AJIRA

AJIRA

Kama kazi yako chanzo pekee cha mapato ukiwa kazini ni mshahara, basi lazima utaishi maisha magumu tuu.
Raha ya kazi ni deals, posho, bonus na upigaji wa hapa na pale nje ya mshahara.
Piga hesabu ya Hakimu wa mahakama ya mwanzo, anakoje hela pale kila siku. 😁
Ndio maana unaona walimu life yao ngumu, hakuna mianya. Ni chaki tuu, labda uuze mandazi.
Anha!,, kwahy unatakiwa uwe na kikazi cha ziada.?
 
Kama hauna,, marafiki & starehe nyingi unaweza toboa.?
hao wanaweza wasi changie matumizi yako, ila familia yenu, mtazamo wako uka kukwamisha.

kibongo bongo lazima uongeze ka shughuli kengine ka mapato, incase ukioa, dharura za kuumwa, majanga ya moto, kuibiwa au kesi.
 
Kama umemaliza tu chuo ukiwa na miaka 22 huna familia na wazazi hawakutegemei na ndugu ulionao wapo kazini ukapata hiyo ajira ya 800K labda hizi hesabu unaweza ziwaza.

Nje ya hapo subiri ukope 200M kwenye mfumo wa ESS
Duuh!,, ukikopa si ndy unajiingiza kwenye kutumika deni miaka mingi😀
 
hao wanaweza wasi changie matumizi yako, ila familia yenu, mtazamo wako uka kukwamisha.

kibongo bongo lazima uongeze ka shughuli kengine ka mapato, incase ukioa, dharura za kuumwa, majanga ya moto, kuibiwa au kesi.
Mm sikufichi,, mzee wangu ni mwalimu wa sekondari lakini tunashindiaga uji nyumbani...
 
Back
Top Bottom