kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tanzania nayo itashiriki kombe la dunia la wanawake na mpira wa pete(Netball)? Michezo ni sekta muhimu kiuchumi kwa taifa

    Leo hii timu ya mpira wa miguu ya Hispania imeshinda kombe la dunia la wanawake mjini Sidney nchini Australia baada ya kuifunga timu ya Uingereza goli 1-0. Goli la Hispania lilifungwa na Olga Carmona baada ya kupewa pasi maridhawa na Mariona Caldentey. Hispania wamecheza mchezo kabambe khasa wa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe, swala la mkataba wa bandari si la kisiasa ni la kiuchumi

    Kuna watu wanapotosha kuwa TEC imeingilia maswala ya kisiasa. Kwamba TEC iache kuchanganya dini na siasa. Ninachopenda mfahamu ni kwamba, michakato katika nchi imegawanyika katika sehemu tatu Siasa, uchumi na jamii...yaani political, economic and social. Swala la mkataba wa bandari si swala la...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kiuchumi mnaufanya mjadala wa kidini. Hamna maana kabisa

    Haijapata kutokea katika historia ya nchi yetu masuala ya kiuchumi kugeuzwa mjadala wa kidini. Kuliwahi kuwepo na miradi ya kifisadi iliyodumu na kuleta athari mbaya kwa nchi wakati wa maraisi walipita yote ilijadiliwa kwa ufisadi wake na yote yaliyofuata yalikuwa malalamiko ya kawaida tu.Huu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hatima ya Jengo la kiuchumi la kanisa la Anglican(SAFINA HOUSE) mjini Dodoma, inaweza kuwa kama ya Jengo la TANESCO pale Ubungo, Dar-es-Salaam

    Huu ni mtazamo kulingana na ukweli kuwa, Jengo hili kubwa na zuri, limejengwa pembezeni mwa barabara inayoingia mijini Dodoma (katika ya mji) huku barabara ikiwa finyu na magari teyari ni mengi na siku zijazo barabara itahitajika kupanuliwa. Ukiangalia, ni wazi watakuwa wamejenga nje ya hifadhi...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salim Hasham Ametoa Matrekta Bure Ili Vijana Walime Wainuke Kiuchumi

    MBUNGE SALIM HASHAM AMETOA MATREKTA BURE ILI VIJANA WALIME WAINUKE KIUCHUMI Katibu wa Mbunge Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Thomas Daffa amewataka vijana wa Wilaya hiyo kutumia vyema fursa ya kilimo aliyoitoa Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Salim Alaudin Hasham ili wainuke kiuchumi. Daffa amesema...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini waajiriwa wengi wakistaafu lazima wapitie msoto mkali wa kiuchumi?

    Habarini, Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Wanawake wa Kinyerezi wazindua jukwaa lenye lengo la kumuinua Mwanamke kiuchumi

    Wanawake wa Kata ya Kinyerezi Jijini Dar es Salaam wamezindua rasmi Jukwaa la Wanawake ikiwa ni hatua ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kumuinua Mwanamke kiuchumi. Jukwaa hilo limezinduliwa na Lutta Rucharaba ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, jana ya Agosti...
  8. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora na kupambana na rushwa kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi

    UTAWALA BORA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI Utangulizi Utawala bora na kupambana na rushwa ni masuala muhimu sana katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika jamii. Makala hii inakusudia kuchambua umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kupambana na...
  9. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maadili na uwajibikaji ukokotezwe katika utamaduni wa Mtanzania kustaarabisha mifumo ya kisiasa na kijamii nchini

    UTANGULIZI Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu wa kijamii ambao binafsi siuoni ukikidhi kikamilifu vipengele vya utamaduni huo. Isitoshe una kasoro...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

    Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina. Hio...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Tunapigana vita vya kiuchumi, wana pa kukimbilia

    Tunapigana vita vya kiuchumi…wana pakukimbilia: Chongolo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo amesema Tanzania ikiwa sehemu ya dunia, iko katika mapambano ya vita vya kiuchumi asubuhi, mchana na jioni, akiwataka Watanzania kuwa makini na watu wachache, katikati ya...
  12. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kiuchumi kukaa kwa ndugu ni mzigo anaaona aibu kukwambia uutue. Mageto ya elf 10 hayapo kwa bahati mbaya. Tafuta shughuli yoyote halali ujitegemee

    Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi. Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali. INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Uwekezaji katika bandari una manufaa makubwa kiuchumi

    UWEKEZAJI KATIKA BANDARI UNA MANUFAA MAKUBWA KIUCHUMI: BASHUNGWA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambeye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amesema maamuzi ya Serikali kuhusu Uwekezaji na uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam utaongeza ufanisi kiutendaji na manufaa...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kupambana Na Uhaba Wa Fursa Za Kiuchumi Na Kijamii: Mikakati Na Hatua Za Kuboresha Maendeleo Ya Watu Na Jamii

    Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Uhaba wa fursa za kiuchumi na kijamii ni changamoto kubwa kwa watu wengi, hasa katika nchi zinazoendelea. Fursa za kiuchumi na kijamii ni nafasi au hali zinazowezesha watu kuboresha maisha yao, kujifunza mambo mapya, na kuchangia jamii. Uhaba wa fursa ni...
  15. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa kiuchumi na Yeriko Nyerere is real!

    Angalia mfano huu than connect dots, kwa kuangalia kitu kinachoitwa ujasusi wa kiuchumi. 1. Mimi ni Dubai ninataka kucontrol usafirishaji majini kwa Africa, 2. meli nyingi zinazotoka china kuja africa huwa zinapitia bandari yangu, 3. kuna uwezekano meli nyingi toka china zikapita bila...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kijana Tambua Fursa za kiuchumi

    Fursa za kiuchumi ni Hali Yoyote Ambayo Inakupa Nafasi ya Kujipatia Kipato Cha Halali, Vijana Badala ya Kusubiri Ajira wanapaswa Kutazama Fursa za kiuchumi Ambazo zinawazunguka Vijana. Kilimo Cha Matunda,Kilimo Cha mazao ya Chakula, , Ufugaji wa Kuku, Ufugaji wa Nyuki, na Ufugaji wa Mifugo kama...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kainja aendelea Kugusa na kuwainua kiuchumi Wanawake wa UWT Kata 46 za Wilaya ya Nzega

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Nzega ambapo ameendelea kutoa fedha za miradi mbalimbali yenye thamani ya Shilingi Milioni 81,000,000 katika Kata zote za Mkoa wa Tabora ili kuwawezesha wanawake kiuchumi. Vilevile...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kainja Awawezesha Wanawake Kiuchumi Kata 35 za Wilaya ya Igunga

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA AWAWEZESHA KIUCHUMI WANAWAKE WA KATA 35 ZA WILAYA YA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Kata 35 za Wilaya ya Igunga akiwa na lengo la kuwapa mitaji wanawake ili kuwainua kiuchumi katika miradi...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kainja ajikita kuwainua Wanawake kiuchumi mkoa wa Tabora

    MBUNGE KAINJA ATOA MILIONI 81 KWA WANAWAKE (UWT) KUWAWEZESHA KIUCHUMI KATIKA MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ametoa fedha kiasi cha Shilingi Millioni 81 kwa Kata 206 za Mkoa wa Tabora yenye lengo la kuwawezesha wanawake wa Jumuiya ya...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga fanyeni hesabu za kiuchumi kwa Mayele

    Hakuna shaka kuwa Mayele ana malengo yake na Yanga wana malengo Yao. Pale kwenye makutano kati ya Faida kwa mayelle kucheza Yanga na Faida ya Yanga kuwa na Mayelle ndizo hesabu za kweli. Je, vyanzo vya mapato vya Yanga (viingilio vya mlangoni, matangazo, udhamini, mauzo ya gesi na zawadi za...
Back
Top Bottom