Tunawaandama wakina ifropreneur, kiranga na eli cohen ila ni watu ambao wapo huru nafsini mwao tofauti na sisi tuliofungamana na dini za mchongo

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,248
Reaction score
5,044
Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga.

Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna mahali kwwnye quran na bible imeandikwa kuwa ukioa msichana mdogo hata wa miaka 10 ni kosa. Sasa unakaa unajiuliza, hata akili ya kuzaliwa nayo hauna mpaka dini ikuamulie kuwa ni sahihi kubaka watoto wadogo.

Dini zimeongeza utengano, utapeli wa miujiza, vita, mauaji na msongo ila cha ajabu ataulaumiwa shetani

Dini hizi zilizoletwa kwa mboko na kuuliwa wazee ndio leo zinatuendesha namna hii.

BIG UP KWENU AISEE
Kiranga
Infropreneur
eli -DEFIANT- cohen
SASA NIMEANZA KUELEWA HII PICHA KWA KINA .
 
Hata hao watu unao watetea are just playing the game bila wao kujua. Tatizo sio dini, tatizo ni binadamu.
Dini purpose yake sio kubomoa, mwanadamu ndo anayefanya mambo yawe magumu. Dini ni kama nyenzo za kutekeleza hayo yote. Na hata kama dini ingeondolewa ufuska na machafuko yasingeisha
 
Hii ume generalize ki local local sana haina nuance.

Ukishasema "dini purpose yake sio kubomoa" tu ume generalize sana.

Kwanza dini zipo nyingi sana.

Kuna dini nyingi zimebomoa. Zimerudisha nyuma maendeleo ya kisayansi kwa niaka mingi, zimeua watu, zimeficha ukweli, zimeongeza ujinga, zimetawala watu kwa figisu, zimechochea vita za kidini. Si watu, dini zenyewe, kwenye maandiko yake. Sasa hapo utasemaje dini hazina purpose ya kubomoa?

Pili, ukishakuwa na taasisi inayo undermine uwezo wa watu na kuwaambia wategemee Mungu ambaye hayuoi, umeshabomoa.

Tatu, purpose ni nini? Ukijirusha kutoka ghorofa ya kumi bila kifaa cha kukusaidia kuruka hewani, kwa purpose ya kuruka hewani, ukaanguka na kufa, hapo purpose yako ina umuhimu gani katika kukuzuia usife? Kwa nini unaongelea purpose badala ya results?

Unasema dini ingeondolewa ufuska na machafuko yasingeisha, sawa, tunge deal na maisha kwa kifuatacho.

Kwa nini unatetea ujinga?
 
Sitetei ujinga,
Mm ajaribu kuweka uwazi, we all know the nature of human beings!
Dini ni Nini?
Why is someone drawn to dini? Because they want safety, they want salvation.

Sasa unaposema lengo mama la dini ni machafuko it doesn't make sense to someone who genuinely goes to church to pray. Just because things are happening, sio kigezo cha kuhukumu dini. It's some purpose is good.

Hayo yote yanayo tokea ni man's agenda to satisfy the ego. Hakuna kingine hapo, tuache kukimbia kiini.
"Love thy neighbor as you love yourself" that's what Jesus and Allah says.

Kiranga najua Bado hujajitibu *ego" yako, you're fighting against something you'll never win my friend.

Hilo swala la kupinga dini ni illusion ambayo kiuhalisia haipo, kinachoonekana on the surface ni man's need to control.

It'll reach that point utaona it was all an illusion, we hide in intellectualism na kutafta namna ya ku justify our lack of acceptance.

So, kubali kataa, I've been there nikijaribu kudhani someone else is the problem, but I and each one of us are the problem.
As within so without.
 
Kila mmoja afuate anachoamini akikumbwa na mabalaa au mkono wa Sheria atajua mwenyewe...
 
Sitetei ujinga,

Unatetea. I will tell you why.

Mm ajaribu kuweka uwazi, we all know the nature of human beings!

You are oversimplifying things. How do you know that we all know the nature of human beings?
Dini ni Nini?
Why is someone drawn to dini? Because they want safety, they want salvation.

You are being simplistic again. The reasons are far too many and far too complex to pin down simply like this. There are people who join religions to manipulate others, for narcissistic reasons, for control, for mental health egotistic reasons.
Sasa unaposema lengo mama la dini ni machafuko it doesn't make sense to someone who genuinely goes to church to pray. Just because things are happening, sio kigezo cha kuhukumu dini. It's some purpose is good.

Kwanza hujaelewa hata hoja yangu, huelewi kuwa kauli ya "lengo mama la dini ni machafuko" na "dini inaleta machafuko" ni kauli mbili tofauti. Inawezekana dini ikaleta machafuko bila kulenga kuleta machafuko, kwa ujinga tu. Inawezekana hata dini ikaanza kwa lengo la kujenga, halafu ikakosa guardrails za kutimiza lengo ikaleta mabaya.
Hayo yote yanayo tokea ni man's agenda to satisfy the ego. Hakuna kingine hapo, tuache kukimbia kiini.
"Love thy neighbor as you love yourself" that's what Jesus and Allah says.

Hakuna kisicho "man's agenda" katika institutions zote zinazoendeshwa na watu, so this is a moot point.
Kiranga najua Bado hujajitibu *ego" yako, you're fighting against something you'll never win my friend.

Which is? Without mentioning that something you do not have an argument here, this is an ad hominem attack logical fallacy tu mpaka hapa.

Hilo swala la kupinga dini ni illusion ambayo kiuhalisia haipo, kinachoonekana on the surface ni man's need to control.

Hakuna nilipopinga dini. Mimi nasimamia haki za binadamu kama zilivyoelezwa katika "Universal Declaration of Human Rights" tangu December 10 1948. Mojawapo ya haki hizi ni haki za kuabudu.

Rais Kagame alisema anataka kuingilia uhuru huu wa kuabudu kwa kuweka masharti ya viongozi wa dini, hususan wachungaji huko Rwanda, wawe na shahada kabla ya kuruhusiwa kuongoza watu kidini. Mimi nilipinga msimamo huu wa Kagame, kwamba unaingilia uhuru wa kuabudu. Mtu anayepinga dini asingeweza kusema hivyo.

Mimi sipingi dini, ila wewe hata hujaelewa hoja yangu. You lack that nuance so far.

It'll reach that point utaona it was all an illusion, we hide in intellectualism na kutafta namna ya ku justify our lack of acceptance.

Point yako ya msingi ni kwamba mimi napinga dini, wakati mimi kama mtu nnayethamini uhuru wa kila mtu na haki za binadamu, sipingi dini. Far from it. Ndiyo kwanza natetea uhuru wa watu kuabudu wanavyotaka.

Kwa hiyo, hapa mtu mwenye illussion ni wewe. Una illussion kwamba mimi napinga dini.
So, kubali kataa, I've been there nikijaribu kudhani someone else is the problem, but I and each one of us are the problem.
As within so without.

Wewe una tatizo la kukosa nuance na kufikiri mimi napinga dini.

Hujaelewa hoja, huna nuance.
 
Unatetea. I will tell you why.

You are oversimplifying things. How do you know that we all know the nature of human beings?

You are being simplistic again. The reasons are far too many and far too complex to pin down simply like this. There are people who join religions to manipulate others, for narcissistic reasons, for control, for mental health egotistic reasons.

Kwanza hujaelewa hata hoja yangu, huelewi kuwa kauli ya "lengo mama la dini ni machafuko" na "dini inaleta machafuko" ni kauli mbili tofauti. Inawezekana dini ikaleta machafuko bila kulenga kuleta machafuko, kwa ujinga tu. Inawezekana hata dini ikaanza kwa lengo la kujenga, halafu ikakosa guardrails za kutimiza lengo ikaleta mabaya.

Hakuna kisicho "man's agenda" katika institutions zote zinazoendeshwa na watu, so this is a moot point.

Which is? Without mentioning that something you do not have an argument here, this is an ad hominem attack logical fallacy tu mpaka hapa.

Hakuna nilipopinga dini. Mimi nasimamia haki za binadamu kama zilivyoelezwa katika "Universal Declaration of Human Rights" tangu December 10 1948. Mojawapo ya haki hizi ni haki za kuabudu.

Rais Kagame alisema anataka kuingilia uhuru huu wa kuabudu kwa kuweka masharti ya viongozi wa dini, hususan wachungaji huko Rwanda, wawe na shahada kabla ya kuruhusiwa kuongoza watu kidini. Mimi nilipinga msimamo huu wa Kagame, kwamba unaingilia uhuru wa kuabudu. Mtu anayepinga dini asingeweza kusema hivyo.

Mimi sipingi dini, ila wewe hata hujaelewa hoja yangu. You lack that nuance so far.

Point yako ya msingi ni kwamba mimi napinga dini, wakati mimi kama mtu nnayethamini uhuru wa kila mtu na haki za binadamu, sipingi dini. Far from it. Ndiyo kwanza natetea uhuru wa watu kuabudu wanavyotaka.

Kwa hiyo, hapa mtu mwenye illussion ni wewe. Una illussion kwamba mimi napinga dini.

Wewe una tatizo la kukosa nuance na kufikiri mimi napinga dini.

Hujaelewa hoja, huna nuance.
Kiranga Kuna kitu nakiona kwako, you want to find safety, safety in something you call haki.

You are oversimplifying things. How do you know that we all know the nature of human beings?
We overcomplicate life, so much that we forget who we are. All we do is for love. And love doesn't mean happiness, it's beyond that someone can kill just for love. So, haya ma complications tunayoyaleta ni kama smokes and mirrors za Hilo hitaji mama.

Which is? Without mentioning that something you do not have an argument here, this is an ad hominem attack logical fallacy tu mpaka hapa

Can you please use simple words, hizo philosophical terms zinanifanya mpk nianze kutafta maana kumbe it's simple as:

And this part:
“…this is an ad hominem attack logical fallacy…”
means:
“You attacked the person instead of addressing the idea.”

Sija kuattack mkuu, am trying to wake you up, hizo fallacy ni mbwembwe tu you have to get past that analytical mind. It always disappoints.

You are being simplistic again. The reasons are far too many and far too complex to pin down simply like this. There are people who join religions to manipulate others, for narcissistic reasons, for control, for mental health egotistic reasons.
I talked about this already mkuu: nilisema tatizo sio dini tatizo ni watu. Na umesema mwenyewe it's for their narcissistic gains. So just for a sec nahisi umenielewa na mm point yangu kuwa kinacholeta machafuko sio dini ni watu, that's why hata kama dini isinge exist Bado yangeendelea in whatever form

Point yako ya msingi ni kwamba mimi napinga dini, wakati mimi kama mtu nnayethamini uhuru wa kila mtu na haki za binadamu, sipingi dini. Far from it. Ndiyo kwanza natetea uhuru wa watu kuabudu wanavyotaka.

Kwa hiyo, hapa mtu mwenye illussion ni wewe. Una illussion kwamba mimi napinga dini.
If that's the point kwanini una focus on the dark side of it, which by the way umesema hauipingi! Kwanini usiiache ika exist, then wewe ukafocus na hao watu wenye narcissistic goals. Hao ndo chanzo, hao ndo kiini sio dini. Kama hauipingi dini ungebadili mtazamo haraka, sio kutaka dini bali kuonesha madhaifu ya hao watu wenye lengo LA kutumia dini kuumiza wengine.

Hakuna nilipopinga dini. Mimi nasimamia haki za binadamu kama zilivyoelezwa katika "Universal Declaration of Human Rights" tangu December 10 1948. Mojawapo ya haki hizi ni haki za kuabudu.

Rais Kagame alisema anataka kuingilia uhuru huu wa kuabudu kwa kuweka masharti ya viongozi wa dini, hususan wachungaji huko Rwanda, wawe na shahada kabla ya kuruhusiwa kuongoza watu kidini. Mimi nilipinga msimamo huu wa Kagame, kwamba unaingilia uhuru wa kuabudu. Mtu anayepinga dini asingeweza kusema hivyo.

Mimi sipingi dini, ila wewe hata hujaelewa hoja yangu. You lack that nuance so far.
Hizo zote Zina Rudi kule kule Kwa binadamu na sio dini. It's all about man's fight for power and control. Hata kagame ndo anacho kufanya.

Na hiyo nuance unayoisema haipo coz Bado your "ego* won't let go of the concept kuwa chanzo sio dini bali ni watu. Na as I said human nature is wanting love, safety, salvation and inner fulfilment. So lazima atafte vitu kama dini. It's when he's doing it for egoism that things get worse.

Wewe una tatizo la kukosa nuance na kufikiri mimi napinga dini.

Hujaelewa hoja, huna nuance
Bado ni ego unakuja na protection mechanism kiranga pull that thing off
 
tatizo mnayachukulia maisha juu juu sana, kwa hiyo kwa sababu ya hao waliopost hapa JF ( kwanza haujui hata kama walisema kweli) aliyefilisika na mwingine paedophile ndiyo wanakufanya u-disqualify Christianity?

kwa hiyo kesho mwanaume akibaka mtoto wake basi ndoa zote ni batili au wale wanaopinga kuwa na watoto watakuwa wako sawa kwa sababu ya psychopath mmoja aliyebaka mtoto wake?

you need a little more than that kama unataka ku-disqualify Christianity …
 
Kiranga Kuna kitu nakiona kwako, you want to find safety, safety in something you call haki.

Una tatizo la ku conclude mambo kirahisi na kufikiria unanijua kuliko unavyonijua.

Dunia haina safety wala haki. Mimi sifikiri kwamba haki ipo, dhana nzima ya haki ni illussion.

Sasa mtu anayeelewa life is absurd, there is no safety and justice is an illussion utasema vipi he wants to find safety by something called justice?

We overcomplicate life, so much that we forget who we are. All we do is for love. And love doesn't mean happiness, it's beyond that someone can kill just for love. So, haya ma complications tunayoyaleta ni kama smokes and mirrors za Hilo hitaji mama.

You oversimplify life by thinking you understand me. You don't.

Can you please use simple words, hizo philosophical terms zinanifanya mpk nianze kutafta maana kumbe it's simple as:

This is the problem. Hatuko level moja.
And this part:
“…this is an ad hominem attack logical fallacy…”
means:
“You attacked the person instead of addressing the idea.”

This is what you did.

Sija kuattack mkuu, am trying to wake you up, hizo fallacy ni mbwembwe tu you have to get past that analytical mind. It always disappoints.

Now you don't want an analytical mind? I can't discuss anything with you because I am analytical by default.

I talked about this already mkuu: nilisema tatizo sio dini tatizo ni watu. Na umesema mwenyewe it's for their narcissistic gains. So just for a sec nahisi umenielewa na mm point yangu kuwa kinacholeta machafuko sio dini ni watu, that's why hata kama dini isinge exist Bado yangeendelea in whatever form

But dini ni watu. Unawezaje kuwa na dini bila watu? Na kama dini ni watu, huwezi kuwa na dini bila watu, utasemaje tatizo si dini, tatizo ni watu?

[/QUOTE]
If that's the point kwanini una focus on the dark side of it, which by the way umesema hauipingi! Kwanini usiiache ika exist, then wewe ukafocus na hao watu wenye narcissistic goals. Hao ndo chanzo, hao ndo kiini sio dini. Kama hauipingi dini ungebadili mtazamo haraka, sio kutaka dini bali kuonesha madhaifu ya hao watu wenye lengo LA kutumia dini kuumiza wengine.[/QUOTE]

Wapi sijaiacha dini i exist? Sikiliza, sipingi dini, nasema dini ni ujinga. Nikisema dini ni ujinga kama kweli dini ni ujinga, primarily argument from tradition fallacy, hapo nimepinga dini?

Hizo zote Zina Rudi kule kule Kwa binadamu na sio dini. It's all about man's fight for power and control. Hata kagame ndo anacho kufanya.

Huwezi kutenganisha dini na watu, kwa sababu watu ndio wameweka dini., na hakuna dini bila watu.Huelewi wapi?

Na hiyo nuance unayoisema haipo coz Bado your "ego* won't let go of the concept kuwa chanzo sio dini bali ni watu. Na as I said human nature is wanting love, safety, salvation and inner fulfilment. So lazima atafte vitu kama dini. It's when he's doing it for egoism that things get worse.

Kuna dini gani ambayo haijatungwa na watu, haiendeshwi na watu?

Kwani wapi nimesema watu wasitafute dini? Unaelewa hata hoja zangu ni nini? Au zimekupita kimo?

Bado ni ego unakuja na protection mechanism kiranga pull that thing off

Wewe hutaki hata kufanya majibizano analytical, siwezi kukusaidia.

Unashusha viwango vya majibizano.

Kuanzia hapa nakupeleka kwenye my ignore list sitaona utakachoandika tena.

I have better things to do, you are boring me.
 
Kiranga that's what people do when ego is crushed, they run to protect it.

Dunia haina safety wala haki. Mimi sifikiri kwamba haki ipo, dhana nzima ya haki ni illusion.

Sasa mtu anayeelewa life is absurd, there is no safety and justice is an illussion utasema vipi he wants to find safety by something called justice?
Unajua kiranga ni mjanja, unatumia logic manipulation kumkamata mtu, ila sio Mimi! Mwanzo ulisema..
Hakuna nilipopinga dini. Mimi nasimamia haki za binadamu kama zilivyoelezwa katika "Universal Declaration of Human Rights" tangu December 10 1948. Mojawapo ya haki hizi ni haki za kuabudu.
Sasa unasema life is absurd, huoni unajitafuna mwenyewe. Kama ni absurd why challenge something like dini that you know it's part of absurdity? Is that not "ego" on play?

Wapi sijaiacha dini i exist? Sikiliza, sipingi dini, nasema dini ni ujinga. Nikisema dini ni ujinga kama kweli dini ni ujinga, primarily argument from tradition fallacy, hapo nimepinga dini?

Huwezi kutenganisha dini na watu, kwa sababu watu ndio wameweka dini., na hakuna dini bila watu.Huelewi wapi?
Based on the above information na life absurdity, je hizo human rights unazo zipigania Zina tofauti Gani na dini, ambayo pia ni human creation. Refer: safety ni illusion kama ulivyosema.

Kwani wapi nimesema watu wasitafute dini? Unaelewa hata hoja zangu ni nini? Au zimekupita kimo?
Stop making it seem you're perfect, hakuna kitu ambacho sijaelewa, kiranga umekasirika, hutaki kuchallengiwa! And I don't give a damn. It's your problem.

If all ends require human idealisms, then who's the problem if not a human himself?

Wapi sijaiacha dini i exist? Sikiliza, sipingi dini, nasema dini ni ujinga. Nikisema dini ni ujinga kama kweli dini ni ujinga, primarily argument from tradition fallacy, hapo nimepinga dini?
Hivi as we all know Kuna cults nyingi, unasema ni ujinga! That's because you think so. Kwanini usiseme kuwa ujinga ni binadamu kumanipulate wengine kupitia dini?
Nimebold ili uone na uhakiki nacho kimaanisha? Unachokifanya hapo wewe ni kupinga dini indirectly kupitia worst case scenario, that's what you're actually doing.

Kuna dini gani ambayo haijatungwa na watu, haiendeshwi na watu?

Kwani wapi nimesema watu wasitafute dini? Unaelewa hata hoja zangu ni nini? Au zimekupita kimo?
Na hizo sheria, philosophy na mengineyo ambayo Bado ni smoke and mirrors yametungwa na nani?... Mbona tunarudi kwenye source ile ile kiranga

Kuanzia hapa nakupeleka kwenye my ignore list sitaona utakachoandika tena.

I have better things to do, you are boring me.
kimbia tena mbio, because that "ego" won't let you. Kwanini uniweke ignore list, because you know loosing what you know is going to be a pain in the ass
 
People should restore their brains to factory settings.

Religion is a scam.
 
Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga.

Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna mahali kwwnye quran na bible imeandikwa kuwa ukioa msichana mdogo hata wa miaka 10 ni kosa. Sasa unakaa unajiuliza, hata akili ya kuzaliwa nayo hauna mpaka dini ikuamulie kuwa ni sahihi kubaka watoto wadogo.

Dini zimeongeza utengano, utapeli wa miujiza, vita, mauaji na msongo ila cha ajabu ataulaumiwa shetani

Dini hizi zilizoletwa kwa mboko na kuuliwa wazee ndio leo zinatuendesha namna hii.

BIG UP KWENU AISEE
Kiranga
Infropreneur
eli -DEFIANT- cohen
SASA NIMEANZA KUELEWA HII PICHA KWA KINA .
Kuna mtu anakulazimisha?
 
Back
Top Bottom