Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Muki1

Member
Nov 8, 2021
21
87
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.

Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Huishi na mwanamke ila unaishi na malaya embu lifukuze mara moja njoo bar tunywe bia hapo hakuna mwanamke bwana mdogo .

Sina namna ya kukupa lugha ya kukupamba kwa upumbavu wa hilo limalaya lako uliloliweka ndani .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhali
dronedrake njoo utoe neno moja huku
 
Hivi ni mm na ushamba wangu au mwanamke akiolewa anatakiwa achunge anachopost hasa kinachohusu wanaume wengine ambao si ndugu zake!
Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!

Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
 
Hivi ni mm na ushamba wangu au mwanamke akiolewa anatakiwa achunge anachopost hasa kinachohusu wanaume wengine ambao si ndugu zake!
Siyo ushamba wako, ndivyo inavyopaswa iwe, kwa mtu awaye yeyote mwenye akili timamu ni lazima awe makini na chochote kile anachokiweka public,

Mara nyingi tunavyoviweka mitandaoni ndiyo hasa vinatuchoresha sisi ni watu wa aina gani..!

Ila utaambiwa 'simu yangu na bundle langu sipangiwi cha kupost', Huwa nasema kila siku 'to each their own'..!
Ahsante.
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Nisikupe moyo, ila safari imeanza rasmi.
Soon utaanza kuona mapichapicha
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Ukishakuwa useless kwa mwanamke hasa mke wa ndoa cha moto utakiona.
 
Ndugu, chukulia kuwa huna mke hapo bali una mfanyabiashara anaetafuta mtu mwenye dau kubwa kukuliko. Na kwa jinsi ulivyoongelea hali yako kiuchumi ni dhahiri keshampata.

Kwa afya ya akili yako na staha ya uanaume wako piga chini hiyo changudoa.

Baada ya status ya chats atakuja kupost picha akiliwa mate kabisa ndani ya gari ya mwanaume mwenzako.
Kwa kifupi huyo keshakutoa thamani yote.

Sifa kuu ya mke ni kumstiri mumewe kwenye kila hali na sio kumfedhesha.
Ni wazi huna mke hapo.
 
Back
Top Bottom