Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza
Kwa list fupi:
1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni
2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote
3. Kupunguza uhasama –...
Tukichambua hoja hii ya kwamba "kuuza kila kitu ni kuuza urithi," tunaingia kwenye kiini cha mjadala wa uzalendo, uchumi, na mustakabali wa Tanganyika .Hapa ngoja nichambue kwa kina kwanini dhana hii ni nzito na ni muhimu kwa mustakabali, uhai na ustawi wa Tanganyika
1. Kupotea kwa Maamuzi...
Yani najikuta nachimba sana na sometimes naona nimepata hela ya kutosha per day
Lakini nikiiweka mezani naona bado si kitu, akili inaniambia kwa hela hiyo bado huwezi hata kupata kiwanja town (sio kujenga)
Au hela Mazee imepungua thamani
Najikuta na grind sometimes lakini nikijaribu kufanya...
MODE
Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma milionea,mabilionea na ma multi milionea na multi bilioneo kwa kutumia powers za spiritualism ambazo...
Serikali ya China ilijitahidi kuwezesha viwanda vidogo vidogo, baadae wakaanza kupata viwanda vya kati na vikubwa
Serikali za Africa hazina hata mpango
Sasahivi China imefanikiwa, wameamua kutufuata nyumbani kwetu.
Wachina wanakuja kujenga viwanda vyao hukuhuku Tanzania
Africans tutabaki kuwa...
Rafki mpendwa
Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk
Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua
Twende pamoja
Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye
Ushawishi kwa sababu Binadamu...
Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine .
Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida.
Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile...
Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza.
Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi...
Biashara ni upambanaji, ukilala na biashara nayo inalala.
Ila kwa mwajiriwa, ata akilala mwisho wa mwezi utasoma.
Usitegemee mtu aliyeajiriwa akupe ushauri chanya kwa kitu ambacho yeye kimemshinda kufanya.
Jenga urafiki na wafanya biashara wenzako, hawa walioajiriwa watakupoteza; wanakauli...
Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana.
Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu?
Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi?
Naomba mjadala wa wazi bila hasira 😄
Mimi nilikia najichukulia poa lakini kuna siku wanawake wawili walinipigania.
Walipigana haswa hadi balozi alikuja kuamua na kila moja alipigana na mwenzake kwasababu wote walikua wananipenda sana hawakutaka kunipoteza, kilichosaidia balozi alikuja kuwaamua na tangu hapo nilijitafakari upya na...
Mwanzo nilikua najua kwamba ili kuku watage mayai lazima wawe wamepandiwa na jogoo, nilikua na amini hivyo kwa miaka na miaka hadi siku za karibuni
Kiuhalisia ni kwamba kuku anataga kwa mzunguko wake wa kawaida hata bila jogoo lakini mayai yake hayataweza kutotolewa bila jogoo
Hicho ndo kitu...
Kwema wakuu,
Mada hapo juu yahusika share kitu gani umewahi kusikia ukabisha sana ukidhani kuwa ni chai, lakini baadae ukajagundua ni kweli.
Na vipi ulipogundua ni kweli, uliamini au uliendelea kubisha!
Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA.
Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.
Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa...
Aict Nyamikoma Choir wakiwa wanaimba katika Kanisa la Africa Inland Church Tanzania Buswelu Dayosisi ya Mwanza.Mtazame huyu mwimbaji mwenye magongo, anamtumikia Mungu kwa Furaha.
Sijui Wewe utumishi wako mbele za Mungu ni furaha au majuto?
CC.Inland tv
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.