nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,901
- 14,611
Miaka ya sitini katikati kulikuwa na mzee mmoja anauza genge pahala,
alikuwa ni maarufu sana,
Hivi majuzi nimekutana nae na cha jabu alikuwa amevaa shati lile lile maarufu, nikadhani labda ninaota...nikamuita fulani?? akaitika naam....nikamuuliza siku hizi upo wapi, akanijuza yu sehemu inaitwa NOMBO, Wakati natafakari Nombo ni wapi, akawa kama anazungumza na mtu mwingine na wakati huo huo kuna meseji ilikuwa inaingia simuni mwangu, baada ya kumaliza kusoma ile meseji sikumuona tena yule mzee,
Hebu wataalam wa mambo tusaidieni kudadavua hii,
AU NI.
deja Vu?