Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Kenya mkate ukipanda bei, wanaingia barabarani, Tanzania saruji imepanda tuko kimnya hata makalio kuna wakati yanapiga kelele kwa kujamba.
Sasa bia zimepanda bei bado tuko, kimnya tu hivi tunaelekea wapi?!
Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu.
Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
1.Ndio kipaumbele cha kwanza cha Msambaa anapopata kazi mpya.
2.Msambaa anapenda gari Aina ya fuso kuliko Kitu chochote Duniani, ukimpa billion 100 na fuso yeye atachukua fuso.
3. Wanawake zao ni pisi sana
Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi.
Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi wameshabuni vingi sana tukianza kuvitaja hatumalizi.
Lakini kwetu waafrica wengi hasa tukijizungumzia...
Wanabodi
Naendelea na zile mada zangu za "The Voices From Within" ambazo ni mada za kufikirika tuu.
Angalizo la Mambo ya Sauti.
Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii...
Hii dunia ina mambo sana.
Kuna watu ukimkuta mtu hana kitu leo, wanajiona kama Mungu amewapa cheo cha kuwa majaji wa maisha ya wengine.
Mtu akija hapa na kusema nina changamoto, badala ya kuangalia hoja yake, comment ya kwanza:
"KAKA PAMBANA."
Mwingine:
"TAFUTA KAZI."
Mwingine:
"SI UZA...
Kwa mfano, ukiwa unaongea na mwanamke utasikia akisema, 'nilikuwa naomba' unisaidi buku tano.
'Nilikuwa nauliza' kwamba mandazi shilingi ngapi.
'Nilikuwa naomba' uniruhusu kwenda nyumbani.
Je, huu ndio mtinfo mpya wa wanawake mjini ama vipi?
Baadhi ya vijana wa kiume nao wameshaanza...
Ulifanya ACSEE ukapita vizuri. Maths ukapata A😎
Kwa sababu wewe na hesabu mlikuwa kama mapacha waliozaliwa siku moja, ukaamua kuingia university uchukue Statistics, Pure Mathematics na kila course yenye namba ndani yake. 😂
Ukasema:
“Mimi si fala bana. Dunia inahitaji kujua uwezo wangu.” 😂...
Inawezakutokea jambo liwe zuri ama baya watu wengi wakaamini wewe ndo muhusika lakini ukweli wewe unafahamu haujahusika kabisaa.
Mfano ninapoishi kazini kwangu nipo na rafiku yangu mmoja wa kike kwa sasa tuna miaka zaidi ya miwili tupo wote kirafiki tu ila watu wengi sanafikiriaga nagembea nae...
Niaje wakuu?
Nimekaa hapa nikiwa nimeshika simu yangu mkononi, huku nikitazama screen na kushusha pumzi ndefu. Kila nikikumbuka ujumbe wa makato ya miamala na madeni niliyoyaingiza wiki chache zilizopita, nasikia maumivu mapya kabisa moyoni.
Siyo kwamba nina matatizo ya kiuchumi ya kuzaliwa...
Wanabodi,
Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
Kwa wale wahenga ambao tulikutananna harakati za Mchina kuingia kwenye soko laa kuuza visimbusi vyake basi tutakuwa tunakumbuka namna ambavyo Kampuni ya StarTimes ilivyoingia nchini. Mwaka 2009 mpaka 2010 wakati watoto Wa Madiba wapo busy kuandaa michuano ya Kombe la Dunia.
Basi StarTimes naye...
Je, mbona watu wakichapiwa wake zao wanawafanya mbaya wanaume wenzao?
Mbona sisi binadamu tumejipa uspesho sana tofauti na wanyama?
Kama jogoo lisivyochagua wala kudhani jike linamilikiwa na dume fulani.. Mbona mimi nikimchapa mke wa mtu yeye aje kunilalamikia mimi?
Inamaana hajui kuwa jike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.