Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Mwanzo nilikua najua kwamba ili kuku watage mayai lazima wawe wamepandiwa na jogoo, nilikua na amini hivyo kwa miaka na miaka hadi siku za karibuni
Kiuhalisia ni kwamba kuku anataga kwa mzunguko wake wa kawaida hata bila jogoo lakini mayai yake hayataweza kutotolewa bila jogoo
Hicho ndo kitu...
Kwema wakuu,
Mada hapo juu yahusika share kitu gani umewahi kusikia ukabisha sana ukidhani kuwa ni chai, lakini baadae ukajagundua ni kweli.
Na vipi ulipogundua ni kweli, uliamini au uliendelea kubisha!
Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA.
Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.
Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa...
Aict Nyamikoma Choir wakiwa wanaimba katika Kanisa la Africa Inland Church Tanzania Buswelu Dayosisi ya Mwanza.Mtazame huyu mwimbaji mwenye magongo, anamtumikia Mungu kwa Furaha.
Sijui Wewe utumishi wako mbele za Mungu ni furaha au majuto?
CC.Inland tv
Hivi TRA wameongeza kitu kwenye makato yao?
Binafsi sijaelewa vizuri ni nini kilichoongezwa.
Kuna ile kodi ya pango ambayo tunalipa siku zote mfano mimi nalipia Shilingi 72,000 kwa Mwaka, sasa mwaka huu wanasema nilipie Asilimia 10 ya hiyo kodi ya pango ambayo ni 7,200 yaani nalipia 72,000...
Hapa namaanisha kwamba.
Unakuta mtu anamikono na miguu na ana afya njema kabisa, lakini mtu huyo anatoka kwenda kusugua makoti kwenye nyumba ya ibada ili tu amuombe Mungu amshushie rizki, sasa.... unawezaje kupata rizki kama haufanyi kazi?
Huu ni mfano wa kwanza, lakini kuna midano miiingi...
Palamagamba Kabudi ni kiraka kikubwa cha Idi Amina Mama. Tangu alipojikomba kwa Magu, amekuwa akiendeleza mchezo huo ambao uliasisiwa na Lukuvi alipomruka Lowassa na kujiunga na Magufuli. Je, amejiandaa kufuata kwa lolote kama Lukuvi? Namtakia kila heri kwa lolote na kumshukuru sana mpendwa...
Ndugu
Je hii ramani inaenea kwenye eneo la aquare mita 150 na kubakiza sehemu ya kupaki kagari na kuanika nguo.... Naombeni mawazo yenu ikibidi sana naombeni na vipimo
Mimi nilikuwa na waza icheze kwenye square mita 72 au 81 square meter...
Naombeni mawazo yenu na vipimo vizuri kadiri muwezavyo
A very disturbing incident imeibua maswali mengi sana after 3-year-old pupil Faiz Faraj tragically lost his life at Gilgil Hills Academy, Nakuru County.
According to reports, the young boy alikuwa darasani kama kawaida until around 11AM when he was reported missing. Shockingly, saa mbili...
Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa kuchezea magemu inahitaji ujuzi na akili kubwa kuweza kufanya machaguo ya wakati wa kuingia sokoni.
Sasa...
Mungu anapofanya kitu kwako. NAwe wakumbuke wengine pia. Usiwe mbinafsi. Ukifanikiwa kupata usiwadharau waliokosa na kuamini kuwa wao ni wazembe.
Kupata ni Majariwa. Unamwona ng'ombe pamoja na ukubwa wake? Hana ndevu. Ila mbuzi anazo. Utashangaa kweli kupata ni majariwa ndugu yangu. Lakini na...
Kuna jamaa hapa mtaani ni likubwa miaka 31 Kuna kademu kake kana miaka 18 Sasa sijui imekuaje kamesema waachane Sasa Kuna mshikaji mwingine ndio anatoka nako haka kademu hapa mtaani Sasa huyu jamaa akaanza kukaa nastress na kulia
Yaani tupo nae hapa kijiweni anawaza mpaka kuoga haogi ananuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.