kipaumbele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. musabuze

    JamiiForums Tanzania Je, PhD hewa zipewe kipaumbele kwenye nafasi za uongozi na siasa?

    Miaka ya hivi karibuni Tanzania imekuwa na ongezeko la watumishi wengi wa umma ambao wanaongeza elimu ili kujiweka katika nafasi nzuri za kuwa viongozi katika ngazi mbalimbali za serikali. Asilimia kubwa wakiwa ni watumishi wanaowania Masters na asilimia iliyobaki ni PhD. Hii imepelekea mfumo...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo 04 ambayo wabongo (tabaka la chini na kati) tunayapa kipaumbele na yanaturudisha nyuma sana huku uswahilini

    1: Nyota Huu ni ushirikina. Kuamini mambo ya nyota ni kuamini mambo ya kishirikina. Stori za mtu kuchukua nyota ya mwenzake au kufunga nyota ni mbinu za kutia ujinga raia ili wawe wavivu. Unakuta mtu amekaa kizembe ukiuliza unaambiwa eti alikiwa na nyota sana huyo imechukuliwa. Hizo story...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kikwete agawa bima za afya kwa mabalozi Chalinze, asisitiza kuwapa kipaumbele

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora amewakumbusha viongozi na CCM -Halmashauri ya Chalinze kuwapa kipaumbele Mabalozi katika kazi za kila siku zinazofanywa na fursa zinazojitokeza ili kuwatambulishaU umuhimu wao katika kazi na ustawi wa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kipi ni kipaumbele kati ya nyumba ya makazi vs biashara?

    Msaada wakuu Kati ya nyumba hizo mbili ipi itangulie kwa mtu anaejitafuta? Mfano mtu ana kiwanja ambacho kinafaa kwa yote mawili either makazi binafsi or biashara (Fremu za maduka, Lodge, appartments) kipi utamshauri aanze nacho ukizingatia hawezi kwenda na vyote viwili at once ni lazima...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kidume anaesaka hela sawasawa ngono sio kipaumbele

    Labda kama pesa zinamjia kiulaini laini. Lakini kama ni kidume wa mipango viwili tu inatosha. Ukiona wewe ni mpaniaji pale kati, basi ndugu yangu tafuta hela.
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tanzania yachaguliwa kuwa moja ya nchi 8 za Afrika zitakazopewa kipaumbele kupitia mpango mpya wa Mattei Plan

    Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya nchi nane za Afrika zitakazopewa kipaumbele na Italia kupitia mpango mpya wa kimkakati wa Mattei (Mattei Plan) ambapo kiasi cha Euro bilioni 5 za awali kimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo. Miradi hiyo ya kipaumbele kupitia Mpango mpya wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili soka la tanzania kwa ajili ya kutoa kipaumbele kuibua vipaji

    WATANZANIA TUWE CHAWA WA KUIBUA VIPAJI VYA SOKA Soka letu,hususan ligi kuu,ni kama biashara ya machinga. Namaanisha kuchuuza bidhaa usizozalisha. Ligi kuu ambayo inatawaliwa na Simba na Yanga na kidogo Azam, wachezaji wa vilabu hivyo wanaoongoza ni raia wa kigeni. Wachezaji kutoka Tanzania...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Majanga makubwa yakitokea nchi zenye vyombo vya habari makini kipaumbele huwa ni Tukio, ila kwetu kipaumbele ni Kuipamba Mamlaka!

    Binafsi nilitegemea baada ya Tukio la Hanang Mkoani Manyara Media ya Tanzania ingekuwa inatupa Elimu zaidi ya nini kimesababisha na hata kutoa tahadhari zaidi kwa eneo husika au maeneo mengine yenye Jiografia kama ya Hanang ili kujiepusha na Majanga makubwa mengine. Ila cha kushangaza na...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  10. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: UKIMWI bado upo, ninawaomba suala hili lipewe kipaumbele wakati wa mahubiri.

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kuwaangalia zaidi vijana, akilitaja kama kundi ambalo liko hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI, huku akiwataka kuimarisha huduma za unasihi na malezi yenye mlengo wa kustahimili mabadiliko yanayotokana na utandawazi...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania 2030, kipaumbele chako kiwe mipango miji

    Kusema kweli kwa asilimia 98 nina amini bila shaka kuwa Jamii kubwa ya Watanzania wana mtindio wa ubongo, yaaani hawawezi kuwaza na kufikiri vizuri. Jambo kuu linalonifanya kuamini hivi ni kwa namna ninapotembea mikoa mbalimbali nchini na kuona jinsi wananchi wanavyojenga bila mpangilio na wala...
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania CPT wasema Katiba Mpya ni Kipaumbele Alfa na Omega, Wataja Vipaumbele 28 vya Dira ya Taifa Kuelekea 2050

    Profesa Kitila Alexander Mkumbo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Waziri mwenye dhamana ya kusimamia utendaji wa kazi za Tume ya Mipango Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) kimeadhimisha kwa kishindo kumbukizi ya miaka 40 tangu kilipoasisiwa na wanataaluma wakristo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

    Siasa hubadilika na siku hazigandi. Siyo siri tulipo leo, tunaweza kuwa tuko pema zaidi kiukombozi kuliko wakati mwingine wowote kabla. Ishukuriwe historia iliyotufikisha hapa pamoja na machungu yake. Kwamba hatimaye leo tunaweza kuyatarajia yaliyo mema zaidi, tena kwa nguvu zetu wenyewe...
  14. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meza ya wanaume: Ni baada ya muda gani kwenye mahusiano mapya unaingia peku?

    Na kubwa kuzidi yote mara nyingi wanaume ndio huwa tunaamua game ichezwe vipi kuanzia location, staili, raundi ngapi na hata kwenye suala la kuvaa helmet (conddom), wanawake uwanjani huwa wana nguvu ndogo sana ya maamuzi. Game za kwanza najua wengi huwa tunaipiga kwa ndom, ila kuna kipindi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea uhitaji wa katiba mpya uwe kipaumbele cha kila mwana-CCM ili madhila ya Awamu ya Tano yasijirudie

    Watu mlio karibu na rais Samia msijisahau sana na wala msione mmepata na hivyo kuamua kupuuza uundwaji wa katiba mpya. Tunataka katiba itakayompunguzia rais mamlaka na itakayoweka mipaka ya uongozi wake. Lkn cha muhimu zaidi rais awajibishwe pale atakapobainika kakosea. Katiba hii ni mbovu...
  16. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa. Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

    Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete. Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
  18. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanasiasa na mwanataaluma yupi apewe kipaumbele kufanya maamuzi yenye kugusa maslahi ya watu na Taifa?

    Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete: Serikali kufanya mabadiliko makubwa ya Sheria ya Utumishi ili kuwapa kipaumbele wanaojitolea

    Serikali inaendelea kufanya mapitio ya sheria ya utumishi ili kupata muarobaini wale wote wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Hayo yameelezwa leo Jumatatu Septemba 04, 2023 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Wanaojitolea kwenye kazi wapewe kipaumbele wakati wa kuajiriwa

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameshauri Serikali kuweka utaratibu maalumu wa kuwazingatia kwanza Watumishi wanaofanya kazi za kujitolea wakati Serikali ikiendelea kufanya maboresho ya Sheria ya Ajira ili kuwasaidia kupata ajira bila kikwazo pindi zinapotangazwa. Katika swali la msingi...
Back
Top Bottom