Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee!
Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati na Malaya.
Hii nchi pesa zinachezewa green GUD wanakunywa fedha za UMMA maana hapa sioni mjanja...
Mimi niliwahi kuagiza nguo Kariakoo ilikuwa suti niliiona mtandaoni. Itoshe kusema nilichokiona nikakiagiza na nilicholetewa ni vitu viwili tofauti. Ile nguo ikabidi niigawe hata sikuivaa na ilikuwa ni ya tukio. Mpaka leo siwezi kuagiza nguo mtandaoni mpaka nikajihakikishie mwenyewe.
Majibu ya...
Wanawake wanapenda ngono sana sana... nimegundua kwamba, huenda wao ndo wanapenda sana ngono kuliko wanaume. kitu cha kushangaza ni kwamba huku mitaani au sehemu yoyote ukimface wanawake huonyesha kwamba hawapendi, na kwamba wewe ndio unamconvice apende.
kwakua huku ni anonymous, wanaonyesha...
Kaambiwa na mganga eti ndiyo atavuta wateja. Sijui na kwa mama ntilie wa bongo tunakula vya ajabu vingapi?
https://youtube.com/shorts/63gg9mJ6Qug?si=qo837u5581p7h0-q
Huu mchezo wa utekaji na kwa mtindo huu unazidi kuwa na nguvu sana.
Nilishuudia mkoa X walitekwa watu zaidi ya wanne.Mmoja alipatikana kijiji cha mbele akiwa amefariki ila wanakijiji walipotoa taarifa polisi na polisi ikaamuru kuzikwa haraka bila kuuliza lolote.
Ndugu wa marehemu walipojaribu...
Mke wangu sasa tuna mwaka wa kumi, ananijua vizuri kabisa. Sijawahi kumpiga na sitampiga kabisa mpaka mwisho wa safari yetu. Ila nishamweleza msimamo na mtazamo wangu tangu tukiwa wachumba.
Baadaye tulipoishi pamoja alileta vijitabia vya "nimechoka" kitandani, yaani yeye ndiye anipangie ratiba...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 5, 2026 akizungumza na wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa amesema serikali itaangalia sheria zilizopo kwenye maadili kuhakikisha mianya ya upigaji inazibwa.
Mwigulu amesema kuna watumishi wapo kwenye bomba pesa zinapomwagika ila hawalazimishwi kutaja...
Kwa nini hawakupelekwa vijana wadogo kushangilia wale watoto ?
Wameshindwa kuchukua hata vikundi vya ndondo cup vikatoe shangwe mnaenda chukua wazee waliojichokea ?
CCM kila kitu ni deal
Masturbation among birds is ‘natural’ and should not be punished, say experts
Study finds activity is not harmful or caused by stress of captivity – and is in fact more common in wild birds
Mon 1 Jun 2026...
Kwa sasa habari ya mjini ni kununua hisa, bonds, mifuko ya uwekezaji n.k, je ni kitu kizuri au ni kibaya? Ni kitu cha kudumu au ni upepo tu? Je hao watu wanatengeneza hela kweli au ni mamotivesheni spika wanawajaza upepo. Binafsi naamini wale waliokuwa na pesa nyingi enzi hizo wakanunua hisa...
Chadema kwa ujinga wao tu bila kuzuiwa na yeyote waliamua kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025.
Waliamua kutosaini kanuni za uchaguzi, ilhali vyama vingine 18 vilisaini na kushiriki uchaguzi.
Baada ya kujinyima haki hiyo wenyewe kwa mahaba yao, wameamua kuita kila kitu ni haramu,
Wanataka...
yaani unaachiwa kitu na rafiki yako mfano laptop mara inakuzimikia na bahati mbaya kuna vingine hata ukipeleka kwa fundi havifai tena kutibika au spea unakosa.
hapo ni mawili ulipe pesa au urafiki pia ufe mazima.
mm kama mimi sinaga tabia ya kulipisha mtu kitu.
iliwahi nitokea nimenunua...
Shalom ndugu zangu. Nilipotelewa na mdogo wangu Lilian malisa miaka 12 ilopita. Mwezi ulopita niliomba msaada kwa wana FB kwa yoyote ambayo alimjua au kumwona. Nashukuru MUNGU kwa mawazo yenu, maombi yenu, na pia kwa yyte ambaye aliguswa kwa namna moja ama nyingine ili tu kunisaidia . MUNGU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.