni mara mbili ya mtaji ukitumia elfu kumi, jua utapata elfu 30. Kuna baadhi ya watu wanaidharau sana hii biashara lakini ina faida sana, jaribu ujionee maajabu

4.KUNUNUA KUPACK DAGAA NA KUSAMBAZA MADUKANI NA MAJUMBANI

Hawa dagaa wanapatikana masokoni, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, unanunua vifuko unapack unauza mtaani au madukani kwa Bei ya jumla
Kuna dagaa wa Kigoma, Zanzibar au Mwanza waliokaangwa.

5.BIASHARA YA MATUNDA

watu wengi wanapenda kula matunda wakati mchana andaa kwa usafi matunda yako hapa, unaweza tumia elfu kumi tu,

Unaweza kununua matunda mchanganyiko katika soko lolote linalouza matunda then nunua vifungashio vile vya kuwekea matunda, pack matunda yako ambapo yakiuzika vyema unapata faida nzuri

Hayo Ni mawazo yangu Karibu kushare mawazo zaidi
👏👏👏
 
SOKO LETU LEO ONLINE

MADA YA LEO
Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali

Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne

Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo

Wakuu kutokana na changamoto ya ukosefu wa ajira na salary au kipato kutokukidhi kwa wale wenye ajira, naona Ni vema tukashirikishana Kila Aina ya Fursa inayoonekana au kupatikana

Kwa leo tuangalie biashara unazoweza kuanzisha kwa mtaji mdogo ,🤏

Kwanza kabisa hakuna biashara ndogo Ila kila biashara unaweza kuanza kidogo kidogo mpaka kufikia maono yako

Naamini hata kwa wale wenye Ajira bado Kuna maono yako unayo ya kukuongezea kipato Chako au kuweza kupata Uhuru wa kiuchumi

Kwa wenye Ajira hapa lazima upate kijana mwaminifu ufanye naye kwa muda ukisubiri ukuaji wa biashara yako iweze kukuajiri mwenyewe na wengine

1.BIASHARA YA BITES/VITAFUNWA

Hivi Ni vitafunwa unaweza kutengeneza Kama crips, sambusa, chapati, maandazi, mihogo ya kukaanga, vitumbua, karanga za mayai, ubuyu, korosho, visheti etc unaweza sambaza vitafunwa maofisini as package kwamba pack moja ina andazi, sambusa, chapati na kachori au ukauzia nyumbani, moja ya vitafunwa hivyo. Bites pia unaweza peleka kwenye maduka na supermarket, faida yake huwa nusu kwa nusu ya mtaji unaoutoa.

2.BIASHARA YA VINYWAJI BARIDI STENDI ZA DALADALA
Hapa utahitaji Deli au Ndoo uweke VITU vya kutunza baridi Cha kufanya, nunua mabarafu, nunua vinywaji, tafuta kijana au wewe mwenyewe uza stend za daladala, mwanzo mgumu Ila ukikaza inalipa

3.BIASHARA YA UJI WA ULEZI, UJI WA MCHELE NA MAKANDE
Kodi toroli, jaza chupa zako za uji aina zote, tembeza kwenye magereji na sehemu za bodaboda, unaweza tembeza mwenyewe au ukampa kijana faida ni mara mbili ya mtaji ukitumia elfu kumi, jua utapata elfu 30. Kuna baadhi ya watu wanaidharau sana hii biashara lakini ina faida sana, jaribu ujionee maajabu

4.KUNUNUA KUPACK DAGAA NA KUSAMBAZA MADUKANI NA MAJUMBANI

Hawa dagaa wanapatikana masokoni, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, unanunua vifuko unapack unauza mtaani au madukani kwa Bei ya jumla
Kuna dagaa wa Kigoma, Zanzibar au Mwanza waliokaangwa.

5.BIASHARA YA MATUNDA

watu wengi wanapenda kula matunda wakati mchana andaa kwa usafi matunda yako hapa, unaweza tumia elfu kumi tu,

Unaweza kununua matunda mchanganyiko katika soko lolote linalouza matunda then nunua vifungashio vile vya kuwekea matunda, pack matunda yako ambapo yakiuzika vyema unapata faida nzuri

Hayo Ni mawazo yangu Karibu kushare mawazo zaidi
Watu wengi tuna amini kuwa namna vile unafanya uwekezaji mkubwa kwenye biashara ndipo utakapo pokea Matokeo makubwa pia, lakini hii mentality...

ningependa watu wajue kuwa ni Hatua baada ya kuanza sio tuuy uanze na ikawe hivyo Hapana maana kuna watu tuliona walianza na mitaji mikubwa na Haikuwa hivyo

Sasa basi biashara ambazo mkuu amejaribu kuzi orodhesha hapo Nibiashara ambazo kiukweli zinaenda na Mazingila ya hii nchi kalibia kote kote yani ni Aina ya biashara rafiki kwa watu wote hakuna class kwenye izo biashara tunaona huku mitaani vibosile wanasimamisha magari asubuhi na kununua vitafunwa, matunda, Nk... Tena ni biashara ambazo Hazitaki mambo mengi na ukijaribu kuweka mambo mengi hutoiona faida yake Haki!

We jaribu sijui ukodishe frem uweke vioo alafu ndo upange tikiki ndani ufunge Ac ukweli hutouza Sawa na aliepaki toroli lake pale mwenge so ni Hayo tuchukue hatua kwani maendeleo hayaji kwa kujifunza tuuy isipokuwa uambatanishe na jitihada apo utaliona Tundu.
 
Habari zenu wakuu!

Kwa mara nyingine tena naleta uzi huu ukawe njia ya msaada kwetu sote watanzania wenye kupenda kupambana.

Ndani ya Tanzania yetu kuna fursa nyingi sana, kwa wale walio fanikiwa kutembea nadhani hilo wanalifahamu. Mikoani huko ndani ndani nahakika kuna fursa nyingi tu, tusikalili kuwa ni Dar es Salaam tu ndio kuna fursa. Hapana ata huko mikoani ndani kabisa kuna fursa nyingi tu.

Kwa wale walio fanikiwa kutembea huko ndani ndani naomba tupeane michongo ya fursa, endapo mtu atavutiwa anaweza chukua maamuzi. Tupo kwa ajili ya kusaidiana tu na si vinginevyo.

Wadau tufunguke bila choyo
 
Back
Top Bottom