kipi

KDE Image Plugin Interface (usually abbreviated to Kipi or KIPI) is an API that allows creation of application-independent image processing plugins in the KDE project.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiwa na 10m Leo, utachagua kufanya nini kati ya hivi? Kufungua pharmacy AU duka la hardware AU kununua kiwanja? Kipi bora?

    Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara ??
  2. JamiiForums Tanzania Ni kipi bora ambacho Nyerere hakuna wa kumlinganisha nae hadi sasa?

    Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa Moyo wote. KARIBUNI
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kipi katika hivi unaamini visingekuwepo, tungeishi kwa afadhali kuzidi sasa

    Ujambazi / wizi wa mabavu - Kupora watu mali zao kwa mabavu Tamaa na ubinafsi, Uzinzi yakiwemo madhara yake kama kuathiri uchumi na magonjwam Matatizo ya ndoa - Kuchepuka, kukosekana amani, ndoa kuvunjika, n.k. Unafki - Kuvaa kinyago cha kuficha nia za kweli mtu awapo mbele ya mwenzie...
  4. JamiiForums Tanzania Survival Skills vs High Income Skills ujifunze kipi?

    Survival Skills vs High Income Skills Watu wengi siku hizi wanakimbilia kujifunza high income skills kama AI, digital marketing, coding, copywriting au video editing. Hilo ni jambo zuri. Lakini kuna kitu muhimu kinasahaulika. Survival skills. Unaweza kuwa na skill inayoweza kukuingizia...
  5. JamiiForums Tanzania Kipi kitatokea endapo Mh Rais Dkt. Samiah asipofanya maridhiano na mtu yoyote mpaka muda wake uishe?

    Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na...
  6. JamiiForums Tanzania Kipi kinachokufanya utembee kifua mbele?

    Mimi naringia muonekano wangu, nikifika sehemu lazima watu waanze kunitazama kwa jicho la matamanio na butwaa. basi kama ni huduma napata haraka, Nadhan hata interview walipata butwaa mambo yakawa mepesi kabisa. sasa unakuna mtu hana chochote cha kuringia kisha anatembea akivimba, bure kabisa
  7. JamiiForums Tanzania Kipi nianze nacho kati ya haya mawili

    Wapendwa wana JF ,,, habari ya uzima wenu habari za weekend,,, Mungu ni mwema sana namtukuza kwa wema wake. Nina mawazo mawili ambayo yananitatiza maana kuna jambo la kwanza "KUOA" au kununua computer kwaajili ya kurecord Gospel,,,,kazi yangu me nimchoraji wa picha na maandishi pia ni mwalimu...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vipato wanawapotosha Wanawake Maskini. Sasa mwanamke aandike mali kwa jina lake kwa kipato kipi?

    WANAWAKE WENYE VIPATO WANAWAPOTOSHA WANAWAKE MASKINI. SASA MWANAMKE AANDIKE MALI KWA JINA LAKE KWA KIPATO KIPI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Asilimia kubwa ya Wanawake ni tegemezi ile yenyewe. Yaani mwanamke tegemezi tunazungumzia mwanamke asiye na kazi, asiye na elimu, asiye na ujuzi...
  9. JamiiForums Tanzania Kipi kipo nyuma ya shamrashamra za mastaa wa Kimataifa wanaokuja Bongo: Kuna jambo, au tunatolewa kwenye reli?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ujio wa watu maarufu duniani kama Didier Drogba na Rio Ferdinand ikielezwa kuwa ni kwa mwaliko wa Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo inayoongizwa na Paul Makonda. Kwa juu juu, hatua hii inaweza kuonekana kama jitihada za...
  10. JamiiForums Tanzania Katika dini ni kipi katika maisha ya binadamu kisicho ibada?

    Nimesikia watu wanasema kula ni ibada nikashangaa sana, nimeshindwa kuelewa wanamaanisha nini maana najua viumbe wote wanakula ili waendelee kuishi, wasife. Niliwahi kusikia pia watu wanasema maradhi ni ibada!
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

  12. M

    JamiiForums Tanzania Unahisi kukija kuwa na maandamano mengine makubwa ni kipi kitabadilika kuwa tofauti na October 29 ?

    Kwa upande wako unaona ni kipi kinaweza kubadilika
  13. JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

    Hivi kati ya kujenga nyumba au kununua kipi ni gharama kubwa?
  14. JamiiForums Tanzania Nijifunze kipi kati ya excavator na gari kubwa(howo, scania, faw, daf n.k).

    Shikamoni wakubwa.. Vijana wenzangu mambo vipi.. Wakuu Nina miaka 22 elimu yangu niliishia form 4. Baada ya kumaliza 2022 nimekaa mtaani sana nikaona si vyema nikakaa bila fani yoyote. Mwanzoni mwa mwaka niliamua nipambane nikafanya kazi mbalimbali kama saidia fundi na kufyeka n.k...
  15. JamiiForums Tanzania Kipi muhimu Haki au Amani?

    Ramadhani Mwampamba Mkazi wa Tundujma: Vijana walikua wanataka haki na amani, kati ya haki na amani cha muhimu ni amani Kaka, vyote ni muhimu lakini cha msingi zaidi ni amani. Mimi nawaambia kuwa tutafute aani kwani kukiwa na amani unaweza kupata kila kitu Mimi ni nafanya kazi ya kutoa amani...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kipi unaweza kuvaliana na mpenzi wako?

    Kuna baadhi ni unisex havina shida Ila kuna baadhi vinaweza kuleta shida likitokea la kutokea Shanga Chupi Boxer Mkufu? Vest?
  17. JamiiForums Tanzania Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Niaje waungwana Leo naomba niwaletee njia mbili ili mchague wenyewe wapi kwa kuelekea. Njia ya kwanza ni Russia. Russia ilianza vita yake na Ukraine miaka 4 iliyopita, na mpaka leo haijaonesha lengo wala nia ya kutaka vita hiyo isimame. Vita hiyo iliyoanzishwa na Russia yenyewe ikiongozwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kipi kitatokea iwapo jogoo la kuku likampanda kanga jike ama bata jike vipi kuhusu Tausi pia?

    Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu. Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu? Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama...
  19. JamiiForums Tanzania Kipi chakula chako pendwa?

    Kwangu mimi ni chapati sizichoki asee af za mama ntilie hapana nimekuwa affected siwez kula chakula ame pika mwingine na simuamin mtu kwenye swala la kupika ata kama nimechoka kuliko kununua bora nipike Huo unga wa ppf ni mzuri mnoo Jiona una kula nini show us
  20. JamiiForums Tanzania Ni kipi hasa huchochea vijana wengi kupendelea kuvaa suruali au kaptura chini ya makalio yao?

    Yaani unakuta kijana anahanhgaika kuipandisha suruali au kaptula yake aliyoivaa chini ya makalio yake utadhani kweli anaipandisha kiunoni kumbe anajaribu tu kuwaonyesha wanaomtazama kwamba kaivaa nguo hiyo chini ya makalio, na kwakweli haipandishi kiuononi wala nini. Na baadhi yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…