kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania "Makubaliano ya Dar es Salaam" yazidi kuvunja fikra potofu kwamba "maendeleo ya kisasa ni sawa na mambo ya kimagharibi"

    Mkutano wa 13 wa Baraza la Washauri la China na Afrika ulifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huo ulifikia "Makubaliano ya Kukuza Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa kati ya China na Afrika," unaojulikana pia kama "Makubaliano ya Dar es Salaam." Kama mafanikio muhimu...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe kutembea na Kondomu ndio kuwa kijana wa kisasa?

    Hii post ya East Africa Radio imenishangaza sana, UZINZI UNAENEZWA KWA KILA NJIA SIKU HIZI.
  3. F

    JamiiForums Tanzania "Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

    Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
  4. JamiiForums Tanzania Tujuze mifumo ya Tehama unayotumia kuendesha biashara yako kisasa na kudhibiti wizi

    Habarini za wakati huu wana jamvi. Hope this article finds you in a good mood! Leo natamani sana kufahamu mifumo hasa ya kitehama (digital systems) ambayo unaitumia kurahisisha majukumu mbalimbali katika biashara yako au kuifanya biashara yako kidigitali. Biashara yoyote ile. This is a call to...
  5. JamiiForums Tanzania Kilimo cha mahindi na viazi mviringo cha kisasa huko Kilolo, Iringa

    Nimeona rafiki yangu mmoja niliyesoma naye Chuo Kikuu kule Morogoro ameweka hizi video zikionesha namna watu wanavyofanya Kilimo cha Mahindi na Viazi Mviringo lwa kitumia technologies ya kisasa nikasema nishare nanyi wana JF ili muwe inspired kama mimi nilivyokuwa inspired. Nimemuahidi Jamaa...
  6. JamiiForums Tanzania Kama tunajenga expressway Dar to Dom kuna kila sababu ya kujenga race circuit, uwanja wa golf wa kisasa pamoja na winery katikati ya Dom na Moro

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa madhari za kuvutia pasina shaka , kuanzia kaskazini kwenda kusini, magharibi mashariki, sijawahi kupata kigugumizi kusifia juu ya uzuri wa nchi yangu! Kwa kuzingatia hoja yangu kwa tuliopata fursa ya kusafiri kwa njia ya barabara Dom-Moro-Dom tunaweza shuhudia hili...
  7. JamiiForums Tanzania Imetimia sasa, Yanga kuanza Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa Jangwani

    Habari njema Tumeipokea kupitia Ujumbe wa Rais wa Club: Injinia Hersi. Uwanja utajengwa kwa Udhamini wa moja kwa moja wa GSM. #Daimambelenyumamwiko#
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa, Eneo la Bismarck Rock Mwanza, leo Januari 30, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa - Eneo la Bismarck Rock mkoani Mwanza, leo tarehe 30 Januari, 2024 katika ziara ya kikazi ya siku moja. https://www.youtube.com/live/PbiNMKoRTzU?si=01tr_e35tIxB3CZs...
  9. JamiiForums Tanzania Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

    Habari wakuu; Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga? Zingatia haya unaposhauri; 1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m 2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake 3...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wa kisasa kwaya za ibada za kikatoliki wanaua ladha halisi ya ibada za kikatoliki

    Zamani ilikuwa kwaya za kiibada zinavutia na kusisimua lakini wamekuja vijana wa hovyo wanajiita walimu wa kwaya yaaji Wana edit kila kitu mwisho wa siku kwaya za ibada hazigusi mioyo na kusisimua, ilikuwa kawaida mwanakwaya wa Bukoba kuimba kwaya Mtwara bila shidaa yoyote ila sasa ni ngumu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya China kwa mwaka 2024 itaendelea kuwa ya kuhimiza amani duniani na kuleta mambo ya kisasa

    Kwa kipindi kirefu sasa sera ya mambo ya China imekuwa ni sera inayozingatia kanuni ya kujiamini na kujitegemea, uwazi na ushirikishwaji, haki na ushirikiano, na kutafuta njia za pamoja za kutatua changamoto mbalimbali duniani. Sera hii imekuwa endelevu, na msingi wake umekuwa imara, lakini huwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kutungua ndege kubwa ya kisasa ya Urusi

    Ukraine inadai kutungua ndege ya kisasa ya Urusi A-50 AWACS. Kazi kubwa ya ndege ilikua ni kuelekeza makombora ya S-400 kuweza kutungua ndege Vita za ukraine zikiwa umbali mrefu zaidi. Urusi inadai inaweza kuona kombora likiwa umbali wa zaidi ya kilometa 1000 na ndege umbali zaidi ya km 400...
  13. JamiiForums Tanzania Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

    Hello ladies and Gentlemen? Naombeni tushauriane ni mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ULINZI? Nataka kufuga hapa nyumbani nishaurini nisije kujichanganya kwa Pitbul na wengineo.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kuwa na kilimo cha kisasa ni lengo la pamoja la China na nchi za Afrika

    Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya mkutano mkuu wa kazi za kiuchumi kila mwezi Desemba ili kupanga kazi kuhusu kilimo, vijiji na...
  15. JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CCM wapo tayari kujenga ofisi za kisasa kuliko kujenga shule za kisasa

  17. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Yatembembelea Chanzo cha Umeme wa Treni ya Kisasa Kinyerezi

    ✔️Yasema watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa inafanya kazi ✔️Vituo vya gesi kuboreshwa ili kuongeza uzalishaji Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema Watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa (SGR) inaanza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  18. JamiiForums Tanzania Friji la Kisasa Linalo Tumia umeme Kidogo (Hotpoint)

    👉🏻Lina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu. 👉🏻Lina Touch Display inayo onyesha Temperature unaweza chagua ligandishe Kwa mda mfupi, mrefu au kupoza 🙏Bei yake 495,000/= Naliuza kwa sababu na shida Piga simu leo 0713...
  19. JamiiForums Tanzania Nabii Clear Malisa ana mpango wa kuinunua Ubungo Kibangu yote, kuivunja na kujenga mji wake wa kisasa.

    Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi. Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani. Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kisasa wa POS

    Habari nimekuletea mfumo wa maauzo "POS" ulio bora na unaotatua changamoto za moja kwa moja kwa waendeshaji na watoa huduma wa bidhaa kwa uhalisia kama zifuatvyo; (i)Umeme ukikatika ghafla hauna haja ya kuandika order yako upya, bali ukiwasha na kubofya "restore pages" utapata oda yako jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…